Kiboko ya Jiwe
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 12,753
- 36,321
Habari! Juzi wakati nimetoka zangu night shift narudi home Chanika nikawapa lift watu 2 . Mmoja nilimwacha Gongolamboto mwingine nikaambatana naye mpaka Chanika Mwisho kwa Ngwale.
Tuliongea mengi ila kwa ufupi ni kwamba huyu baba kalitumikia taifa miaka 30 kama polisi, kastaafu mwaka huu kwa cheo cha koplo.
Huyu anakwenda kupata kiinua mgongo kidogo sana kulingana na cheo chake alichostaafia.
Polisi nadhani ndio kada inayoongoza kwa kunyanyaswa kwenye suala zima la promotion kazini. Huku watumishi wa umma wakipanda daraja kila baada ya miaka 3-4 , kuna polisi kwa miaka 30 anapanda cheo mara moja.
Nilitarajia wataungana na wananchi kudai haki kumbe imekuwa kinyume.
Kaka yangu ni police officer ( Inspector of police) mshahara wake ni kama sajini wa jeshi.