makoye2009
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,638
- 1,219
Kuhusu hoja ya Kubenea kumwomba radhi Makonda baada ya kutokea kwene gazeti la Kubenea akimfunga viatu Riz1 haina Mashiko.
Kama habari hiyo ni ya uongo basi Makonda na Riz1 wawahi Mahakamani gazeti la Kubenea lishtakiwe kwa kuandika habari za
uongo!
Lakini nijuavyo hii habari ni ya kweli.Siku hizi kuna teknolojia za Smartphone hivo picha kama hizo zinachukuliwa saa yoyote mahali promote.Kwa vile watu aina ya Makonda wenye kujikomba na kujipendekeza ili wapewe vyeo siwezi kushangaa!