Cainan
JF-Expert Member
- Jun 14, 2017
- 477
- 572
Habari za jioni wakuu , nimeangalia kikokotoo Cha TRA kuhusiana na uagizwaji wa scania P420 8x4 skip loader ya 2011 na Kodi yake imekuja wa kutosha almost 82,000,000Tsh
Sasa nilikuwa Nauliza kwa wajuzi kuwa inawezekana ukaagiza gari ambayo ikatenganishwa cabin , engine na Chasis ili kuja kuunganisha huku na pia kwa upande wa Kodi inakuwaje
Na pia kama Kuna maelezo ya ziada kuhusu ilo itakuwa vizuri zaidi
Asanteni wakuu , nawatakia Pasaka njema