Kuajiriwa 1991 kupandishwa cheo mara moja tu. Anastaafu kwa uchungu

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,701
36,116
Habari! Juzi wakati nimetoka zangu night shift narudi home Chanika nikawapa lift watu 2 . Mmoja nilimwacha Gongolamboto mwingine nikaambatana naye mpaka Chanika Mwisho kwa Ngwale.

Tuliongea mengi ila kwa ufupi ni kwamba huyu baba kalitumikia taifa miaka 30 kama polisi, kastaafu mwaka huu kwa cheo cha koplo.

Huyu anakwenda kupata kiinua mgongo kidogo sana kulingana na cheo chake alichostaafia.

Polisi nadhani ndio kada inayoongoza kwa kunyanyaswa kwenye suala zima la promotion kazini. Huku watumishi wa umma wakipanda daraja kila baada ya miaka 3-4 , kuna polisi kwa miaka 30 anapanda cheo mara moja.

Nilitarajia wataungana na wananchi kudai haki kumbe imekuwa kinyume.

Kaka yangu ni police officer ( Inspector of police) mshahara wake ni kama sajini wa jeshi.
 
Polisi Tanzania wana hali ngumu mnoo wao ndio wangekuwa mstari wa mbele kudai HAKI, UHURU NA USAWA katika jamii lakini bahati mbaya wao ndio wa kwanza kuumiza watu na kutetea viongozi.

Kuna Askari mmoja wakati wa ziara ya Waziri wa mambo ya ndani alisema wana laana inawezekana ni kweli.

Polisi wana maisha kama digidigi halafu kutwa kucha kuwatetea na kuwalinda CCM ambao ni wanyonyaji wakubwa wa Taifa hili.

CCM wamejiwekea mishahara na Posho nono nono tu mtu kwa mwezi anapata 22M halafu mstaafu wa askari mafao yake ni 30M.

HUKU NI KUROGWA SIO BURE.
 
Shida umaskini.Polisi wanaenda kwa amri,akigomea amri mambo yanakuwa magumu kwake
 
Habari! Juzi wakati nimetoka zangu night shift narudi home Chanika nikawapa lift watu 2 . Mmoja nilimwacha Gongolamboto mwingine nikaambatana naye mpaka Chanika Mwisho kwa Ngwale.
Tuliongea mengi ila kwa ufupi ni kwamba huyu baba kalitumikia taifa miaka 30 kama polisi, kastaafu mwaka huu kwa cheo cha koplo.
Huyu anakwenda kupata kiinua mgongo kidogo sana kulingana na cheo chake alichostaafia.
Polisi nadhani ndio kada inayoongoza kwa kunyanyaswa kwenye suala zima la promotion kazini. Huku watumishi wa umma wakipanda daraja kila baada ya miaka 3-4 , kuna polisi kwa miaka 30 anapanda cheo mara moja.
Nilitarajia wataungana na wananchi kudai haki kumbe imekuwa kinyume.
Kaka yangu ni police officer ( Inspector of police) mshahara wake ni kama sajini wa jeshi.
Sajin analipwa shingapi?
 
Polisi hata wasipolipwa kabisa.. Hizi rushwa wanazotulazimisha tuwape mbona nyingi tu?
 
Habari! Juzi wakati nimetoka zangu night shift narudi home Chanika nikawapa lift watu 2 . Mmoja nilimwacha Gongolamboto mwingine nikaambatana naye mpaka Chanika Mwisho kwa Ngwale.
Tuliongea mengi ila kwa ufupi ni kwamba huyu baba kalitumikia taifa miaka 30 kama polisi, kastaafu mwaka huu kwa cheo cha koplo.
Huyu anakwenda kupata kiinua mgongo kidogo sana kulingana na cheo chake alichostaafia.
Polisi nadhani ndio kada inayoongoza kwa kunyanyaswa kwenye suala zima la promotion kazini. Huku watumishi wa umma wakipanda daraja kila baada ya miaka 3-4 , kuna polisi kwa miaka 30 anapanda cheo mara moja.
Nilitarajia wataungana na wananchi kudai haki kumbe imekuwa kinyume.
Kaka yangu ni police officer ( Inspector of police) mshahara wake ni kama sajini wa jeshi.
Yaani viongozi huwa wanawatumia masikini kumdhibiti masikini mwenzake ili anyonywe vizuri mkuu. Na Sheria Yao ya kutogoma inawasaidia kuwatumikisha vizuri Sana.
Yaani ni Kama polisi anakushikilia kiongozi ananyonya damu afu anamlipa ujira kidogo.pia anampa kiburi na jeuri,kamshahara kadogo na favour Kama vile unadanganya demu ama mtt ili azidi kuitikia wito wa kukushikilia ili linyonya damu linyonye
 
Sio wa kuonea huruma uyo,
Wakiwa Kwenye magwanda yao wanakua wakatili Zaid ya ibilisi.

Maaskali wanashirikiana na majambaz kuvunja maduka kuwaibia raia, ukipiga sim polisi unaambiwa mafuta hamna.

Wanapoteza muda TU ili jamaa wamalize kupora na kUondoka,
Wakifika eneo la tukio, Unawaonyesha majambaz wale pale wako wanavunja.

Ila kwa maksudi KABisa,
Unaona Afande anakoki bunduki na kupiga risasi juu, majambaz wanatawanyika.

Afu anakwambia,
"AISEE BAHATI YAO NIMEWAKOSA KOSA"

MAASKALI WALAANIWE PUMBAVU
 
Yaani viongozi huwa wanawatumia masikini kumdhibiti masikini mwenzake ili anyonywe vizuri mkuu. Na Sheria Yao ya kutogoma inawasaidia kuwatumikisha vizuri Sana.
Yaani ni Kama polisi anakushikilia kiongozi ananyonya damu afu anamlipa ujira kidogo.pia anampa kiburi na jeuri,kamshahara kadogo na favour Kama vile unadanganya demu ama mtt ili azidi kuitikia wito wa kukushikilia ili linyonya damu linyonye
Ahahaha.
Huku bandarini sisi walinzi tunawatuma police watuletee vocha wanafurahi wakijua chenji tunawaachia.
 
Mshahara wa dhambi ni mauti!
Maam! Mauti si mpaka watangaze kifo, hicho wanachokipata ndio mauti yenyewe.
Kwa namna wanavyotuhudumia, hata wakipewa mamilioni halali kwa mwezi, zitaelekezwa bar tu.
Huwezi kutenda unyama tena kwa wanyonge kisha uwe na mwisho mwema.
 
Kima cha chini cha mshahara wa polisi ni sh ngapi?
Polisi Wana laana ya kuishabikia ccm
Polisi Tanzania wana hali ngumu mnoo wao ndio wangekuwa mstari wa mbele kudai HAKI, UHURU NA USAWA katika jamii lakini bahati mbaya wao ndio wa kwanza kuumiza watu na kutetea viongozi.

Kuna Askari mmoja wakati wa ziara ya Waziri wa mambo ya ndani alisema wana laana inawezekana ni kweli.

Polisi wana maisha kama digidigi halafu kutwa kucha kuwatetea na kuwalinda CCM ambao ni wanyonyaji wakubwa wa Taifa hili.

CCM wamejiwekea mishahara na Posho nono nono tu mtu kwa mwezi anapata 22M halafu mstaafu wa askari mafao yake ni 30M.

HUKU NI KUROGWA SIO BURE.
Baada ya walimu na watumishi wengine wa umma kuwatosa kwa siasa zenu uchwara,sasa mumehamia kwa polisi kuwataka wawaunge hoja zenu za kuleta vurugu nchini?

Poleni sana
 
Laana hii! Bahati mbaya hawana mafunzo ya kujitegemea kama Jeshi la wananchi na Jeshi la magereza. Hata Polisi angekua na kacheo flani, still akistaafu anatia huruma kuliko wa Magereza. Wapo kwa ajili ya kuwalinda raia na mali zao, lakini sasa duuu
 
Back
Top Bottom