snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,422
- 25,322
ha haaaa, mdogo wangu snowhite kama umemshinda basi wewe kiboko.....
Ila sasa shosti ungetuambia toka mwanzo kwamba ni yule yule wa mwanzo, wenzio si tulidhani penzi jipya?
msalimu sana soul mate...... mu-enjoy hii weekend
ahaahhahahhah hujawahi kupotea imani na mimi!
sidhani kama hapa imekuwa ya kwanza!