Dk.maji marefu
Member
- Aug 13, 2013
- 59
- 3
Ccm inazidi kushuka siku hadi siku kwani wamechoka sana
Poor reasoning,,,na mwingine naye akifa mwenye msimamo wa serikali moja??!!
Serikali tatu ndio dawa ya muungano
Mkwamisi nani?Beya Mwamisi Mwalukosi, kumbe siku zingine unajitoa ufahau makusudi, kama taendelea kuwa logic hivihivi utakaporudi nyumbani Krimas nitakuanalia kondobandoba mung'asi kalikobnikwa vizuri.
nimemsikiliza kaka mwingulu nchemba;ccm;; katika tukio la kuaga mwili wa dr;sengondo mvungi; nimesikitika sana sijui afahamu sijui haelewi; naomba nimkumbushe mtukio ya absalom kibanda ulimboka,mwangosi, prof mwakyusa,
kusema eti analaani vikali hili tukio roho ya mauwaji, na pepo hili ya mauwaji; nimeshindwa kuelewa haya yote kwani yawakute watetezi wa haki za binadamu;mwigulu tatizo liko kwenye serekali yenu; ulimboka aliwataja wahusika mlifanya nini kama chama, swala la mwakyusa vipi liko vipi? Kibanda nae vipi; unakumbuka tukio la soweto arusha;;olasiti arusha;mauwaji ya 05/01.2011;siku ya jumatano arusha,sakata la said kubenea vipi;nalo mnalilaani;;';'
niseme wako wanaofurahia vifo vya wengine ili matakwa yao yatimie'
tutakukumbuka milele jemedari wa mabadiliko tanzania ;dr;sengondo mvungi;'''''''''''''''r;i;p;![]()
tatizo la wtz ni kutokuwa watu wa vitendo! Watu kama hawa ni wakufukuza ktk gathering ya namna hii!
Katika hili waajiri wake wanahusika sana...Naomba kuuliza. Hizi gharama za mazishi zitakuwa zimegharamiwa na nani?
CCM sio kama chadema, mkitofautiana mnatafuta solution, kwa chadema ni kutimuana