Kubenea na muongozo wa udhalilishaji kwa wabunge wa kike wa UKAWA

Bunge linarushwa LIVE. Yale maamuzi yalikuwa ya Nape peke yake. Kumbe hakumshirikisha hata Magufuli.
Bunge linaoneshwa live kila siku asubuh since day one mchana ndo halioneshwi live, watu wengi walikurupuka kulalamika hata bunge hawaangalii
 
Nyenyere,

..this is how to deal with this issue.

..kwanza, Kubenea apewe onyo kwa kutumia lugha isiyofaa bungeni.

..halafu, Spika aunde kamati ya wabunge kuchunguza madai ya udhalilishwaji wa wabunge wanawake wa ukawa.
 
Kama kweli hii nitawadharau wabunge wanawake wa UKAWA. Nilitegemea wabunge hawa wangewasilisha kwenye umoja wa wabunge wanawake lakini pia wangepelea moja kwa moja kwa Spika. Wameshindwa kujitetea wao wenyewe, sasa watawatetea vipi wananchi wanasema wanawawakilisha? Au nako wataomba msaada wa Kubenea na wanaume wengine bungeni? Stupid!

Hivi ni lazima umwambia mtu akutetee?Kama Kubenea aliamua kusema yeye aliona udhalilishaji huo hao wa CCM kwanini hawakuliongelea??SPika yupi yule aliyeletwa kama zawadi na father Christmas??
 
Nyenyere,

..this is how to deal with this issue.

..kwanza, Kubenea apewe onyo kwa kutumia lugha isiyofaa bungeni.

..halafu, Spika aunde kamati ya wabunge kuchunguza madai ya udhalilishwaji wa wabunge wanawake wa ukawa.

Ninapenda kuiita SPADE a SPADE,ni sawa na kusema anashtaki kwa kosa la KUBAKWA unakuja kusema KUBAKWA ni matusi duh!!!!!!Ifike mahali tuukubali ukweli kama ulivyo hata kama hatupendi kuusikia masikioni lakini ndiyo ukweli wenyewe
 
1.Chupi-ni nguo ya ndani, inavaliwa na rika zote.
Shanga-Ni urembo, unaweza kuvaliwa na wanawake na wanaume!! Ajabu nnn?
 
KUBENEA HAJAWAHI KUDANGANYA NA HADANGANYI
.........hata Richmondi alisema kweli ni ya Lowassa, Rais wa UKAWA !
Kubenea na Lowassa.JPG
 
Ninapenda kuiita SPADE a SPADE,ni sawa na kusema anashtaki kwa kosa la KUBAKWA unakuja kusema KUBAKWA ni matusi duh!!!!!!Ifike mahali tuukubali ukweli kama ulivyo hata kama hatupendi kuusikia masikioni lakini ndiyo ukweli wenyewe

..I understand your point.

..tatizo ni wana-ccm mle ndani ya bunge.

..wanajaribu kila njia kuhakikisha kwamba hoja za wapinzani zinakwama.

..ni kwa kuzingatia ukweli huo ndiyo maana nikapendekeza Kubenea awe mwangalifu na lugha anayotumia.
 
HIlo swali nami najiuliza CCM walikosa mtu kabisa mpaka kumsimamisha kikwete urais 2005 na 2010? Si afadhar hata wangemsimamisha kibajaji? Sometime una maswali yenye akili sema hutulizi akili kufikiria majanga tuliyopata miaka 10 ya mtu dhaifu.
Ten wasted years? Inaumiza sana....watanzania walirogwa na nani?sheikh yahaya?




Hivi ina maana CHADEMA walikosa kabisa mtu wa kumsimamisha kugombea ubunge pale Ubungo mpaka wakamsimamisha Kubenea?
 
..I understand your point.

..tatizo ni wana-ccm mle ndani ya bunge.

..wanajaribu kila njia kuhakikisha kwamba hoja za wapinzani zinakwama.

..ni kwa kuzingatia ukweli huo ndiyo maana nikapendekeza Kubenea awe mwangalifu na lugha anayotumia.

Tatizo meseji iliwafikia wanawake ambao walitoa kauli amabzo hazikustahili kutolewa na wanawake.Statement kama Kwanini HALIMA hakupigwa,au hawa polisi wameingia humu ndani lakini hawakuwafundisha adabu wapinzani,hivi hizi za kwao zilikuwa lugha nzuri??Daima wabunge waCCM wanapenda kutumia lugha za kudhalilisha lakini zikijibiwa utaona reaction yao
 
Kawasilisha vizuri hoja yake lakini kama kweli kataja shanga na chupi,kachangia kuwadhadhalisha,
ilikuwa inatosha kusema wamedhalilishwa akaishia hapo.angeeleweka bila kuzua gumuzo.

Anatakiwa kujifunza uendeshaji wa bunge kabla kukurupuka.
Niliwahi kusema kujenga hoja bungeni na kuandika habari kwenye magazeti ni vituo viwili tofauti.
Akubali kutulia kujifunza kujenga hoja bungeni.
 
......unategemea nini toka kwa watu wa elimu ya hapa na pale, wazushi, waongo, mbayuwayu, na "shoga" wa ukweli ?... na usisahau wapendwa wake wakituaminisha kwamba ati yeye ( saeed ) ni zaidi ya zzk.....
Ushapu..liwa sio bure
 
Naona shoza na yeye katumwa huku ,atujuze .Labda nimulize shoza kana udhalilishaji gan kutumia neno shanga na chupi wanawake wa kiafrika hupenda kuvaa shanga kama urembo ,na hukaa ndan ya nguo zao ,ila askari wakazishika na kuzivua je hiyo ni haki ??
Kamuulize mama ako mzazi kama kavaa shanga halaf ndo utajua ni urembo au vipi
 
ujinga uko wapi hapo? kama polisi waliwadhalilisha wabunge wakike wa ukawa kwa kuwafanyia kitendo vya kinyama hivyo ulitaka atumie lugha gani? hivi shanga ni tusi? chupi ni tusi? au mnaleta hoja zenu za kipumbavu tuache kujadili masuala ya msingi ya kitaifa ambayo serikali ya kinyama ya ccm inaendelea kuyafanya kule bungeni? kama hamna cha kuwafanyia wananchi semeni siyo kuwafungia kwenye cage kwa kuwadanganyia peremende. we will neither beg nor bow.
Aibu yako.
 
Back
Top Bottom