Kuagwa kwa Marehemu Dk. Mvungi - ITV

Kuagwa kwa Marehemu Dk. Mvungi - ITV

Mkuu hauko sawa unajua msiba hauhitaji
Promo kama unavyodhani........
Ni mtu wa kawaida na hata asipokuwepo
Dr atazikwa tu.

Mkuu ujaliona lile jeneza lililoulaza mwili wa marehemu Dr. Mvungi lilivyo la bei ghali? basi EL ndio alienunua na ukitaka kujua ni kiasi gani cha pesa alichokitoa mpaka sasa sema tufunguke zaidi.
 
Dr. Mvungi alikuwa tayari kwenda kutetea Rasimu ya Katiba katika Bunge la Katiba - Rainfred Masako.
 
Msiba haunagwa mbwembwe ndiyo maana hakunaga mgeni rasmi! Kwa hiyo wewe umekaa kimtego kuangalia ni nani kahudhuria na ni nani hakuhudhuria?
 
Mkuu ujaliona lile jeneza lililoulaza mwili wa marehemu Dr. Mvungi lilivyo la bei ghali? basi EL ndio alienunua na ukitaka kujua ni kiasi gani cha pesa alichokitoa mpaka sasa sema tufunguke zaidi.



Mkuu itakuwa vema sana nami ukinijuza
ilinijue hii safari ya mwisho ya Dr Mvungi
inawagharimu wenye nazo pesa kiasi gani ?
 
niko hapa buguluni malapa kuna bonge la foleni alitembei kabisaaaaaaa, askari msaada pls.... RIP DR MVUNGI.
 
Kwani wewe unajua alipo lowassa? Kwa nini unataka ku~make a fuss kuwa lowassa hajahudhuria huo msiba? Ukizingatia anaweza asipewe nafasi ya kusomwa rambirambi zake kwa sababu yeye ni mbunge wa monduli tu na hana heshima ya waziri mkuu mstaafu. He is also human and he might be having personal issues.

Umejibu vyema kabisa tungekuwa jirani ningekununulia windoku siksi paki bariiiiidi
 
Dr. Mvungi alikuwa tayari kwenda kutetea Rasimu ya Katiba katika Bunge la Katiba - Alfred Masako.

Mkuu ata mimi sijamwelewa Masako alikuwa anamaanisha nini apo?
Kwani bunge lililopita si wamekubaliana kuwa ukomo wa tume ya mabadiliko ya katiba ufike kabla ya kuanza bunge la katiba? Sasa hapo napata kigugumizi kuwa angetetea vp hiyo rasimu?
 
Kwa kuwa ameuwawa kwa sababu ya kudai serikali tatu- kwa kudai serikali ya Tanganyika - Lazima itakuwepo hata kama wengine hawataki!

Nasikia mtu ukifa hapa duniani kuna maisha mengine huko peponi. Sasa Dr. Mvungi si atakutana na Mwalimu Nyerere huko?
 
Nani yuko salama kama mafedhuli wananyotoa roho za watu wasiokuwa na makuu kama marehemu, R.I.p dr.
 
Jk anatamani arudi aje kuuza nyago kwenye msiba
 
Shuhuli za kuuaga mwili zimeisha na jeneza limefungwa na mvua imekatika kabisa, Itv nao wanafunga kipindi kurusha hii shuhuli live. Mimi pia nalog off.
MUNGU ALITOA NA SASA KATWAA JINA LAKE LIBARIKIWE
 
Back
Top Bottom