Kuagwa kwa Marehemu Dk. Mvungi - ITV

Kuagwa kwa Marehemu Dk. Mvungi - ITV

Ok mkuu thanks kwa updates zako.. Umetuoko cc ambao hatuna visimbuzi
 
Uchonganoshi tuu!
We mbona hujaenda na unaangalia tv from home?
 
Ndugu wanajamvi,

ninangalia ITv wakirusha matangazo kuhusu msiba wa wakili, mwanaharakati na bingwa wa sheria ya katiba, karibu mawaziri wote wakuu wapo, hata kikwete ameandika kabisa rambi rambi na kuomba zisomwe kwa kuwa yupo nje ya nchi

Huyu ndugu yetu lowasa, ambaye anaujua kabisa mchango wa Dr. Mvungi katika kuitengeneza katiba mpya mbona hayupo? ingekuwa ni mwanaccm nguli kama huyu ametutoka kweli lowasaa angekosa kuwepo? au haya aliyoamini na kusimamia Dr. Mvungi hasa kuwa na katiba kwa ajili ya taifa na si andiko la watawala kwa watawaliwa yamemuudhi sana lowasa?

nawasilisha

Hizi akili ni zaidi ya ujinga ni matope.Yaani una angalia haya kwenye msiba wa watu ?
 
Kwahiyo,kwa Tanzania sasa ili uwe mwanasiasa bora ni lazima uudhurie misiba yote na hasa ile ya high profile? Duh, kwa wengi itawashinda hii.
 
niko hapa buguluni malapa kuna bonge la foleni alitembei kabisaaaaaaa, askari msaada pls.... RIP DR MVUNGI.

Mtu wangu mie ndo niko Tazara hapa, nahisi ntafika Lumo usiku..
 
Huwezi jua labda ameshawasiliana na familia ya mvungi na kuwapa rambirambi zake pembeni
 
Ndugu wanajamvi,

ninangalia ITv wakirusha matangazo kuhusu msiba wa wakili, mwanaharakati na bingwa wa sheria ya katiba, karibu mawaziri wote wakuu wapo, hata kikwete ameandika kabisa rambi rambi na kuomba zisomwe kwa kuwa yupo nje ya nchi

Huyu ndugu yetu lowasa, ambaye anaujua kabisa mchango wa Dr. Mvungi katika kuitengeneza katiba mpya mbona hayupo? ingekuwa ni mwanaccm nguli kama huyu ametutoka kweli lowasaa angekosa kuwepo? au haya aliyoamini na kusimamia Dr. Mvungi hasa kuwa na katiba kwa ajili ya taifa na si andiko la watawala kwa watawaliwa yamemuudhi sana lowasa?

nawasilisha

wewe huna akili kwani lowasa pekee hajashiriki unajua kabanwa na shida gani je ni lowasa pekee ndiye hajashiriki? nakutajia wengine ambao sijawaona.
Maalimu selfu,dr slaa,manji,bakresa,malinzi,mrema,cheyo,hamadi rashidi,zitto na wengine wengi acheni kuvutia bangi chooni zinawapeleka kubaya.
 
Back
Top Bottom