Kuagwa kwa Marehemu Dk. Mvungi - ITV

Kuagwa kwa Marehemu Dk. Mvungi - ITV

kama tutakuwa kimya basi wengi tutwapoteza yatupasa tuamke usingizini maana hali inatisha kwa kweli
Mimi nakubaliana na wewe ndugu ila nadhani hatua ya kwanza ni kuiondoa madalakani serikali ya ccm kwani imeonyesha kwa vitendo kuwa haiwezi kutulinda Watanzania na mali zetu.
 
R
I
P
dr Mvungi waliokuuwa nao watakufuata hivi punde ila wao wataishia moto wa milele.
 
daaah so sad ..nimeona mzee mkapa amelia bana ...Pumzika mjumbe wangu wa tume ya katiba mpya...
 
Wote waliohusika Na kifo chake Mungu awalaani kila mmoja wao ili wapate malipo Yao hapa duniani Na ahera
 
Hivi kesi ya mauaji ilishafika mwisho au imepotea hewani?
 
Back
Top Bottom