PostGE2025 Kuadhimisha miaka 64 ya uhuru wa Tanganyika tukiwa LOCKDOWN ni ishara tosha hakuna uhuru, tunabinyana tu kulinda maslahi yenu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,937
Reaction score
10,815
Nina uchungu nalia hakika Leo hii angekuwepo Nyerere Angelia mara mia ya Mimi.

Kitendo Cha kusherekea uhuru wa miaka 64 paspo kwa kufungiwa ndani ni UPUMBAVU wa Hali ya juu mno.
Tunajiuliza tunapumzika Ili iweje?

Nauliza Kuna maana Gani ya uhuru ENDAPO tunaazimisha siku muhimu kama Leo paspo kutoka nje ya miji yetu?

Tulipigania uhuru wa kuwa huru kufanya KAZI iweje Leo tunazuiliwa?

Viongozi MLIO madarakani mnafanya hivi KULINDA masilai yenu kwa Nini yenu yawe muhimu Kuliko ya watanganyika wote?

Ima ima ima. Tanganyika
 
Nina uchungu nalia hakika Leo hii angekuwepo Nyerere Angelia mara mia ya Mimi.

Kitendo Cha kusherekea uhuru wa miaka 64 paspo kwa kufungiwa ndani ni UPUMBAVU wa Hali ya juu mno.
Tunajiuliza tunapumzika Ili iweje? Nauliza Kuna maana Gani ya uhuru ENDAPO tunaazimisha siku muhimu kama Leo paspo kutoka nje ya miji yetu?

Inasikitisha Sana.
 
Sammy awami wa BBC amesema
Magari yanakaguliwa na kama hawajajiskia kukuruhusu kupita basi unarudishwa utokapo
Kama una mgonjwa au wewe ni mgonjwa eeee
Muombe sana Mungu siku ya leo
 
Nina uchungu nalia hakika Leo hii angekuwepo Nyerere Angelia mara mia ya Mimi.

Kitendo Cha kusherekea uhuru wa miaka 64 paspo kwa kufungiwa ndani ni UPUMBAVU wa Hali ya juu mno.
Tunajiuliza tunapumzika Ili iweje? Nauliza Kuna maana Gani ya uhuru ENDAPO tunaazimisha siku muhimu kama Leo paspo kutoka nje ya miji yetu?

Tulipigania uhuru wa kuwa huru kufanya KAZI iweje Leo tunazuiliwa?

Viongozi MLIO madarakani mnafanya hivi KULINDA masilai yenu kwa Nini yenu yawe muhimu Kuliko ya watanganyika wote?

Ima ima ima. Tanganyika
Usalama na hio bia yako ipi muhimu
 
Hujafungiwa umeambiwa upumzike na familia yako, hutaki?
 
Jamani maandamano yamechangamka wekenin ITV mambo yamechangamka
 
Hii ni aibu kubwa sana

Leo tunasherehekea siku kuu yetu ya uhuru, watu inabidi wafurahie kadri wawezavyo ,wenye kusherehekea kwa maombi waende nyumba za ibada, wenye kusherehekea kwa kunywa pombe na kuburudika na muziki ilibidi wafurahie na wao kwa namna yao ,lakini cha ajabu tunanyimwa hata uhuru wa kutoka nje, ninabaki ninajiuliza ni uhuru gani wa namna hii?

Kuwa raia wa kawaida katika hii nchi ni mateso sana.
 
Back
Top Bottom