Basi ana-konda alikuwa anabrush viatu, hapa sasa sijui alikuwa anabembeleza ukuu wa nini
Acheni uchochezi. Huyo naye si Makonda bali mtumishi wa pale kwa Ngoi. Alimbeba Ritzi baada ya kujaribisha kama hizo sare alizonunua pale dukani kwa ngoi zimemkaa.
Hapa alimbeba wakati ana mpeleka kwenye kioo ili akajitazame.
kiukweli kuna viongozi wengine tumewachagua lakini sasahivi tunajuta...ubungo tulichemsha na kila mtu analijua hilo...

hivi mkuu wa wilaya naye ni mtu mkubwa sana ehee kwamba unaweza hata kusema mbele za watu kwamba wewe ni mkuu wa wilaya?hahahaMkuu wa wilaya
mimi mkazi wa arusha, makonda kiongozi wa ninyi wa kinondoni, ananihusu nini, hata nikikutana naye huku arusha naona sawa tu na nimekutana na mtu wa chini kabisa wa hapa arusha.Kubadili channel ya tv haikusaidii. makonda ni kiongozi wko halali usisubiri akuweke ndani ndiyo umtambue.
hivi mkuu wa wilaya naye ni mtu mkubwa sana ehee kwamba unaweza hata kusema mbele za watu kwamba wewe ni mkuu wa wilaya?hahaha