Kubadilisha combination kutoka Art kwenda sayansi

sagakuch

Member
Apr 15, 2017
20
45
Samahani wakuu,, kuna mdogo wangu amechaguliwa kwenda form five kwa mchepuo wa HGK Ruvu girl's high School Lakini yeye anataman asome science mchepuo wa CBG na tayari ameishasoma tuition yamasomo hayo, je kunauwezekano akifika kule akaruhusiwa kubadilisha? Cbg ana CCD,,,nawasilisha wakuu
 
Don255

JF-Expert Member
May 30, 2012
1,069
2,000
inawaezekana....kama CBG kwenye hiyo shule ipo....kama hamna muamiashe shule akosome comb ya ndoto yake...(aende kwa academic na hati ya matokeo)..
 
Mr. MTUI

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
7,893
2,000
Aende huko HGK awe mwanasiasa/ mwanasheria ndo kunalipa.. Si unaina wakina Tundulisu na Lowassa wanavyokula shavu.. Au mwingine alikua mwanadayansi sasa hivi ni mwanasiasa... Tatizo watu wamekariri.. Masayansi haya ni magumu...kazi zake ngumu na malipo yake ni duni... Zingatia ushauri wangu baada ya miaka mitano had ni nane atakuja nishukuru kwenye ansadi hii..
 
Asante Sana ila tatizo yeye anapenda kusoma sayansi
 
Blank page

JF-Expert Member
May 28, 2015
4,223
2,000
fuatilia mapema kujua vigezo na sifa,ambazo zitamruhusu kubadili mchepuo katika shule anayokwenda.maana shule zinazingatia idadi ya wanafunz na ufaulu na vigezo vingne kam tahasusi anayoitaka ipo hapo shulen.
 
sagakuch

Member
Apr 15, 2017
20
45
fuatilia mapema kujua vigezo na sifa,ambazo zitamruhusu kubadili mchepuo katika shule anayokwenda.maana shule zinazingatia idadi ya wanafunz na ufaulu na vigezo vingne kam tahasusi anayoitaka ipo hapo shulen.
Ndio mkuu huo mchepuo WA CBG upo kabsa kwenye hiyo shule ndo maana nmeuliza kabla hajaripoti isije akafika kule wakamkatalia kubadili combination,,ni bora kujua mapema ili Kama hakuna uwezekano tumtafutatie shule ya private
 
Jun 13, 2017
35
95
Uwezekano wa kubadilisha upo iwapo mutafuatilia mapema hapo shuleni anapokwenda ukizingatia now wanahitajika wanafunzi wengi wa sayansi kuliko arts
 
mhuri25

JF-Expert Member
Sep 3, 2016
1,531
2,000
Math-D, Physics-D, Bios-C, Geo-C, Chem-D, Hist-C, Eng-C, kisw-C, civ-C-Amepata div3 ya22
Kuhama Hiyo Tahasusi ni ngum kidogo Maana Alipo kafaulu zaid kuliko atakapo.... Point 9 dhidi ya point 10 Afu zaid math ana D kwa science wanazngatia....anyway awahi mapema akajaribu anaweza kupata wakimzingua Basi mtafutieni hata Private maana Hata Dada angu nae anataka CBG wamempeleka HGL
 
Asante Sana mkuu
 
sergio 5

JF-Expert Member
May 22, 2017
8,719
2,000
Kuhama Hiyo Tahasusi ni ngum kidogo Maana Alipo kafaulu zaid kuliko atakapo.... Point 9 dhidi ya point 10 Afu zaid math ana D kwa science wanazngatia....anyway awahi mapema akajaribu anaweza kupata wakimzingua Basi mtafutieni hata Private maana Hata Dada angu nae anataka CBG wamempeleka HGL
Kama dada yako yupo form 5 bac ww utakuwa upo form one kumbe umu mitoto kibao
 
86lnd

Member
Oct 12, 2014
85
95
Samahani wakuu,, kuna mdogo wangu amechaguliwa kwenda form five kwa mchepuo wa HGK Ruvu girl's high School Lakini yeye anataman asome science mchepuo wa CBG na tayari ameishasoma tuition yamasomo hayo, je kunauwezekano akifika kule akaruhusiwa kubadilisha? Cbg ana CCD,,,nawasilisha wakuu
CCD kwa CBG ni ngumu sana kupata nafasi kwa government maana haja- balance combination, ufaulu wa combintion hiyo kwa Mwaka jana ni mkubwa sana. Wengi wao wamechukuliwa kwa ABB, BBB, BCC, na wachache sana wameanda CCC. Hivyo inabidi aongee kwanza na mkuu wa shule ili kujua msimamo wa shule ukoje.
 
mangelengele

JF-Expert Member
Nov 4, 2014
1,297
2,000
Ajitahd Akasome Sayansi Ina Wigo Mpana Wa Kupata Koz Vyuo Vikuu. Akisoma Sayansi Hatashindwa Kusoma Koz Za Arts Km Atataka Labda Km Zinahtaj Kiingereza Na Yeye Amefeli. Mf.Law. Lkn Arts Inawigo Finyu Sn Wa Koz Za Kusoma Vyuoni.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom