Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,402
- 12,791
Nimesikitika kwa kuwa icons sizioni ili ni - attach picha. Mbaya zaidi hata "like" hazikubali. Sijui kuna nini?
Labda ni tatizo la ulipo ama PC yako maana huku kila kitu kiko poa
Nimesikitika kwa kuwa icons sizioni ili ni - attach picha. Mbaya zaidi hata "like" hazikubali. Sijui kuna nini?
mwigulu amemalizia kwa kusema "tuliumbwa kwa mavumbi tutarudi kwa mavumbi jina la bwana libarikiwe" anaenda kukaa, polisi hawajamkamata, kova nae yupo anajifanya hajamuona. Hii inatisha hali ni huzuni
Jamani katika wote namounea huruma JAJI WARIOBA. Ameishiwa nguvu mzee wa watu. Nackia alipopata habari aliangua kilio cha kisukuma!
mwigulu amevaa nn shingo
CCM sio kama chadema, mkitofautiana mnatafuta solution, kwa chadema ni kutimuanaNaona sasa unatamani kufukuzwa CCM!
AMEFUATA NINI HAPO HUYO jamaa ?
CCM sio kama chadema, mkitofautiana mnatafuta solution, kwa chadema ni kutimuana
Kweli CCM imechoka. Huku ikijua kila mtu anafahamu huyu jamaa ni nini kafanya hapa nchini wanamtuma akatoe rambi rambi. Duh.
Asante kwa kujitambua sasa!
Mwigulu amemalizia kwa kusema "TULIUMBWA KWA MAVUMBI TUTARUDI KWA MAVUMBI JINA LA BWANA LIBARIKIWE" anaenda kukaa, polisi hawajamkamata, Kova nae yupo anajifanya hajamuona. Hii inatisha hali ni huzuni