Kuagwa kwa Marehemu Dk. Mvungi - ITV

Kuagwa kwa Marehemu Dk. Mvungi - ITV

Sisi sote ni mavumbi na mavumbini tutarudi wakiwemo hao waliopanga na kusababisha kifo cha Dr.Mvungi.
 
NILITOKWA NA MACHOZI TANGU NILIPOSIKIA KIFO CHAKE, HATA LEO MVUA INAMLILIA... Ee Mungu umweke pema peponi..
 
Pumzika nguli wetu.Mwigulu naye sijui anaongea vitu gani.Anakwaza xana huyu jamaa
 
Mwigulu Nchemba ndio anazungumza sasa. Jinsi alivyovaa na hofu alionayo usoni na moyoni akiendani kabisa na anachozungumza. Naona watu wamenyamaza huku wakijiuliza maswali mengi kichwani. Hali ni yauzuni lakini naona kama kuna hatari inakaribia, Mungu tusaidie
 
Mwigulu kanikera sana eti anaona roho ya mauaji,unyamama na analaani matukio ya mauaji!
Muuaji analaani mauaji ptuuuu!
 
na ni huyuhuyu mwili Gaid wa Soweto arusha na wafuas wake alaaaaniwe!!!!!!!!
 
Mwigulu amemalizia kwa kusema "TULIUMBWA KWA MAVUMBI TUTARUDI KWA MAVUMBI JINA LA BWANA LIBARIKIWE" anaenda kukaa, polisi hawajamkamata, Kova nae yupo anajifanya hajamuona. Hii inatisha hali ni huzuni
 
Mwigulu kanikera sana eti anaona roho ya mauaji,unyamama na analaani matukio ya mauaji!
Muuaji analaani mauaji ptuuuu!

mla nyama alaaani uwepo wa nyama?? Mwigulu na ccm yake wanalifahamu hili suala wasitudanganye mchana kweupe
 
Wanajamvi

Mhe. Mwingulu akitoa salamu za Chama kuaga Mwili wa Marehemu Dk. Mvungi.

Amekiri katika Salamu kuwa mambo ya ukatili yanayotokea Tanzania Serikali ichukue hatua.

Lakini yeye anaona, "Roho ya mauti na Mapepo"
Ndo yanafanya haya.

My take.

Je ni kweli Tanzania imevamiwa na roho ya mauti na mapepo kwa yanayokea kwa Wanaharakati Watetezi

Vyombo vya dola vimkamate aonyeshe hiyo roho na mapepo kwa kuwa anaona navyo viyaone vichukue hatua.

Kwa kuwa anawakilisha ssm nao ndo mtazamo wa chama kwa yanayotokea?
 
Back
Top Bottom