Khakha
JF-Expert Member
- Jul 15, 2009
- 2,981
- 1,013
Kweli CCM imechoka. Huku ikijua kila mtu anafahamu huyu jamaa ni nini kafanya hapa nchini wanamtuma akatoe rambi rambi. Duh.
mkuu, hilo tutusa madelu linajua vyema laptot ya marehemu ilipo.
Kweli CCM imechoka. Huku ikijua kila mtu anafahamu huyu jamaa ni nini kafanya hapa nchini wanamtuma akatoe rambi rambi. Duh.
Katika hili waajiri wake wanahusika sana...
Wanajamvi
Mhe. Mwingulu akitoa salamu za Chama kuaga Mwili wa Marehemu Dk. Mvungi.
Amekiri katika Salamu kuwa mambo ya ukatili yanayotokea Tanzania Serikali ichukue hatua.
Lakini yeye anaona, "Roho ya mauti na Mapepo"
Ndo yanafanya haya.
My take.
Je ni kweli Tanzania imevamiwa na roho ya mauti na mapepo kwa yanayokea kwa Wanaharakati Watetezi
Vyombo vya dola vimkamate aonyeshe hiyo roho na mapepo kwa kuwa anaona navyo viyaone vichukue hatua.
Kwa kuwa anawakilisha ssm nao ndo mtazamo wa chama kwa yanayotokea?
R.i.p mvungi, mawazo yake ya serikali tatu plz mabepari msiyapuuze
daa siasa za tanzania haziishi vituko heti anaona roho ya mauti na mapepo.
daa Mwigulu Nchemba kaongea kama mzee wa upako vile. hahahahahahahahaha