Kubenea muombe radhi Makonda

Kubenea muombe radhi Makonda

Sead Kubenea amuombe radhi Makonda baada ya Mh Ridhiwan kukanusha habari na kutoa picha kwamba Makonda alimfunga kamba Ridhiwan ili apewe ukuu wa wilaya.

Ni jambo la kusikitisha kiongozi uliyechaguliwa na wananchi unatoa habari za uongo ili kufurahisha nafsi yako na kumchafua kiongozi mwenzio sababu eti mmepishana katika siasa.

nia aibu sana jirekebishe umeishakuwa ni kiongozi unaewakilisha wananchi katika jimbo
wananchi watashindwa kukuamini badilika Mheshimiwa.

Wewe siyo bure unafunga gidamu za viatu vya Makonda na kumbeba. Akanushe Makonda siyo muuza bangi Rizwan.
 
kama ni kiongozi bora tuliyempata ni kubenea. hongereni ambao kura zao zinafanya kazi
 
Ile picha ingekua si ya kweli Makonda asingekaa kimya hata mahakamani angeenda. Ile picha ni halisi na Yule ni Makonda, tusiyumbishwe na "Prince Mstaafu"
 
kwani uongo mbona picha inajiidhihilisha kabisa sasa kosa liko wapi/
 
Sijaelewa, kwa hiyo ile picha ilitengenezwa ina maana sio ya kweli??!

Kinachokanushwa ni picha au kuvalishwa viatu?

Inavyoonekana ile picha Makonda hayuko pale. Caption iliainisha kuwa Makonda akifunga kamba za viatu za...... Ukweli ni kuwa yule hakuwa MAKONDA sasa hapo ni ngoma nzito kwa mwandishi na gazeti lakini siyo KUBENEA as a person ila unless ndiye mwandishi au mhariri.
 
aombe radhi kwa lp? kubeba abebe yeye na huku atakwe radhi duh we nae.... umeshiba punje za taiwan

Namtabiria Kubeana atazikunja ngumi nje au ndani ya Bunge maana kesha panic baada ya Chama chake kukumbatia Fisadi wakati akijua kuwa yeye alikuwa mstari wa mbele kuuaminisha umma!!
 
Basi ana-konda alikuwa anabrush viatu, hapa sasa sijui alikuwa anabembeleza ukuu wa nini
 
Attachments

  • 1451069394708.jpg
    1451069394708.jpg
    40.3 KB · Views: 430
Inavyoonekana ile picha Makonda hayuko pale. Caption iliainisha kuwa Makonda akifunga kamba za viatu za...... Ukweli ni kuwa yule hakuwa MAKONDA sasa hapo ni ngoma nzito kwa mwandishi na gazeti lakini siyo KUBENEA as a person ila unless ndiye mwandishi au mhariri.
Mkuu mbona unajidanganya!
 
Sead Kubenea amuombe radhi Makonda baada ya Mh Ridhiwan kukanusha habari na kutoa picha kwamba Makonda alimfunga kamba Ridhiwan ili apewe ukuu wa wilaya.

Ni jambo la kusikitisha kiongozi uliyechaguliwa na wananchi unatoa habari za uongo ili kufurahisha nafsi yako na kumchafua kiongozi mwenzio sababu eti mmepishana katika siasa.

nia aibu sana jirekebishe umeishakuwa ni kiongozi unaewakilisha wananchi katika jimbo
wananchi watashindwa kukuamini badilika Mheshimiwa.

hata akikaa asiombe radhi hata akiomba ajue kipindi chake ni hiki cha miaka 5 tuu. wananchi wwnyewe wanajilaumu mpaka sasa hivi walichagua kitu gani hiki. ni bora wangemchagua wa CUF basi au ACT. kovu hili litachukua miaka mitano.
 
makonda ndio nani? ana nini cha kuombwa msamaha, kwangu mimi ninayeishi moshi au mwanza, makonda ananihusu nini hata kumsikia tu masikioni naona nimepoteza muda bora ningesikiliza hata muziki wa hiphop tu. zaidi ya yote, kulingana na historia ya maisha yake tangu aingine kwenye siasa, ningekuwa magufuli makonda angekuwa mtu wa kwanza kufuta kwenye ulimwengu wa siasa, nisimsikie kabisa. ni moja wapo wa watu ambao hata kamanilikuwa naangalia tv wakitokea nabadilisha channel haraka kwasababu sioni kama anastahili kuwepo pale alipo. hasa nikikumbuka kilichotokea siku ile kwa warioba, na uamfia wa aina hiyo alioufanya. pili, makonda mkuu wa wilaya na mbunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa tz hivi nani anastahili heshima?

Kubadili channel ya tv haikusaidii. makonda ni kiongozi wko halali usisubiri akuweke ndani ndiyo umtambue.
 
kiukweli kuna viongozi wengine tumewachagua lakini sasahivi tunajuta...ubungo tulichemsha na kila mtu analijua hilo...

Acha uongo wewe tangy lini wapiga kelele mkachagua upinzani?
 
makonda ndio nani? ana nini cha kuombwa msamaha, kwangu mimi ninayeishi moshi au mwanza, makonda ananihusu nini hata kumsikia tu masikioni naona nimepoteza muda bora ningesikiliza hata muziki wa hiphop tu. zaidi ya yote, kulingana na historia ya maisha yake tangu aingine kwenye siasa, ningekuwa magufuli makonda angekuwa mtu wa kwanza kufuta kwenye ulimwengu wa siasa, nisimsikie kabisa. ni moja wapo wa watu ambao hata kamanilikuwa naangalia tv wakitokea nabadilisha channel haraka kwasababu sioni kama anastahili kuwepo pale alipo. hasa nikikumbuka kilichotokea siku ile kwa warioba, na uamfia wa aina hiyo alioufanya. pili, makonda mkuu wa wilaya na mbunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa tz hivi nani anastahili heshima?

Mkuu wa wilaya
 
Sead Kubenea amuombe radhi Makonda baada ya Mh Ridhiwan kukanusha habari na kutoa picha kwamba Makonda alimfunga kamba Ridhiwan ili apewe ukuu wa wilaya.

Ni jambo la kusikitisha kiongozi uliyechaguliwa na wananchi unatoa habari za uongo ili kufurahisha nafsi yako na kumchafua kiongozi mwenzio sababu eti mmepishana katika siasa.

nia aibu sana jirekebishe umeishakuwa ni kiongozi unaewakilisha wananchi katika jimbo
wananchi watashindwa kukuamini badilika Mheshimiwa.

Kubenea asubiri kufungwa jela kwa kumwita muhuni mkuu wa wilaya
 
makonda hana tofauti na watoto wa mtaani chokoraa aliyeokota pochi ya mzungu,yule hata kijiji hana sifa ya kukiongoza sembuse wilaya,nchi hi haiwezi kuwa na maendeleo kwa akili za mtoa mada mlamba makamasi ya makonda na makonda mfunga viatu vya rizwani

mbavu zangu mie
 
ooooh kubenea aombe radhi kwa lipi fikiri kabla ya kutenda kubebana mbebane nyie radhi aombe kubenea hahaaaa una ubongo mdogo kama Wa kuku nn
 
kiukweli kuna viongozi wengine tumewachagua lakini sasahivi tunajuta...ubungo tulichemsha na kila mtu analijua hilo...

Hilo bifu lao kalianzisha makonda mwenyewe acha wapambane tu....mmoja anatumia nguvu ya dola mwingne media....! hivo alivyo wananchi walimwona anawafaa
 
Back
Top Bottom