Kuanzisha kiwanda cha kutengeneza maji ya kunywa

Zanzibar Spices count me in. Nitaanza na share ya 5 M badae nitaongeza. Nashauri hapo mbele tuwe na phisical meeting.

Shukran HP 1 kwa ku Join (Usijali hili la Physical Meeting lipo)
Latest:
1 :Zanzibar Spices : Tsh:15,000,000 (hali ikiruhusu nawezakuongeza)
2 :Xidian : Tsh:15,000,0000
3 :niqqas hoe Tsh: 15,000,000
4 :HP1 Tsh: 5,000
Current Total Capital:Tsh:50,000,000

Tunakaribisha Stake Holders wengine walio Serious
 
Duh,yaani mie nilikuwa najua kama Bilioni moja au rahisi milioni mita nane hivi.
Yaani Steven unatisha kaka.Yaani hata Maswali hakuna,maana Data kamili.

Ngoja mie nifanye mchakato mwakani nitakutafuta nime save email yako.

Au wana JF mnaonaje tujipange watu kama 100 hivi then tuanzishe sehem kiwanda chetu.
Hili ni wazo tu,mie naweza kutoa mpaka share ya 15m.
Ni wazo tu jamani,maana tutumie muda humu kwa faida.
Tunaweza kuweka Utaratibu wa kuwa na Wamiliki kisha humuhumu tukaajiri watu wa Marketing wenye taaluma na uzoefu.Na pia humuhumu tukapata suppliers.
Wazo zuri. Kisha yaitwe Jamii water!
 
Shukran HP 1 kwa ku Join (Usijali hili la Physical Meeting lipo)
Latest:
1 :Zanzibar Spices : Tsh:15,000,000 (hali ikiruhusu nawezakuongeza)
2 :Xidian : Tsh:15,000,0000
3 :niqqas hoe Tsh: 15,000,000
4 :HP1 Tsh: 5,000
Current Total Capital:Tsh:50,000,000

Tunakaribisha Stake Holders wengine walio Serious

HP1 ni 5,000,000. Sio 5,000.
 
HP1 ni 5,000,000. Sio 5,000.
Ohh, Sorry HP,usije kusema tunaanza kuiba share zako mapema ni typing error mkuu,hahaha
Update:

Latest:
1 :Zanzibar Spices : Tsh:15,000,000 (hali ikiruhusu nawezakuongeza)
2 :Xidian : Tsh:15,000,0000
3 :niqqas hoe Tsh: 15,000,000
4 :HP1 Tsh: 5,0000
Current Total Capital:Tsh:50,000,000

Tunakaribisha Stake Holders wengine walio Serious
 
Mkuu inategemea. Ila siyo bei nafuu. Kama unahitaji kweli, ninamfahamu mtaalamu mmoja hapa anaweza kukufungia mtambo mzima kwa bei kati ya Euro 50,000 na Euro 100,000. Itategemea na ukubwa wa mtambo.

Unachotakiwa kukifanya ni kuangalia wapi utapata maji ya uhakika kwa sababu mtambo kwa mfano unazalisha chupa 2000 kwa saa, itabidi uwe na lita nyingi sana za maji chini ya ardhi, vinginevyo maji yatakauka. Pia uhakikishe usalama na usafi wa maji hayo kwani hilo siyo jukumu lake.

Yeye akija, ataunga mambomba kwenye sehemu maji yalipo. Ataweka Filter kusafisha maji kwa mara ya mwisho. Ataweka mtambo wa kutengeneza chupa hapohapo kwenye kiwanda chako na mwisho chupa zinajazwa maji na kufungwa kizibo chake.

Chupa zilizo mashuhuri ni 0.5l, 1.5l na 5l

Kama unahitaji kwelikweli basi wasiliana na mimi kwa email: SSAMBALI@Hotmail.com na ntakuunga kwa Mhandisi mzoefu ambaye ameshafunga mitambo mingi sana nchi nyingi za Eastern Europe na Asia. Kama sehemu hakuna Umeme, basi atahakikisha anakuacha na Generator ya kutosha kuhudumia mtambo mzima.

------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
As can be seen below, every thing can be produced 100% automatic or semi automatic with people doing some of the job. So, the price varies according to the wish of the customers.

The price range between €50,000 to €100,000.
________________________________________________________

We configure the fiilling lines depending with the customers wish.
2RLgMV6u9Ks0EIf6HEPeXRtqI2XhBTyKNstWYuSWgDrdvNwLBXYtxu2ric_YkhAkeUqKLn0ZKg=s0-d-e1-ft

Maelezo: Kutoka kushoto>> Kutengeneza chupa PBU-5, Kujaza maji kwenye chupa pet XAB-9, kuziba mfuniko ZBU-800, kuweka lebo-ECA-6, kufunga chupa autimatiki AVP-700, tuneli ya kuchemsha.

Some of the machines for producing PET bottles which also fixed at the production lines. This can be 0,5l, 1,5l, 5l etc but those are most popular one and this bottles are coming in very small sizes are BLOWN to it's normal size like the way people make balloons for decoration.

1. AUTOMATIC MACHINE TO PRODUCE PET BOTTLES TYPE ZR-77/3
This machine is prepared to automatic production of PET bottles from 0,2 l. to 2,5l.

THE SET INCLUDES:
- monoblock with tunnel to heating PET preforms and integrated
blowing unit
- preform's feeder
- one set of moulds (according with order)
- air compressorMoulds can be replaced

slVcvFUyKjbrZ6j2jiL1Rp9eUr8OrTk_WFIn-r3nDBh4N7A8Rt0Wkl6WJWS1wbpOOf5ebzeN=s0-d-e1-ft

TECHNICAL SPECIFICATION:
performance: 2000 bottles/h +/- 10%
power instalation: 25 kW
air blowing pression: 15 bar
capacity of cooling water: od 3 do 5l / min
dimention (mm)
1700 x 700 x 2100 monoblock
1650 x 700 x 1350 compressor
wieght all set 920 kg (570 kg monoblock, 350 kg compressor)
operating personnel - 1 person

There is a possibility to buy an automatic bottle's receiver with
the function of placing them on the production line.

2. SEMI-AUTOMATIC BLOWING MACHINES TO PRODUCE PET BOTTLES TYPE ZR-7 WITH MANUAL PREFORM PLACING AND BOTTLE RECEIVING
This machines are prepared to blow PET bottles from 0,2l to 5l, with the possibility to even 7l.

THE SET INCLUDES:
- tunnel to heating preforms PET
- blower with mould
- one set of moulds (according with order))
- air compressorMoulds can be replaced

h_DTzUa50NwR84h-bV3j1YVC-0gSQr2e08KACuwdFIVVblVb8yUJSiEAv42xjjcKpLXuxZHzAox8fw=s0-d-e1-ft

TECHNICAL SPECIFICATION:
performance:
750 - 850 bottles/h for bottles 0,2 - 2l
600 - 650 bottles/h for bottles 5l
power instalation- 20 kW
voltage - 50/60Hz 3x220V
air blowing pression- 15 (+/-1) bar
capacity of cooling water - ca 3 - 5 liters / min
dimention (mm)
1420 x 630 x 1560 blower
1220 x 520 x 1150 heating tunnel
1650 x 700 x 1350 air compressor
wieght all set 1250 kg
operating personnel - 1 person

3. MACHINE TO PRODUCE PET BOTTLES TYPE ZR-7/3x5

APPLICATION:
Semi-automatic blowing machine prepared to PET bottles of capacity 5l of any shape.

THE SET INCLUDES:

- tunnel to heating preforms PET
- blower with mould
- preform's feeder - one set of moulds (according with order))
- air compressorMoulds can be replaced

poNBZcjNooK2rbpAexDMMsr-lzVi-Z0zAQVwVK0k982fVkmacoYlzZJacwKY65x5X_VBuFEDAKG-UlVT=s0-d-e1-ft

TECHNICAL SPECIFICATION:

performance:
1100 bottles/h (3 x 5l)
power instalation- 27 kW
air blowing pression- 15 (+/-1) bar
(Machine is adapted to pressure: 25 MPA)

1600 x 800 x 1610 blower
1320 x 570 x 1150 heating tunnel
1650 x 700 x 1350 air compressor
wieght all set 950 kg
operating personnel - 1 person

Ndugu steven sambali,
Machine ulizoonyesha ni PET Blowing machine-(mashine ya kuzalisha chupa),
Hujagusa vifuatavyo;
1.Preform moulding machine-kama mtu atanunua preform ni sawa pia.

2.Air compressor,complete set haiwezi pungua 70,000$, machine nyingi za PET Blowing,filler,shrink mc zinatumia air pressure so air compressor ni lazima.

4.Water treatment plant, utahitaji machine za reverse osmosis(RO),hapa kuna vitu kama sand filter,carbon filter,membrane,UV na ozonator lakini inategemea na.maji uliyonayo. Kwa haraka pamoja na storage tank kwa 5000L/h capacity unaitaji sio kati ya 40,000-70,000$.kawaone water force au nenda alibaba ujiupdate.

5.Filler machine (complete inakua na rinser,filling na capping-makampuni ya kihindi kama HBM unaipata kwa 60,000$

6.labeling machine unaweza usitumie BOPP kwa sababu ni gharama na running cost iko juu coz inatumia air pressure,glue na umeme mwingi mbadala wake ni sleve applicator hii itapunguza gharama za glue na umeme.

7.shrink mc hii ni ya kupack unaweza ukafanya box packing,hapo waone jumbo packaging kwa gharama ili ujue carton yako itakugharimu kiasi gani.

8.Installation cost pia ni kubwa,umeme na mechanical hazitapungua 15,000$

9. Pia ungempa mdau estimate ya premise.

Ndugu wana JF tukumbushane kama kuna kitu nmesahau.

Wasaalam,
myAfrica.
 
Unaweza kuwa sawa ila hapa ugomvi wa bei unaweza kuwa unasababishwa na QUANTITY yaani wingi wa hizo chupa kwa saa. Mtambo huo juu ni mdogo na unaweza kuwa na chupa chini ya 3,000 kwa saa. Unaweza kuwa unaongelea mtambo kama wa Mengi au Bakhresa ambao wao wanazalisha chupa nyingi sana kwa saa.

Nikupe mfano mdogo: Hapa Ulaya kwa sasa kuna kimtindo cha kuwa na mtambo wa bia kwenye Restaurant. Ila inahitaji eneo kubwa kidogo na bei ni kubwa. Sasa unaweza kukuta mtambo kama huo ukawa na bei kwenye Euro 400,000.
Sasa nenda kwa TBL au sijui wale wa Serengeti waulize mitambo hiyo hiyo ila inazalisha Liter nyingi zaidi wananunua kwa bei gani.

Huyu Mpolish ambaye anauza hiyo mitambo, ana uzoefu mkubwa sana na mwenyewe pia ni Mhandisi wa mitambo. Mitambo yake mingi hadi inazalisha maji Russia, Ukraine , Asia na nchi kadhaa za Africa.
Utaratibu wake nimeandika ni kuwa anakukaribisha Poland, mnakaa na ku-project mitambo unayotaka iwe kwenye LINE ya kuzalishia maji pia kutokana na uwezo wako wa kifedha na uzoefu wake mnakuja kupata SOLUTION moja na hapo ndipo anaufunga mtambo wote kwenye Makontena na kukuletea na kuufunga na haondoki hadi ahakikishe unafanya kazi ndipo unamlipa fedha yake na kazi na mitambo.

Ila mwisho wa siku, nimeandika kuwa mie ni muunganishaji tu na wala si MTAALAMU. Hiyo ni kutokana na maelezo ya jamaa ambayo alinipatia na mie nikaamua tu kuyaweka hapa ili kuwapa watu mwanga. Hiyo Line unaona hapo imekamilika na mfano wa jamaa aliyenunua Line nzima ya kuzalishia maji. Hizi zinakuwa kwenye miji midogo au hata kwa ajili ya kampuni fulani au hotel fulani (Network).
Pia mwanzo nimeweka kwamba, jukumu la MAJI si la Muuzaji/Mfunga mtambo wa maji. Inatakiwa uwe na sehemu ya uhakika ya kupata maji na usalama wake. Hizo gharama yeye pia hawezi kujua kwani zinapishana kila nchi/Mkoa. Ndiyo maana sikuziandika na nimesema inabidi ujiandae mwenyewe. Yeye anaanzia kwenye MAJI YAPO TAYARI na anazalisha chupa na kuyafunga.

Asante hata hivyo kwa shule yako, nimeongeza nondo zaidi.

Asanteni watalaam,sie wengine yetu macho,maana nimeona hadi Osmosis hata definition yake nimeishasahau ila enzi zangu kwa kukariri nilikuwana ndio mwenyewe.Nakariri hadi Nukta, yaani kwenye mtihani likija swahili basi kichwani inakuja picha ya mistari yoote hadi rangi ya wino wa jibu

Wataalam pambaneni eeeeeee,kisha mtuletee jibu sahihi na mtupe njia.
 
Ni sawa kwa Euro 400,000 kama ulivyosema,nikupe mfano mdogo wa treatment plant/RO ya kichina inapatikana kwa Tsh 38,000,000/= capacity yake ni 1000L/H filler ndogo kabisa ya india inakua na 16bpm hiyo yako ya 3000ph/50bpm ni kubwa bado. Anyway technology inabadilika nisiwe mbishi. What is important is to avoid sunk cost, kuinvest kidogo na kuearn more,advice keep up the idea with altenative low investiment. Kwa walio dar you can seek consultation from low/medium manufacturers..
 
Mkuu inategemea. Ila siyo bei nafuu. Kama unahitaji kweli, ninamfahamu mtaalamu mmoja hapa anaweza kukufungia mtambo mzima kwa bei kati ya Euro 50,000 na Euro 100,000. Itategemea na ukubwa wa mtambo.

Unachotakiwa kukifanya ni kuangalia wapi utapata maji ya uhakika kwa sababu mtambo kwa mfano unazalisha chupa 2000 kwa saa, itabidi uwe na lita nyingi sana za maji chini ya ardhi, vinginevyo maji yatakauka. Pia uhakikishe usalama na usafi wa maji hayo kwani hilo siyo jukumu lake.

Yeye akija, ataunga mambomba kwenye sehemu maji yalipo. Ataweka Filter kusafisha maji kwa mara ya mwisho. Ataweka mtambo wa kutengeneza chupa hapohapo kwenye kiwanda chako na mwisho chupa zinajazwa maji na kufungwa kizibo chake.

Chupa zilizo mashuhuri ni 0.5l, 1.5l na 5l

Kama unahitaji kwelikweli basi wasiliana na mimi kwa email: SSAMBALI@Hotmail.com na ntakuunga kwa Mhandisi mzoefu ambaye ameshafunga mitambo mingi sana nchi nyingi za Eastern Europe na Asia. Kama sehemu hakuna Umeme, basi atahakikisha anakuacha na Generator ya kutosha kuhudumia mtambo mzima.

------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
As can be seen below, every thing can be produced 100% automatic or semi automatic with people doing some of the job. So, the price varies according to the wish of the customers.

The price range between €50,000 to €100,000.
________________________________________________________

We configure the fiilling lines depending with the customers wish.
2RLgMV6u9Ks0EIf6HEPeXRtqI2XhBTyKNstWYuSWgDrdvNwLBXYtxu2ric_YkhAkeUqKLn0ZKg=s0-d-e1-ft

Maelezo: Kutoka kushoto>> Kutengeneza chupa PBU-5, Kujaza maji kwenye chupa pet XAB-9, kuziba mfuniko ZBU-800, kuweka lebo-ECA-6, kufunga chupa autimatiki AVP-700, tuneli ya kuchemsha.

Some of the machines for producing PET bottles which also fixed at the production lines. This can be 0,5l, 1,5l, 5l etc but those are most popular one and this bottles are coming in very small sizes are BLOWN to it's normal size like the way people make balloons for decoration.

1. AUTOMATIC MACHINE TO PRODUCE PET BOTTLES TYPE ZR-77/3
This machine is prepared to automatic production of PET bottles from 0,2 l. to 2,5l.

THE SET INCLUDES:
- monoblock with tunnel to heating PET preforms and integrated
blowing unit
- preform's feeder
- one set of moulds (according with order)
- air compressorMoulds can be replaced

slVcvFUyKjbrZ6j2jiL1Rp9eUr8OrTk_WFIn-r3nDBh4N7A8Rt0Wkl6WJWS1wbpOOf5ebzeN=s0-d-e1-ft

TECHNICAL SPECIFICATION:
performance: 2000 bottles/h +/- 10%
power instalation: 25 kW
air blowing pression: 15 bar
capacity of cooling water: od 3 do 5l / min
dimention (mm)
1700 x 700 x 2100 monoblock
1650 x 700 x 1350 compressor
wieght all set 920 kg (570 kg monoblock, 350 kg compressor)
operating personnel - 1 person

There is a possibility to buy an automatic bottle's receiver with
the function of placing them on the production line.

2. SEMI-AUTOMATIC BLOWING MACHINES TO PRODUCE PET BOTTLES TYPE ZR-7 WITH MANUAL PREFORM PLACING AND BOTTLE RECEIVING
This machines are prepared to blow PET bottles from 0,2l to 5l, with the possibility to even 7l.

THE SET INCLUDES:
- tunnel to heating preforms PET
- blower with mould
- one set of moulds (according with order))
- air compressorMoulds can be replaced

h_DTzUa50NwR84h-bV3j1YVC-0gSQr2e08KACuwdFIVVblVb8yUJSiEAv42xjjcKpLXuxZHzAox8fw=s0-d-e1-ft

TECHNICAL SPECIFICATION:
performance:
750 - 850 bottles/h for bottles 0,2 - 2l
600 - 650 bottles/h for bottles 5l
power instalation- 20 kW
voltage - 50/60Hz 3x220V
air blowing pression- 15 (+/-1) bar
capacity of cooling water - ca 3 - 5 liters / min
dimention (mm)
1420 x 630 x 1560 blower
1220 x 520 x 1150 heating tunnel
1650 x 700 x 1350 air compressor
wieght all set 1250 kg
operating personnel - 1 person

3. MACHINE TO PRODUCE PET BOTTLES TYPE ZR-7/3x5

APPLICATION:
Semi-automatic blowing machine prepared to PET bottles of capacity 5l of any shape.

THE SET INCLUDES:

- tunnel to heating preforms PET
- blower with mould
- preform's feeder - one set of moulds (according with order))
- air compressorMoulds can be replaced

poNBZcjNooK2rbpAexDMMsr-lzVi-Z0zAQVwVK0k982fVkmacoYlzZJacwKY65x5X_VBuFEDAKG-UlVT=s0-d-e1-ft

TECHNICAL SPECIFICATION:

performance:
1100 bottles/h (3 x 5l)
power instalation- 27 kW
air blowing pression- 15 (+/-1) bar
(Machine is adapted to pressure: 25 MPA)
capacity of cooling water - ca 3 - 5 liters / min
dimention (mm)
1600 x 800 x 1610 blower
1320 x 570 x 1150 heating tunnel
1650 x 700 x 1350 air compressor
wieght all set 950 kg
operating personnel - 1 person

Very useful thread, asante JF.
 
Asanteni watalaam,sie wengine yetu macho,maana nimeona hadi Osmosis hata definition yake nimeishasahau ila enzi zangu kwa kukariri nilikuwana ndio mwenyewe.Nakariri hadi Nukta, yaani kwenye mtihani likija swahili basi kichwani inakuja picha ya mistari yoote hadi rangi ya wino wa jibu

Wataalam pambaneni eeeeeee,kisha mtuletee jibu sahihi na mtupe njia.

Kwa waliopo Dar opportunity ipo,free consultation from Jaisat engeneering from India. I can arrange only today as he is leaving tomorrow. There is cheaper altenative. M sure will expose you all with live demonstration. Check with me private msg
 
Mbona kizungu hiki sijakielewa kabisaa,mwanze nimeelewa kati ikapinda mwisho ndio sijaelewa kabisaa.
I can arrange only Today,yaani kirahisi namna hii mtu apange kukutana,salam kweli hapo
 
Oky acha uoga hauibiwi, naweza kuwakutanisha na mtaalam huyu kutoka Jaisat engeneering. Watu smart wangeomba email kama unaogapa kukutana. M trying to assist.
 
Ni kweli Technology zinapishana na zinaendelea. Nimeangalia hizo mashine za PET na nimeona kweli zinapishana.

Ungelisoma maelezo kwenye michoro juu ungeliewewa hiyo EUro Laki moja nilimaanisha nini.

Kwa mfano mashine kubwa wanatumia Pressure 45 bars wakati hapo juu ni 15 bars.

Pia ukiangalia baadhi ya kazi inabidi ufanye kwa mikono ikiwa na maana ni Semi Automatic.

Mashine za kusaga mahindi au ngano zipo nyingi ila kuna nyingine dola Elfu mbili na za Bakhresa ni mamilioni.

Uzuri ni kuwa jamaa kabla hujanunua, anakuita na mnapanga kila kitu kwenye karatasi na unakwenda kujipanga utanunua kipi kutokana na uwezo wako mfukoni.
Ila bado ukweli utabaki palepale, hata kama bei ni hiyo Laki moja, ni lazima uwe na laki mbili zaidi ili kuweza kuendesha mtambo. Hapo kuna kutafuta maji, kusafisha maji, vibali, usafiri, kuagiza materials kutoka nje nk. Na hapo tunakwenda palepale kuwa ili uanzishe mradi kama huu, itabidi uwe na laki kadhaa. Vinginevyo utakosa hata fedha za kuletea nguzo za umeme kiwandani kwako.

Back
Top Bottom