Kuagwa kwa Marehemu Dk. Mvungi - ITV

Kuagwa kwa Marehemu Dk. Mvungi - ITV

Nimeupenda huu ujumbe wa padri

Kweli kabisa hapa nawatch itv tangu walipoanza kipindi hiki.inabidi tuandae maisha yetu muda wote maana hatujui kitakachotokea dakika hata moja mbele.wokovu wa mtu ni wa siku,dk,sekunde 1.!!!!!! Mvua nayo imechapa
 
zito anamwambia nn mchimbi naona wanaongea pale wanafiki wakubwa
 
Ur hero sir serikali tatu uliopigania tutaipitisha ss wananchi ikija kwenye kura ya maoni
 
can u verify sheria ichukue mkondo wake
Kama yule Mtoto aliyebakwa na yule kada wa CCM aliweza kuverify unyama aliofanyiwa na ACUDO IMPACT Kapuya na sheria haikuchukua mkondo ndio hili la mvungi watachukua wakati ni moja ya Ilani za CCM(kuuwa na kubaka)
 
malaika wanampokea kwa shangwe hakika mvua inanyesha hii ni ishara njema kwa mbingu
 
Rip,mzalendo ametangulia mbele ya haki,sote tukumbuke ulimwengu huu siyo maskani yetu ya kudumu,wenye mamlaka ishi kama unajua siku yako ya kifo ni lini
 
Wadau,

Nimeipenda hii kauli ya Prof Costa Mahalu,Ametutaka watanzania tumuenzi Dk Sengondo Mvungi kwa kukubali kuwa na serikali tatu katika katiba mpya ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Amesema, Dk Mvungi alisimamia sana suala hilo na kutetea msimamo wake huo,

my take:

Je wale wanaopinga mfumo huu wa serikali tatu watamuenzi kweli Dk Mvungi au itakuwa ni chanzo cha mifarakano na kupotea kwa amani katika nchi yetu? Nawaomba wenzangu CCM tumuenzi mjumbe huyu ambaye sasa tunakwenda kumzika.
 
Inauma sana wapendwa, hii ni pigo kubwa sana kwa wanafamilia ndugu hata na taifa kwa ujumla, eee Mungu tupe faraja ya kwel na amani mioyoni mwetu, Binadamu tumeumbwa kwa mavumbi na mavumbini tutarejea ,Dr Mvungi umetutangulia nasi tunakuja Amin!
 
kama yule mtoto aliyebakwa na yule kada wa ccm aliweza kuverify unyama aliofanyiwa na acudo impact kapuya na sheria haikuchukua mkondo ndio hili la mvungi watachukua wakati ni moja ya ilani za ccm(kuuwa na kubaka)
kuwa makini ucje ukaishia kunyea debe uko verified user watakuja kukutafuta we fanya masihara na masuala nyeti
 
Naona wametangaza mazishi yatafanyikia upareni siku ya J-tatu
Itv tunaomba mwue live siku hiyo. Huzuni ni kubwa jamani
 
Anaongea Pro.Lipumba baadae Peter Kuga Mziray, Freeman Mbowe na Mwigulu Nchemba.
 
Back
Top Bottom