Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,744
Kila nikiangalia naona kuna hatari serikali ya JK (Just Kidding) kuanguka na kusababisha uchaguzi mpya kabla ya 2015 ,dalili zote za kuanguka kwa serikali zimeanza kuonekana ,mgomo wa wafanyakazi wa serikali ,bunge kuwa uwanja wa fujo na kupoteza heshima ,zaidi ni kuzuka kwa migomo katika elimu hili sio jambo dogo ,kwani kukosekana kwa elimu ni kuwa na Taifa la wajinga hapo baaadae.
Huu ni wakati wa Jeshi kujipanga pamoja na mahakama kuzuia Nchi na kuiweka katika hali ya amani hadi utakapofanyika uchaguzi.
Huu ni wakati wa Jeshi kujipanga pamoja na mahakama kuzuia Nchi na kuiweka katika hali ya amani hadi utakapofanyika uchaguzi.