Una helaMimi ni afisa afya mazingira nayafuta mtu wa KUBADILISHANA nae kituo Cha kazi mimi Nipo mafinga nataka mtu wa dar, morogoro au Tanga
Mawasiliano 0772812544
Hela ya kumpa nani, anaebadilishana nae au afisa uhamishaji ongezea nyama kidogoUna hela
Jibu vizuri uweze kusaidika kwenye hiyo michakato mkono wako hautakiwi kuwa mfupiWe unayoo