Kubanwa na mkojo! Jamani!!!

Fimbo ya Musa

Member
Jul 21, 2012
94
13
Jamani leo nilikuwa kwenye kikao na nikawa nimebanwa sana na mkojo. Ikabidi kwa kujikaza nikatoka nje huku nikijishikashika sehemu za siri na kufungua mlango uliokuwa unasumbua kufunguka!. Chakushangaza katika harakati hizo kumbe pembeni kuna wadada wawili wananichabo! Baada ya kugundua wananichabo ile hali ya kubanwa na mkojo ikaisha hapohapo! Mweee!!!
 
Duh, ukibanwa na haja ndogo huwa unajishika Kikojoleo?
Ina maana ungebanwa na haja kubwa ungejishika makalio?
 
Back
Top Bottom