Jamani, tuweni makini na wanaojiita manabii

kingwenje

Member
Jun 19, 2020
79
108
Hipo hivi, nilikwenda kwa yule mtumishi wa mungu anaejiita kiboko ya wachawi. Ebwana niliyoyashudia, jamani watu wanajua kutafuta pesa, mimi nasema nitabaki kwa dini yangu, hii ya Romani Katoliki.

Mpaka mwisho wa maisha yangu hakuna mwamposa sijui, musa, wala nani. Sasa nimefika pale na sikua peke yangu, nilikua mimi na ndugu yangu pamoja na mgojwa. Sasa tumefika pale eneo la tukio, mimi nikamwambia ndugu yangu. Ngoja niangalie taratibu hapa nikatafuta wenyeji pale, kuna anko mmoja akaniambia onana na yule dada. Kweli nikamfuata, yule dada akaniambia nenda kakae pale na huyo mgojwa.

Nikaona hapana kwasababu pale nilikua na mgojwa, nikamtafutia kiti aweze kukaa. Mimi nikatoka mpaka kwa yule ndugu kumwambia. Na pia taratibu za yule dada hazikunilidhisha. Sasa wakati nipo kwa ndugu pale, sasa hapa naombeni munisikilize kwa makini, hapa, ndio kuna jambo.

Nipo pale nikamuona mkaka mmoja, yupo na kondoo wake pale, kama kunajambo anaongea nao, na palepale, alikuepo dada mmoja nae nafikiri alikua ni mhusika kwa maana alikua anapanga watu.

Ikabidi nimuendee nae nimuulize talatibu, majibu yake akaniambia niende kule mbele kama mwanzo, nikasema duh, hatari, nikachoka. Unajua lengo langu sikutaka nipoteze muda pale, najaligi sana muda.

Sasa wakati nimerudi kwa yule ndugu tukibadilishana mawazo, pembeni yangu alikua anko mmoja, nikaona sio vibaya kumuuliza, nikamwambia hivi hapa ukitaka kuonana na uyu mtumishi, yule anko akaniuliza umekuja na sh, ngap? Nikaona ngoja nimuite ndugu yangu, nae aje amsikie yule anko, akaendelea kutuambia akasema yeye, amefanya kumleta mke wake pale na kwamaongezi yake yule anko, ametoa pesa sh,40000 lakini bado wanasema haitoshi wanamtaka aongezee lakini wapi.

Akaendelea kutuambia kwamba kunawatu ,wanalalamika wametoa pesa lakini hakuna chochote. Zimeliwa akatudokezea anasema garama zakumuona uyo mchungaji ni Tsh. Laki 5 akatuambia kuna mama yeye walimwambia atoe kwanza Elfu 50000, ataweza kumuona lakini matokeo yake katoa iyo pesa akuna chochote, anatuambia mpaka muda ule anadai pesa yake, nasikia anataka kwenda police.

Yaani kwakweli nilichoka mimi na yule ndugu wakati anaendelea kufunguka yule anko, akaja yule dada akamwambia yule anko aondoke pale, duh yaani hatari yule ndugu akaniambia niende nikamchukue mgojwa tusepe. Jamani tuweni makini mambo ni mengi.
 
Hipo hivi, nilikwenda kwa yule, mtumishi wa mungu anaejihita, kiboko ya wachawi. Ebwana niliyoyashudia, jamani watu wanajua kutafuta pesa, mimi nasema nitabaki kwa dini yangu, hii ya Romani Katoliki.

Mpaka mwisho wa maisha yangu akuna mwamosa, sijui, musa, wala nani. Sasa nimefika pale,na sikua peke yangu, nilikua mimi na ndugu yangu pamoja na mgoj. Sasa tumefika pale eneo la tukio, mimi nikamwambia ndugu yangu. Ngoja niangalie taratibu apa nikatafuta wenyeji pale, kuna anko mmoja,akaniambia honana na yule dada. Kweli nikamfuhata, yule dada akaniambia nenda kakae pale na uyo mgojwa.

Nikaona hapana kwasababu pale nilikua na mgojwa, nikamtafutia kiti aweze kukaa. Mimi nikatoka mpa kwa yule ndugu, kumwambia. Na pia taratibu za yule dada azikunilizisha.Sasa wakati nipo kwa ndugu pale, sasa apa naombeni munisikilize kwa makini, apa, ndio kuna jambo.

Nipo pale nikamuona mkaka mmoja,yupo na kondoo wake pale, kama kunajambo anaongea naho,napalepale, alikuepo dada mmoja nae nafikili alikua nimuusika kwamana alikua anapanga watu. Nikabidi nimuendee nae nimuulize talatibu, majibu yake akaniambia niende kule mbele kama mwanzo,nikasema du, atary nikachoka. Unajua lengo langusikutaka nipoteze muda pale, najaligi sana muda.

Sasa wakati nimeludi kwa yule ndugu. Tukibadilishana mawazo, pembeni yangu alikua anko, mmoja, nikaona sio vibaya kumuuliza, nikamwambia hivi apa ukitaka kuonana na uyu mtumishi, yule anko akaniuliza umekuja na sh, ngap? Nikaona ngoja nimuite ndugu yangu, nae aje hamsikie yule anko,anko akaendelea kutuambia, akasema yeye, amefanya kumleta mke wake pale na kwamaongezi yake yule anko,ametoa pesa sh,40000 lakini bado wanasema haitoshi,wanamtaka ahongezee lakini wp.

Akaendelea kutuambia kwamba kunawatu,wanalalamika, wametoa pesa lakini,akuna chochote. Zimeliwa akatudokezea,anasema garama zakumuona uyo mchungaji sh. laki 500000,akatuambia kuna mama yeye walimwambia atoe kwanza Elfu 50000, ataweza kumuona lakini matokeo yake katoa iyo pesa akuna chochote, anatuambia mpaka muda ule anadai pesa,yake,nasikia anataka kwenda police. Yani kwakweli nilichoka mimi na yule ndugu wakati anaendelea kufunguka yule anko,akaja yule dada, akamwambia yule anko haondoke pale, du yani atary yule ndugu akaniambia niende nikamchukue mgojwa tusepe,Jamani tuweni makini mambo ni mengi.
 
Hipo hivi,nilikwenda kwa yule,mtumishi wa mungu anaejihita,kiboko ya wachawi.Ebwana niliyoyashudia,jamani watu wanajua kutafuta pesa,mimi nasema nitabaki kwa dini yangu,hii ya romani katoliki.Mpaka mwisho wa maisha yangu akuna mwamosa,sijui,musa,wala nani.Sasa nimefika pale,na sikua peke yangu,nilikua mimi na ndugu yangu pamoja na mgoj.Sasa tumefika pale eneo la tukio,mimi nikamwambia ndugu yangu.Ngoja niangalie taratibu apa nikatafuta wenyeji pale,kuna anko mmoja,akaniambia honana na yule dada.Kweli nikamfuhata,yule dada akaniambia nenda kakae pale na uyo mgojwa.Nikaona hapana kwasababu pale nilikua na mgojwa,nikamtafutia kiti aweze kukaa.Mimi nikatoka mpa kwa yule ndugu,kumwambia.Na pia taratibu za yule dada azikunilizisha.Sasa wakati nipo kwa ndugu pale,sasa apa naombeni munisikilize kwa makini, apa,ndio kuna jambo.Nipo pale nikamuona mkaka mmoja,yupo na kondoo wake pale,kama kunajambo anaongea naho,napalepale,alikuepo dada mmoja nae nafikili alikua nimuusika kwamana alikua anapanga watu.Nikabidi nimuendee nae nimuulize talatibu,majibu yake akaniambia niende kule mbele kama mwanzo,nikasema du,atary nikachoka.Unajua lengo langusikutaka nipoteze muda pale,najaligi sana muda,Sasa wakati nimeludi kwa yule ndugu.Tukibadilishana mawazo,pembeni yangu alikua anko,mmoja,nikaona sio vibaya kumuuliza, nikamwambia hivi apa ukitaka kuonana na uyu mtumishi,Yule anko akaniuliza umekuja na sh, ngap? Nikaona ngoja nimuite ndugu yangu,nae aje hamsikie yule anko,anko akaendelea kutuambia,akasema yeye,amefanya kumleta mke wake pale.na kwamaongezi yake yule anko,ametoa pesa sh,40000 lakini bado wanasema haitoshi,wanamtaka ahongezee lakini wp. Akaendelea kutuambia kwamba kunawatu,wanalalamika,wametoa pesa lakini,akuna chochote.Zimeliwa akatudokezea,anasema garama zakumuona uyo mchungaji sh.laki 500000,akatuambia kuna mama yeye walimwambia atoe kwanza Elfu 50000,ataweza kumuona lakini matokeo yake katoa iyo pesa akuna chochote,anatuambia mpaka muda ule anadai pesa,yake,nasikia anataka kwenda police,,Yani kwakweli nilichoka mimi na yule ndugu wakati anaendelea kufunguka yule anko,akaja yule dada,
akamwambia yule anko haondoke pale,du yani atary yule ndugu akaniambia niende nikamchukue mgojwa tusepe,Jamani tuweni makini mambo ni mengi.
Una uhakika wewe ni RC? mbona mimi muislam nakushinda kuandika wakati kutwa mnajisifia nyie ndio wasomi nchi hii?
 
Wakatoriki hatukukimbia umande kiongozi.
 
Story imeeleweka, ila ndugu yangu huo muandiko usiseme typing error....
 
Hujui kuandika lakini Ni kielelezo tosha kuwa unacholosema hujadanganya.. epukeni matapeli
 
Wewe ndiyo kiwaki kweli,eti bora nibaki na dini yangu ya catholiki,kwanini hukumpeleke mgonjwa wako kwa hiyo dini lako?.Na huko kwa mganga wa kinabii ulienda kufanya nini ili khali una dini?.Nikuambie kitu hakuna dini itakayokupona.Mwamini YESU kuwa BWANA NA MWOKOZI wa maisha yako,amini nakuambia hakuna kitu utashindwa kuanzia na huyo mgonjwa wako.Dini haitakusaidia lolote.
 
Hipo hivi,nilikwenda kwa yule,mtumishi wa mungu anaejihita,kiboko ya wachawi.Ebwana niliyoyashudia,jamani watu wanajua kutafuta pesa,mimi nasema nitabaki kwa dini yangu,hii ya romani katoliki.Mpaka mwisho wa maisha yangu akuna mwamosa,sijui,musa,wala nani.Sasa nimefika pale,na sikua peke yangu,nilikua mimi na ndugu yangu pamoja na mgoj.Sasa tumefika pale eneo la tukio,mimi nikamwambia ndugu yangu.Ngoja niangalie taratibu apa nikatafuta wenyeji pale,kuna anko mmoja,akaniambia honana na yule dada.Kweli nikamfuhata,yule dada akaniambia nenda kakae pale na uyo mgojwa.Nikaona hapana kwasababu pale nilikua na mgojwa,nikamtafutia kiti aweze kukaa.Mimi nikatoka mpa kwa yule ndugu,kumwambia.Na pia taratibu za yule dada azikunilizisha.Sasa wakati nipo kwa ndugu pale,sasa apa naombeni munisikilize kwa makini, apa,ndio kuna jambo.Nipo pale nikamuona mkaka mmoja,yupo na kondoo wake pale,kama kunajambo anaongea naho,napalepale,alikuepo dada mmoja nae nafikili alikua nimuusika kwamana alikua anapanga watu.Nikabidi nimuendee nae nimuulize talatibu,majibu yake akaniambia niende kule mbele kama mwanzo,nikasema du,atary nikachoka.Unajua lengo langusikutaka nipoteze muda pale,najaligi sana muda,Sasa wakati nimeludi kwa yule ndugu.Tukibadilishana mawazo,pembeni yangu alikua anko,mmoja,nikaona sio vibaya kumuuliza, nikamwambia hivi apa ukitaka kuonana na uyu mtumishi,Yule anko akaniuliza umekuja na sh, ngap? Nikaona ngoja nimuite ndugu yangu,nae aje hamsikie yule anko,anko akaendelea kutuambia,akasema yeye,amefanya kumleta mke wake pale.na kwamaongezi yake yule anko,ametoa pesa sh,40000 lakini bado wanasema haitoshi,wanamtaka ahongezee lakini wp. Akaendelea kutuambia kwamba kunawatu,wanalalamika,wametoa pesa lakini,akuna chochote.Zimeliwa akatudokezea,anasema garama zakumuona uyo mchungaji sh.laki 500000,akatuambia kuna mama yeye walimwambia atoe kwanza Elfu 50000,ataweza kumuona lakini matokeo yake katoa iyo pesa akuna chochote,anatuambia mpaka muda ule anadai pesa,yake,nasikia anataka kwenda police,,Yani kwakweli nilichoka mimi na yule ndugu wakati anaendelea kufunguka yule anko,akaja yule dada,
akamwambia yule anko haondoke pale,du yani atary yule ndugu akaniambia niende nikamchukue mgojwa tusepe,Jamani tuweni makini mambo ni mengi.
poleni ila mwandiko mbaya...
 
Mbona mmekazana kuonya kujihadhari na manabii huku mmeacha waganga wa kienyeji wapiga ramli na wasoma nyota? Mmeona manabii wako smart kupiga hela wivu umewapanda! Kama we huna shida acha wenye shida waende huko wakafarijiwe wapate faraja kwenye matatizo yao
 
Ukitaka kujua huyo jamaa ni muongo ukisikiliza Furaha fm usiku jamaa anafufu mpaka watu eti na kabla ya kufufua anamwambia mtu atumiwe kwanza hela kwenye account yake ya benki ila hili taifa daah tunaangamia Kw kukosa maarifa sana. Yaani unakuta watu wengi wanaenda kwake eti hata kwa macho na masikio ya kawaida unaona kabisa huu ni uongo
 
Back
Top Bottom