Kubaka kwa style hii ni kosa?

Kubaka kwa style hii ni kosa?

Jamaa yangu kanijia
anaomba ushauri,ana sema huu ni mwezi wa pili hajamjua mkewe anasema
kila akimwambia anasema amechoka au anaumwa, anasema amejaribu mpaka
outing lakini wapi mkewe anashilia msimamo ule ule amechoka hajisikii
vizuri,
Pia akesema hapo nyumbani kuna house girl wao anamtaka lakini
anamkatalia kwa kumuheshimu mkewe kwa kuwa anampenda, lakini kwa hali
ilipofikia anaona anashindwa hivyo akamua aje aombe ushauri kwangu
ambake mkewe au atembee na house girl wao? mambo ni mengi
kuyaandika itakuwa kitabu, hii ni story ya ukweli si ya kutunga so
ushauri wako uwe wa ukweli na si matusi asanteni

We acha we! mke kagoma na housegirl anataka! patamu hapo! Alambe wafuatao, 1.House gelo wake,2. raffiki wa mkewe,3. Mdogo au dada wa mkewe na mwisho asikilizie tifu kwanza,mengine ntamwelekeza zaidi akimaliza hayo kwanza.
 
shostii nna ham??? soul mate kantoa jasho nusura macho yantoke!!!
Nakwambia nilivamiwa na EMT na snowhite wamenishikia bango na soul mate wangu weeeh lakini hata sikukubali nilienda nao hadi mwisho kuonesha kuwa nimekufa nimeoza kwa soul mate looh na tumeshibana kisawasawa.
Mwisho wa yote hajambo nashukuru kumjulia hali.
ha haaaa, mdogo wangu snowhite kama umemshinda basi wewe kiboko.....
Ila sasa shosti ungetuambia toka mwanzo kwamba ni yule yule wa mwanzo, wenzio si tulidhani penzi jipya?
msalimu sana soul mate...... mu-enjoy hii weekend
 
Last edited by a moderator:
Kumlazimsha mke na kufanya nae mapenzi kwa lazima inawezekana, na inatokea sana kwa wanandoa! ila wakati mwingine kufanya mapenzi ya lazima na mtu amenuna tuuuu, hainogi!
Ni vizuri kukaa nae na kumuuliza huo uchovu wa zaidi ya miezi miwili kuna nini, unaweza "baka" kumbe mtu mgonjwa yakawa mengine au labda kuna sababu nyingine za ndani zaidi..
La sivyo kama hajiskii tu na hana sababu za maana....apige off side tu, but si kwa hg,
 
labda kashagundua unammendea house gal,picha ingekuwa tofauti ina maana labda upate klisukari ushindwe kupafom ungetaka mkeo aende nje?mkaribishe shetani aibomoe nyumba yako....sex labda uchunguze kwa kuongea naye nini tatizo ....
 
huyo mwanaume asitafute justification ya kutembea na house girl. otherwise azungumze na mkewe inawezekana kuna mambo yamejificha nyuma ya pazia. si vizuri kumjudge huyo dada moja kwa moja wakati haijulikani upande wa pili kuna nini.
 
house girl si alishamkatalia, au naye anataka kumbaka?

Ukisoma msitari kwa msitari ni kwamba hg anamtaka jamaa, ila jamaa anmuheshimu mkewe.

Nahisi huyu mama ana miradi ya nje!
 
Hivi kama mtu ni mgonjwa.. Si huwa anaenda hosp??

Au huyo mywaifu wake ni mgonjwa daily???

Na kazi anafanya kwenye godown sehemu ya kupakia na kushusha mizigo au???

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
ndoa zinamambo!
Huyo dada hakuambiwa ndoa ni kulala bila c.h.u,p,i?
Ila from my experience jamaa lazima kamtibua mkewe so mamaa anatumia uroda kumwadhibu mumewe.
 
ni bora amweleze mkewe ajiulize pia kwanini housegal kamtaka? ukute ana yake ni bora ayamalize na mkewe
 
kaka acha ujinga, huwezi kunyimwa kaki yako ya msingi muda wote huu halafu unatulia tu. hata kama mmegombana ni kosa kubwa sana kutoa adhabu kama hiyo. hii ni haki ya msingi hivyo haina mjadala. siwezi kukaa na wife zaidi ya wiki bila papuchi labda niwe nimesafiri. KAKA JARIBU KUCHUNGUZA, LABDA KUNA SEHEMU ANAMALIZIA HAJA ZAKE.
 
Mike[MENTION][/MENTION] 1234 hujatuweka wazi na tutaishia kutoa ushauri usiokidhi haja naomba unijibu
huyo wife ni kabila gani?
huyo hg ni kabila gani?katafutwa na nani?

kwa sababu inaonekana kuna mchezo hujauelwa hapo kati ya wife na huyo hg,kwani kuna makabila mengine mke anakutaftia mke mdogo na sio lazima akuambie ni mke mdogo unaona tu kwa matendo

na vilevile nikijua kabila la wife tunaweza kujua umfanye nn kwani makabila mengine hawakupi papuchi bila kufanya ubabe
 
Cha msingi avunje ukimya azungumze na mkewe pengine kuna jambo mdada amelificha moyoni mwake so amuulize kwa upole . Mimi naamini akivunja ukimya mambo yatakua safi, mawazo ya kufikiria HG ni mawazo mafu na wala hayana tija. Narudia tena azungumze na mkewe kwa kina. Unajua kuna kina mama hupenda kubembelezwa sasa ajaribu kumbembeleza pia
 
ha haaaa, mdogo wangu snowhite kama umemshinda basi wewe kiboko.....
Ila sasa shosti ungetuambia toka mwanzo kwamba ni yule yule wa mwanzo, wenzio si tulidhani penzi jipya?
msalimu sana soul mate...... mu-enjoy hii weekend

hahahahahaaaaaaa jamanii kumbeeeee.......!!! ndio maana walikuwa wananishikia bangoo loooh hehehehehehehehh!!!
Mie nlijua wamenielewa laaaah!! Soul mate hajambo mwaya ananipet pet tuu na wik end hii kwetu mvua inanyesha yaani hapa full kujifunika mablanketi.
Salamu zimefika nawe wik end njema mwaya.
 
hajisikii vizuri miezi 2?
anaumwa? au mjamzito?

Aumwe au ujauzito ndo iweje? Miezi 2 mzee mwezangu kuna mtu anakusaidia! Km vp mrudishe nyumbani akapumzike miezi 3amuache house girl......
 
kumbaka mke ni jambo la kawaida sana na huyo anaonekana sio mzoefu wa kwenye ndoa. Akishakaa kwenye ndoa miaka kadhaa wala hatakuja kukuuliza kuwa ambake mkewe au asimbake. Saa nyingine mwanamke akikukatalia anataka utumie uana ume wako ajue jee wewe ni wa kuambiwa na kukubali au unatumia mabavu yako uliyopewa na mungu kuwa wewe ndo final kwenye nyumba. Ila tuu angalizo kama mkewe mjamzito ambake kiaina na kwa style za kiujauzito sio za wampangan style looh!!
Mwambie leo awahi kurudi home na waingie chumbani mapema na mkewe kisha waanze kuongea story za kuchekesha wachekeee au wakumbushane siku waliyokutana na kuanza mapenzi yao in btw mkewe akiwa hajui hili wala lile katikati ya storyu za kucheka aanze kuuchezea mwili wa mkewe hasa sehemu zinazoinua ham kwa mkewe haraka na afanye zoezi hili kwa muda mrefu tuu anaweza iashia na long romance kisha bila maneno wala malumbano asumani msumeno ataingua ndani kwa bibie na mambo yatakuwa shwariii....................
Yatakayojiri asubuhi asikusimulie maana ni siri yake, mwambie story zinamipaka yake, kwani atapewa tabasamu hizo na mkewe na madikodiko ya kila namna.
Jioni njema na week end njema.
ushauri wako ni wa msingi sana na utazingatiwa
 
Naipenda JF ukiwa na tatizo maushauri kibao, jamani nashukuru kwa ushauri wenu sasa nimepata la kuongea nao
 
Mie huwa natoaga zawadi kabambe kuponyesha ugonjwa au humgharamiya cliniki time2timu...."ili pasiwepo migomo baridi"
 
Namchunguze labda ana tatizo lakisaikolojia tht iz why ana hajisikii..au wajanja nnje wana kula kiana.,,,japo ina umma mtu una mgharamia kila kitu alafu ana kunyima unyumba anakutia majaribu ili ukalete ukimwi nnje.
 
huyo mwanaume asitafute justification ya kutembea na house girl. otherwise azungumze na mkewe inawezekana kuna mambo yamejificha nyuma ya pazia. si vizuri kumjudge huyo dada moja kwa moja wakati haijulikani upande wa pili kuna nini.

kwa maana hiyo mambo tofauti na unyumba huyu mwanamke hasira anazielekezea komani (kweye "o"weka "u")
nawahakikishieni kuna janga analitafuta, na atakula na watu wa kwao. subiri kicheche kigundue, atajutaaaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom