Kuanzisha kiwanda cha kutengeneza maji ya kunywa

Kuanzisha kiwanda cha kutengeneza maji ya kunywa

Mimi nina different concept of approach;

Unaonaje in the beginning uki negotiate on big discount na mzalishaji mkubwa wa maji ambaye yuko well established, wewe utengeneze labels zako of different brand say ''JF spring water'' then anazipack kwa labels zako halafu unatest soko limekaaje kwa say miezi 6 ? na kuweza kupata experience wakati huohuo, hapo risk of investment itakuwa very low,wakati wowote unaweza ku pull out mambo yakikaa vibaya...ni idea tuu.. samahani wakuu kuchanganya kiingereza na kiswahili ..

Huyo mzalishaji mkubwa kwani anapenda competition? Kibiashara ni ngumu sana kukupa ushirikiano kwani product ni ya aina moja.Ni mawazo yangu tu!
 
Wazo lako ni zuri ila mimi naushahuri, Tuachane na hii Biashara ya Maji na tufanye Biashara ya Kukamua Mafuta ya alzeti maana huu Mtambo sio bei kubwa sana na kwa sasa mafuta ya Alzeti ni Dili kumbuka wamepigiga marufukiu uagizaji wa Mafuta kutoka Njee.
Wazo lako pia zuri ila linahitaji uzi unaojitegemea.
Then watu watagawanyika au kuwa na share pande zote
 
Zanzibar_spice umefikiri vyema sana enlist me by jan 2015, <15m>

Latest:
1 :Zanzibar Spices : Tsh:15,000,000 (hali ikiruhusu nawezakuongeza)
2 :Xidian : Tsh:15,000,0000
3:niqqas hoe Tsh: 15,000,000

Current Total Capital:Tsh:45,000,000


Tunakaribisha Stake Holders wengine walio Serious
 
Mimi nina different concept of approach;

Unaonaje in the beginning uki negotiate on big discount na mzalishaji mkubwa wa maji ambaye yuko well established, wewe utengeneze labels zako of different brand say ''JF spring water'' then anazipack kwa labels zako halafu unatest soko limekaaje kwa say miezi 6 ? na kuweza kupata experience wakati huohuo, hapo risk of investment itakuwa very low,wakati wowote unaweza ku pull out mambo yakikaa vibaya...ni idea tuu.. samahani wakuu kuchanganya kiingereza na kiswahili ..

Hii kitu huwa inafanyika sana mara nyingi inakuwa kwa makubaliano ukafanye sales yako nje ya territory ya mipaka ya soko lake, kwa hiyo suala la competition is out of question....wafanyabiashara wakubwa wa kuleta bidhaa from China wanalielewa sana hili...kule kuna viwanda vinazalisha good quality products bila ya brand then wewe as a marketer unawapa brand name yako say JF unaambiwa nenda kauze katika eneo X, mwingine anapewa same product kwa brand yake say JR anaambiwa kauze eneo lako la Y...so wewe third party ukienda kiwandani ukataka wakuuzie products zenye brand JF au JR unaambiwa hizo brands ni miliki ya watu wengine so huwezi kuuziwa..lakini nilishasema kwamba hii ni kwa kuanzia tu ili ujifunze hio biashara inaendaje na changamoto zake, coz nawajua watu walioanzisha hii biashara na waka fail, ila sababu za wao kufail ndio sijui..anyway hapa tunabadilishana mawazo tu..
 
Hakuna wasiwasi. Wewe tunza tu Email yangu na ukiwa tayari, basi nijulishe na ntaangalia ntakusaidia vipi.

Kila la kheri katika shughuli zako.
mm natumia mikono na ni mfanyabiashra mdogo sana
ngoja nifanye hivyo kama ulivyonishauri kisha kama
itatokea product imekuwa kubwa nitawasiliana nawe
 
Kama nyie watu kweli mnataka kufanya kweli, kuna njia ya mkato ninaweza kusaidia ingawa hapo na mimi ntadai Kikeki changu. Ila kama zilivyo njia zote za mkato, huwa zina RISK zake. Hapa itabidi wenyewe muamuwe kama mtataka kufanya RISK na muanze hata mkiwa watu watatu au mtataka mtambo mpya kabisa unaofanya kazi tayari Tanzania.

Wasiliana na mimi kwenye Email: Ssambali@Hotmail.com na ntakupa maoni yangu. Mtajadiliana wenyewe na mkishakubaliana basi au mtacheza njia ya mkato au mtasubiri muende njia ndefu. Kazi kwenu.
Latest:
1 :Zanzibar Spices : Tsh:15,000,000 (hali ikiruhusu nawezakuongeza)
2 :Xidian : Tsh:15,000,0000
3:niqqas hoe Tsh: 15,000,000

Current Total Capital:Tsh:45,000,000


Tunakaribisha Stake Holders wengine walio Serious
 
Mkuu, hebu soma maelezo yangu ya kwanza kabisa na angalia utaona kuna mitambo ya aina tatu kama sikosei ya kuzalisha chupa. Sasa wewe hebu sema, ungelipendelea upi katika hiyo mitatu na mimi ntakuulizia sehemu tofauti bei yake. Kama mtambo wako wa kujaza maji, unajaza kwa chupa 2,000 kwa saa, huwezi kuzalisha chupa 1,000 kwa saa au 5,000 kwa saa kwa sababu au utazalisha kidogo au utazalisha nyingi sana kwa kiwanda chako na hapo ni upotevu wa pesa.

Tafadhali tuwasiliane kwenye Email kwani JF si msomaji wa kila siku kama ilivyo kwenye Email: Ssambali@hotmail.com
Steven Sambali Nimependa mchango wako sana ..nisaidie kujua mtambo wa kuzalisha chupa peke yake ni shilling ngap?..chupa za maji cz wa production ya maji makubwa ninao tayar
 
Mtambo mzima wa kusindika maziwa, mpya kabisa utakuwa kwenye bei hiyo hiyo yaani kwenye Euro 60,000.

Kama ni Cold Room peke yake itabidi nifuatilie maana sina habari wala uzoefu wowote kwenye uzalishaji wa maziwa. Ila kabla sijakuandikia, nimepitia habari kadhaa na kusoma uzalishaji wake ulivyo. Na kutokana na habari hiyo, ndiyo nimekuja na hiyo bei.

Huo mtambo ni ule unaya-process maziwa na baada ya hapo yanaweza kudumu hata mwezi mzima bila kuharibika.

Ni kama maziwa yaliyoko dukani kwa wingi nchi za Ulaya. Pia huhitaji kuyaweza muda wote kwenye friji. Hii inasaidia hata wale wa vijijini na hawana friji kutumia.

Tafadhali wasiliana na mimi kwenye Email yangu Ssambali@hotmail.com kwa sababu si kila siku nasoma JF. Pia niandikie maelezo unataka kuzalisha vitu gani kwa sababu mtambo wa maziwa, huenda na uzalishaji wa vitu vingine kama jibini sijui na takataka aina mbalimbali zinazotokana na maziwa. Itakuwa hasara kuzitupa baadhi ya product.
Hebu Steven tusaidie hapa cost za mashine ya kiwanda kidogo cha kusindika maziwa, au hata coldroom peke yake.
 
Mkuu, uzalishaji wake ni kama huu wa maji ya kawaida ila kuna sehemu wanaweka huo unga au maji yenye radha ya hivyo vitu na mara nyingine wanajaza GAS humo ndani kama ilivyo kwenye Cola na kufunga. Ila chupa zinazotumika kwenye maji yenye GAS zinakuwa kidogo ni nene.

Maji yenye radha, nalo linaweza kuwa wazo zuri kwani unakuwa hupiganii soko na hao wazalishaji wakubwa. Pia kwa sababu ni vinjwaji vya bei nafuu, ni aibu kwa makampuni makubwa kuzalisha bidhaa kama hizi. Hapo soko wanawaachia wasio na utajiri wa kutisha.
Humu yanaletwa mawazo mengi na watu wanapokea kwa Shangwe tatizo Utekelezaji cjui tutatokaje Eneo hilo,,,,! Hili ni wazo zuri sana Ukichukulia humu kuna watu wakila FANI cdhani km kuna kukwama! Nataka kujua jambo hasa kwenye mambo ya Production ya Maji kuna kipindi nilikuwa nakunywa Maji nadhani yanatengenezwa ARUSHA yale maji yalikuwa na Test ya matunda km EMBE ,NANASI nk,hv product km ile inatenezwaje? kwaanaejua msaada wandugu!
 
Kama nyie watu kweli mnataka kufanya kweli, kuna njia ya mkato ninaweza kusaidia ingawa hapo na mimi ntadai Kikeki changu. Ila kama zilivyo njia zote za mkato, huwa zina RISK zake. Hapa itabidi wenyewe muamuwe kama mtataka kufanya RISK na muanze hata mkiwa watu watatu au mtataka mtambo mpya kabisa unaofanya kazi tayari Tanzania.

Wasiliana na mimi kwenye Email: Ssambali@Hotmail.com na ntakupa maoni yangu. Mtajadiliana wenyewe na mkishakubaliana basi au mtacheza njia ya mkato au mtasubiri muende njia ndefu. Kazi kwenu.
Haya nimekuandikia kwa niaba ya Bodi ya Wakurengenzi watarajiwa Kina Xidian na Niqqas hoe.
Kisha nita wa PM ili kupata maoni yao in private
 
Wakuu mkumbuke pia changamoto za TFDA TBS Hawapo kumsaidia mtu mdogo bali kumdidimiza mfano Lady Jaydee alitoa maji nafikiri alikua ananuna toka kwa MOETL na kuweka label yake TBS NA TFDA walimshukia na vyombo vya habari mpaka leo hajazalisha tena
 
Asante Sambali naona coldroom ndio muafaka hayo ya euro 60000 ukashindane na Bakhresa hapana bora kuwa wakala wake mdogodogo tutafika.
 
Kuna Matanki ya kuhifadhia Maziwa na yanaweza kutunza hata Lita 10,000 kwa tanki moja. Linakuwa na kifriji chake na hivyo huhitaji Cold Room zaidi ya sehemu ya kuliweka hilo tank.

Yapo Used na mapya. Nafikiri kwa bei, yatakuwa kuanzia Euro 3,000 kwa yaliyotumika na kwenda juu. Bei inategema upya wake au kama ni jipya kabisa na ukubwa wake. Nafikiri hii inaweza kuwa Solution nzuri kwako.
Asante Sambali naona coldroom ndio muafaka hayo ya euro 60000 ukashindane na Bakhresa hapana bora kuwa wakala wake mdogodogo tutafika.
 
Ni kweli kabisa Mkuu. Ila imeshaongelewa mwanzo kuwa Lady Jaydee alikuwa anatengeneza maji yake kwenye kiwanda cha watu. Sasa haijulikani kama huko huko ndiko walimkaanga au lah. Angelikuwa na kiwanda chake mwenyewe, inakuwa ni rahisi kupelekana mahakamani kwani itabidi waonyeshe kuwa maji yanapotoka kiwandani, ni kweli yana madhara au hayafai kuyanywa.

Ila ni kweli kabisa kuwa kabla hujaanza kuzalisha, inabidi maji yapelekwe TFDA na chupa zipelekwe TBS kama sikosei.
Wakuu mkumbuke pia changamoto za TFDA TBS Hawapo kumsaidia mtu mdogo bali kumdidimiza mfano Lady Jaydee alitoa maji nafikiri alikua ananuna toka kwa MOETL na kuweka label yake TBS NA TFDA walimshukia na vyombo vya habari mpaka leo hajazalisha tena
 
Wakuu mkumbuke pia changamoto za TFDA TBS Hawapo kumsaidia mtu mdogo bali kumdidimiza mfano Lady Jaydee alitoa maji nafikiri alikua ananuna toka kwa MOETL na kuweka label yake TBS NA TFDA walimshukia na vyombo vya habari mpaka leo hajazalisha tena
Nasoma course ya entrepneurship na kuna kisehemu kinaitwa "bussiness environmet" naamini hapo ndipo alipokosea.Ni lazima kujua sheria za nchi,mila na taratibu za watu n.k.
 
Mkuu!!! Man Power Tupo Hapa!
Hahahahahaaa jamani kweli wewe ni manpower yani nimechukua dakika mbili kuangua kicheko ha hiyo AVATAR yako sijui ni maswahibu gani huyo sijui ni mbwa sijui mtu anayapata dah! kweli nimecheka hilo jicho na mdomo Hahahahaaa!
 
Zanzibar Spices count me in. Nitaanza na share ya 5 M badae nitaongeza. Nashauri hapo mbele tuwe na phisical meeting.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom