Kubenea na muongozo wa udhalilishaji kwa wabunge wa kike wa UKAWA

Nyenyere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
14,780
10,710
Mh. Kubenea ameomba mwongozo ambao kwamba wabunge wanawake wa UKAWA waliotolewa na Polisi bungeni juzi walisachiwa na askari wa kiume, wakavuliwa chupi zao, wakavuliwa shanga zao....

Wakati akiendelea walilipuka wabunge wanawake kwa makelele ya kudai kudhalilishwa. Spika ilibidi amkatize...

Najiuliza, hivi Kubenea anafikiri sawa sawa kweli?
 
Mh Kubenea ameomba mwongozo ambao kwamba wabunge wanawake waliotolewa na polisi bungeni juzi walisachiwa na askari wa kiume, wakavuliwa chupi zao, wakavuliwa shanga zao.... Wakati akiendelea walilipuka wabunge wanawake kwa makelele ya kudai kudhalilishwa. Spika ilibidi amkatize.

Najiuliza, hivi Kubenea anafikiri sawa sawa kweli?
Kusema wamevaa shanga ni dhambi?Kwani hawavai shanga?
 
Kwa kukosoa tuko vizuri kaa wewe pale sasa jasho mpaka kwenye nanihinoooo
 
Mwenyekiti ameshindwa kujibu muongozo wa ZITTO na Lissu......amesema anaenda kutafakari

Sent from my android using JamiiForums mobile app
 
Dah kubenea, ilibidi asaidiwe na Lissu kusoma kanuni ya 68........ili aweze kuendelea na muongozo.
Hata kusoma ni shida. Hata ccm wapo wenye elimu ya hapa na pale kama akina Kibajaji lakini kanuni wanazisoma wenyewe.
 
Leo bunge linaongozwa na mwenyekiti "joka lenye makengeza" mtemi chenge huku naibu spika akiwepo bungeni je ni woga au kukwepa majukumu kwa huyu dada yetu
 
Hata kusoma ni shida. Hata ccm wapo wenye elimu ya hapa na pale kama akina Kibajaji lakini kanuni wanazisoma wenyewe.
Alistukizwa na Mkiti, anatumia kanuni gani? Akaanza kubabaika, ikabidi Lissu amuazime kitabu chake cha kanuni huku akimsomea....maana wabunge wa ccm walishaanza kumcheka

Sent from my android using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom