Kubenea muombe radhi Makonda

Kubenea muombe radhi Makonda

Mkuu wa wilaya ndo rais wa wilaya. Wapi hujaelewa au unaongozwa na hisia zaidi kama mwanamke ktk mapenzi. Mbunge ni mwakilishi wa wananchi tu tena bungeni. Na ndo maana hawezi kushtakiwa kwa lolote atakalosema akiwa bungeni. Nje na hapo ni raia kama raia wengine.

Kumbuka tu kuwa kuna tofaut kubwa kati ya mawazo yako hayo na sheria inavosema. So jitahidi kutofautisha kati ya mwakilishi wa wananchi bungeni na mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa wilaya. Vyombo vyote vya usalama wilaya vipo chini yake na ndo maana anaweza kutoa amri ya kukuweka ndani na ukawekwa. Mbunge hana mamlaka hayo.

Jaribu kutumia akili kuelewa mambo usifuate mkumbo.
hapo kwenye red, unaposema naongozwa na hisia kama mwanamke kwenye mapenzi,..ujue umemjumuisha na mamako aliyekuzaaa, na yeye ana hisia akiwa anagegedwa na wanaume ndio maana akapigwa bao wewe ukazaliwa. na si ajabu mimi nilishamgegeda mamako mabao kibao tu ndio maana ukatokea. rejea ripoti ya mkemia mkuu....

tukija kwenye huo urais,...kwahiyo ni rais wa wilaya ya nani, wilaya yangu au wilaya yako...kama sio rais wa wilaya yangu, mimi ananihusu nini?
 
Nilijua tu kuwa huna uwezo wa kutumia akili. Unaonekana ni mbumbumbu mkubwa sana. Kwa hiyo unakubali kuwa akili zako ni kama za mwanamke katka mapenz sio!!

Lingine kwa kukusaidia ni kuwa kila raia wa Tanzania mahali alipo ana Mkuu wa wilaya. Makonda ni Mkuu wa wilaya ya kinondoni yenye wabunge wanne. Kwa akili ya kawaida yeye ana mamlaka makubwa kuliko hao wabunge.

Use your brain man. Ushughulishe huo ubongo wako. Usikae nao tu kama mapambo
 
sidhani kama unaweza kuwa na dharau kiasi hicho kwa babako, mimi ni babako ujue, kamwulize vizuri mamako atakueleza. kwahiyo kama unanilinganisha mimi akili, na mamako pia utakuwa umemtukana kwasababu alishawahi kuwa girlfriend wangu.

tukija kwenye point, wewe ndio mbumbumbu mkubwa sana. kama ungekuw ana akili ungeelewa kwamba, point yangu hapa ilikuwa ni kamba, mimi niko arusha, siiishi huko kinondoni kwenu, makonda ananihusu nini hata kama ana wabunge kumi hata ishirini, yeye ni mkuu wa wilaya ya kiondoni, sio mkuu wa wilaya yangu ya arusha. ni mkuu wenu huyo sio mkuu wa kila mtu. ndio maana nilikwambia akija huku arusha nikikutana naye hata sinusi kama kuna mtu wa hadhi fulani nimepishana naye. he's nobody to me.....kwahiyo akiwa mkuu wa wilaya ya kinondoni ndio mkuu wangi mimi wa arusha au mwanza?
 
Mkuu wa wilaya ndo rais wa wilaya. Wapi hujaelewa au unaongozwa na hisia zaidi kama mwanamke ktk mapenzi. Mbunge ni mwakilishi wa wananchi tu tena bungeni. Na ndo maana hawezi kushtakiwa kwa lolote atakalosema akiwa bungeni. Nje na hapo ni raia kama raia wengine.

Kumbuka tu kuwa kuna tofaut kubwa kati ya mawazo yako hayo na sheria inavosema. So jitahidi kutofautisha kati ya mwakilishi wa wananchi bungeni na mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa wilaya. Vyombo vyote vya usalama wilaya vipo chini yake na ndo maana anaweza kutoa amri ya kukuweka ndani na ukawekwa. Mbunge hana mamlaka hayo.

Jaribu kutumia akili kuelewa mambo usifuate mkumbo.
Baeelezee bajue
 
Makonda yupo ktk rejected list ya wakuu wa wilaya na mikoa watakaotumbuliwa hivi karibuni, wale waliopewa vyeo bila kua na wasifu unaostahili watangolewa wote, Kubenea hana haja ya kuomba radhi
Kuomba radhi ni uungwana na wala akiomba radhi atabaki mbunge kama alivyo
 
Kuna moja nimemuona huyu jamaa Makonda kamnyanyua juu RizOne,,,
 
Sead Kubenea amuombe radhi Makonda baada ya Mh Ridhiwan kukanusha habari na kutoa picha kwamba Makonda alimfunga kamba Ridhiwan ili apewe ukuu wa wilaya.

Ni jambo la kusikitisha kiongozi uliyechaguliwa na wananchi unatoa habari za uongo ili kufurahisha nafsi yako na kumchafua kiongozi mwenzio sababu eti mmepishana katika siasa.

nia aibu sana jirekebishe umeishakuwa ni kiongozi unaewakilisha wananchi katika jimbo
wananchi watashindwa kukuamini badilika Mheshimiwa.

Kubenea hataomba msamaha, anaonekana kamwekea bifu kali na kisasi cha hali ya juu makonda.
Yaelekea yuko tayari kufanya lolote ili amharibie.
 
Nawapa pole wananchi wa Ubungo kuchagua mtu wa kisasi na ushindani usio na maslahi na wananchi.
 
Back
Top Bottom