Kubenea muombe radhi Makonda

Kubenea muombe radhi Makonda

Namtabiria Kubeana atazikunja ngumi nje au ndani ya Bunge maana kesha panic baada ya Chama chake kukumbatia Fisadi wakati akijua kuwa yeye alikuwa mstari wa mbele kuuaminisha umma!!

Hata kipindi anayaandika hayo alibezwa mbona....so usitumie joho la kusema aliuaminisha umma wakati huo hukuamini....cha msingi tukomae na maisha tutoke hizi mambo za mabishano mitandaoni hazitusaidii chochote...
 
Sead Kubenea amuombe radhi Makonda baada ya Mh Ridhiwan kukanusha habari na kutoa picha kwamba Makonda alimfunga kamba Ridhiwan ili apewe ukuu wa wilaya.

Ni jambo la kusikitisha kiongozi uliyechaguliwa na wananchi unatoa habari za uongo ili kufurahisha nafsi yako na kumchafua kiongozi mwenzio sababu eti mmepishana katika siasa.

nia aibu sana jirekebishe umeishakuwa ni kiongozi unaewakilisha wananchi katika jimbo
wananchi watashindwa kukuamini badilika Mheshimiwa.

Aende mahakamani kwa kuchafuliwa jina. Au amshtaki huyo aliyevujisha picha. Vinginevyo hamjamshawishi mtu hapa.
 
Sead Kubenea amuombe radhi Makonda baada ya Mh Ridhiwan kukanusha habari na kutoa picha kwamba Makonda alimfunga kamba Ridhiwan ili apewe ukuu wa wilaya.

Ni jambo la kusikitisha kiongozi uliyechaguliwa na wananchi unatoa habari za uongo ili kufurahisha nafsi yako na kumchafua kiongozi mwenzio sababu eti mmepishana katika siasa.

nia aibu sana jirekebishe umeishakuwa ni kiongozi unaewakilisha wananchi katika jimbo
wananchi watashindwa kukuamini badilika Mheshimiwa.

Mshauri Makonda aombe Radhi siyo kubenea
 
we konyoo ipo siku utamwambia mamako huyu sie babayanguu....atakwambia .....yako
 
Sijaelewa, kwa hiyo ile picha ilitengenezwa ina maana sio ya kweli??!

Kinachokanushwa ni picha au kuvalishwa viatu?

Kama Nmemuelewa Ridhiwani Ni Kuwa Yule Alomfunga Kamba Za Viatu Ktk Picha Ile Sio Mh. Makonda Ni Mtu Mwingine Kabsa Na Kama Kuna Mwenye Ushahidi Juu Ya Hilo Autoe Hadharani.
 
Kama Nmemuelewa Ridhiwani Ni Kuwa Yule Alomfunga Kamba Za Viatu Ktk Picha Ile Sio Mh. Makonda Ni Mtu Mwingine Kabsa Na Kama Kuna Mwenye Ushahidi Juu Ya Hilo Autoe Hadharani.

Ndiyo ameleza wazi kuwa alienda kupima suti ambayo alishonewa pale na wala Makonda hakuwepo
 
Nimeona humu kumbe sio home of great thinkers kama wengi wanavyojua
Hivi kweli leo kuna watu wanaona vibaya MAKONDA alivyowasweka ndani wale jamaa wa halmashauri for the sake of said kubenea?? Unapomnyonga mnyonge usisahau haki yake ..afu acheni uzee wa fikra
 
Hiyo ya aliyombemba akanushe pia. Ipi kali zaidi, aliyombemba au ya viatu? Huyu kijana ana majanga sana
 
hadi sasa hakuna alietoa ushahidi?

endeleeni kubwabwaja...wivu sio mpango
 
kiukweli kuna viongozi wengine tumewachagua lakini sasahivi tunajuta...ubungo tulichemsha na kila mtu analijua hilo...

ata uchaguzi ukirudiwa wewe chagua ccm kisha kubenea atashinda tena na chogo lako litabaki kukuwasha tu
 
Utaacha lini kutumika vibaya? Ulitegemea riz akiri!
Mbona husemi makonda kuomba radhi kwa kywasweka ndani watendaji wa ardhi na kubenea?

Hakuna kuomba radhi bali Magufuli aondoe Hilo Jipu Makonda Kinondoni alipeleke wilaya ya vijijini kabsa .
 
Aanze Makonda kumuomba radhi Mzee Warioba kwanza na waTanzania wote

Makonda ana Dhambi nyingi sana za kuomba radhi Kwa Mzee Warioba pili Lowasa, tatu maafisa Ardhi nne wale wazee na viongozi wote ambao amekuwa akiwazushia uongo kwenye Mitandao pia aombe radhi Kwa kupokea pesa haramu za marehemu Gadafi toka Kwa Membe Kisha akizitumia kuwahujumu Ukawa na Lowasa binafsi.
 
Makonda ni Janga la kitaifa Safari hii lazima Akonde sana ujuaji wake wote umefika kikomo hata Magufuli anaelekea kumfukuza mda si mrefu .
 
Kama ukuu wa wilaya ni mzuri Magu mpeleke MAKONDAkta wilaya ya Ukerewe awe mkuu kule. Halafu tusikie hizo kelele zake.
 
Kubenea Jembe. Ndio Maana Hajakanusha!
 
Back
Top Bottom