Kuacha na kuachwa! Ipi ni shughuli pevu

Aaaah wapi hii WOS hakuna kitu kama hicho eti mwanamke ajikite kulea familia na mabuzi ya nje amwachie nani na viserengeti boyz je?weweeeee....
Kwa nini wanawake wanawabambikia wanaume zao watoto?

Hivi hii ndiyo general rule siku hizi?
Ni kama kusema kuwa wanawake wote wana shida ya hela na hivyo hata wakiolewa bado wanasaka hizo noti kwa mabuzi.Viserengeti boys hivyo nadhani siyo big ishu kiivo kiasi cha kuonwa kama ni tatizo la kila mwanamke.
Kwamba wanaume wanasingiziwa watoto siku hizi kuna kipimo cha DNA - hivyo Fidel wala uskonde wala nini!
 
Kuacha si ni hiari? Kuachwa ndo shughuli!

...:D:D:D....kuachwa ndio shughuli! ha ha aahaaa..

nishawahi kuachwa!...

I sank down to the bottom, halafu nikaanza kujiambia "ni heri nibakie huku huku chini..., ni bora hii baridi na maumivu kuliko kuibuka na kuwa kichekesho kwenye jamii!",...lakini wakati huo, huo nikawa najiuliza; "jinsi nitavyozidi kujikosesha pumzi, machungu na majuto si ndivyo huyo aliyenitenda atavyojiona kaniweza na kusherehekea ushindi?"

...nikaibuka upya, na maisha yakaendelea.

Ajabu ya kuachwa; ...ni sawa na kupigwa konde ukaanguka!. Jinsi utavyoweza kujikusanya kusanya na kunyanyuka, ndivyo hivyo mpinzani wako naye atavyokuwa anajiuliza "duh, konde lote lile na lijamaa linanyanyuka?"

...kuachwa halafu mambo yako kimaisha yakaja kuwa super kuliko awali, ni pigo tosha kwa yule aliyekuacha! Muachaji heshi kujipitisha, kuchungulia, na kuulizia kama angalau kuna kajinafasi mlangoni apate kuingia tena!
 
...:D:D:D....kuachwa ndio shughuli! ha ha aahaaa..

...kuachwa halafu mambo yako kimaisha yakaja kuwa super kuliko awali, ni pigo tosha kwa yule aliyekuacha! Muachaji heshi kujipitisha, kuchungulia, na kuulizia kama angalau kuna kajinafasi mlangoni apate kuingia tena!

Inanikumbusha shost mmoja tulikuwa naye Uni.yeye alidharau sana mastudent na kupenda wenye uwezo.Baadae yule student aliyekuwa akimpenda naye akimtolea nje, wacha apate ujiko wa nguvu! Bibie wacha awe anasema " mimi nilikuwa niolewe na huyu jamaa!"..watu wakawa wanamuuliza " halafu ikawaje?" Akawa anabakia kaduwaa tu!
Somo tosha hapo.Unaruka nini unakanyaga nini??
Wakati mwingine kuachwa ni kwa manufaa yako wewe uliyeachwa.Pengine unaepushwa na kitu kibaya huko mbeleni.
Kuacha pia wakati mwingine ni uamuzi mgumu lakini wa lazima.
Kwa hitimisho ni kuwa ukitaka kuacha, uwe na sababu zamsingi na si tu kwa vile umeona nyasi ni za kijani zaid upande mwingine wa uzio!Ukiachwa pia kubali matokeo na usonge mbele badala ya kulilia maziwa yaliyokwisha mwagika.
 
Hivi hii ndiyo general rule siku hizi?
Ni kama kusema kuwa wanawake wote wana shida ya hela na hivyo hata wakiolewa bado wanasaka hizo noti kwa mabuzi.Viserengeti boys hivyo nadhani siyo big ishu kiivo kiasi cha kuonwa kama ni tatizo la kila mwanamke.
Kwamba wanaume wanasingiziwa watoto siku hizi kuna kipimo cha DNA - hivyo Fidel wala uskonde wala nini!

Tatizo sio pesa WOS tatizo hapa ni PENZI.
Hata wenye pesa mbona wana honga waume za watu!
 
Hebu tulinganishe Mwanamke na Mwanamme!

Kwa mwanamke kuachwa huwa anaweza hata kunywa sumu!!

Mwaname anaweza kutafuta mpenzi mpya kwa haraka zaidi kuliko mwanamke!

Kuna kama wadada wawili hivi waliachwa ktk uchumba yaani karibu wangekunywa sumu!!
 
Msimamo wangu ni ule ule. Inategemeana na wewe mwenyewe. Ukilinganisha maembe kwa maembe, i.e. wote mnapendana. Kwangu mimi kuachwa ni rahisi zaidi na naona kupona ni rahisi. Inategemeana na personality yako.

Wengine wakipenda wanakuwa kama misukule. Huyo kwake kuacha haiwezekani na kuachwa haiwezekani. Kama nilivyokwisha sema ni personality issue.
 
Mi nilisema hapo nyuma mkisha kuwa katika relationship kuachana moja kwa moja ni ngumu sana....kwa kifupi mnaingia katika uhusiano wa kihawala na hawa iwa hawaachani mpaka sijui iweje.
Lakini unajua mwenyewe kama mlirewind au lah.
FYI kwangu mie kuyacha ni simple kama kwa masa kukandamiza tigo...

....kuna kitoto kilikuwa kitaamu kweri kweri siku moja nikaamka j'mosi nikasema leo nakutema......nilifanikiwa....tangu siku ile its very simple kuacha.....

,.....kuachwa sioni shida na wala siumii
 
Wewe wasema mkuu! Kama ni hivyo hujawahi penda/pendwa.

Ila kama ni sex partners au one night stand kidogo inaeleweka.

By the way umewahi kupenda?
 
Wewe wasema mkuu! Kama ni hivyo hujawahi penda/pendwa.

Ila kama ni sex partners au one night stand kidogo inaeleweka.

By the way umewahi kupenda?
Hamna mapenzi siku hizi...mama na baba zetu ndio walikuwa na mapenzi.....

.....siku hizi unaangaliwa una nini kama ni mwanaume....kwa mwanamke je unavutia figure kitandani basi.....

......kupenda nianzie kwako....lets meet tell me nije lini NL
 
Umenichekesha sana Yo Yo!..Una utani kupita maelezo

Mimi nimewahi kupenda na kutenda pia kutendwa,wewe unaweza kuongezeka kwenye listi au laa:) Karibu NL,nitakupeleka Red Light kwenye shughuli pevu..

Ukiacha mwanaume ana nini au mwanamke anavuaje lazima kuna mtu fulani anakuvutia zaidi na unampenda na mkiachana unaumia. Anyway kwavile hujawahi kupenda hutaelewa hili,tuliache!
 
Huko nakujua.......sijaomba huko aisee...hata hapa wapo kibao jolly wakali mpaka basi...

.....yup nataka white light hapo kwako.....kuwa serious kabla hawajavamia mafisadi hapa
 
Nilikuwa mbali sana, nilipoamua kuja huku kupata moja moto moja baridi nikakuta kuna mada pevu! Kuacha na kuachwa shughuli wapi.
Ndugu zangu nimewasoma sana humu jamvini,,,,,,,,,,,, piga ua,,, kuachwa shughuli! asikwambie mtu. Ukiachwa kama mjanja rewind penzi halafu wewe mwache! sikilizia mziki wake,,,, ni shughuli pevu. Omba usiachwe ndugu yangu. Niliachwa na demu fulani hivi na polisi juu kuwa nilitaka kumbaka! Jamaa kapoo (polisi) walipogundua kuwa demu alikuwa ni wa kupika na kupakua wakanishauri nipelekeee moto zaidi. Nikamwaproach siku hiyo hiyo. Dozi niliyompa hatakaa aisahau. Akafuta kesi,,,, jioni ya siku hiyo alofuta kesi nikamtema jumla! Hana hamu na mimi,,,, ila naye mpaka sasa anapanda ndege na kujaribu kunambia kuwa yuko kwenye mji wangulabda nitamrudia hasa ukizingatia kuwa ana mtoto anayedai kuwa ni wangu . Usikubali kuachwa! INAUMA MNO!
 
Huko nakujua.......sijaomba huko aisee...hata hapa wapo kibao jolly wakali mpaka basi...

.....yup nataka white light hapo kwako.....kuwa serious kabla hawajavamia mafisadi hapa

Hapa ni deam light tena utaachwa na kuumia sana halafu uikumbuke hii thread mkuu! Wewe unatania tu hapa,katika umri huo umeshawahi pata kashkash za kwenye mapenzi!
 
Hapa ni deam light tena utaachwa na kuumia sana halafu uikumbuke hii thread mkuu! Wewe unatania tu hapa,katika umri huo umeshawahi pata kashkash za kwenye mapenzi!
Mie ndio Obama wa kubonyeza dim light.....kwanini tuandikie mate na wino upo..lets enjoy our vacation.....
[ame=http://www.youtube.com/watch?v=gbm1cHQ7upw]YouTube - DNA - Banjuka[/ame]
 
Yo Yo una maana vacation yangu ni-enjoy na wewe? How?
Huniogopi? Na mimi ni Michelle wa kuacha watu:) Seriously wewe mkuu hutaki kukubaliana na hali halisi ila hivi vitu kuacha/kuachwa vinatokea sana kwenye jamii.Ungekuwa Padre au Nun ningejua ni excluded..
 
Yo Yo una maana vacation yangu ni-enjoy na wewe? How?
Yeah ndo manake ila nashauri hapa JF hapafai kwa kuinjoy vacation wakija wakina masanilo patakuwa hapatoshi......painkiller na silencer hawachezi mbali...

I fear only God....vipi hujiamini kuionjoy na mie?
 
KhaaH..Najutaaaa kukufahamu:)

Tuache wenye experience za kuacha na kuachwa wachangie mada zao. Jifunze toka kwao maana ipo siku utachanganyikiwa ukipatwa na tukio kama hili!...

Peace..
 
KhaaH..Najutaaaa kukufahamu:)
Mie sijakufehemu.....

Tuache wenye experience za kuacha na kuachwa wachangie mada zao. Jifunze toka kwao maana ipo siku utachanganyikiwa ukipatwa na tukio kama hili!...

Peace..
Walioacha na kuachwa wanalalamika hasa walioachwa ndio wanaoumia zaidi.....hamna kitu murua kama kuwa free so nikiachwa najisikia safi
 
,.....kuachwa sioni shida na wala siumii

Walioacha na kuachwa wanalalamika hasa walioachwa ndio wanaoumia zaidi.....hamna kitu murua kama kuwa free so nikiachwa najisikia safi

Umeona eeh! Hata wewe ukiachwa utaumia zaidi na kama bado haijakutokea siku ikikutokea utajua vizuri!..
 
Umeona eeh! Hata wewe ukiachwa utaumia zaidi na kama bado haijakutokea siku ikikutokea utajua vizuri!..
lijamaa limoja liliachwa na demu wake live live demu alikuwa anafagilia mapene jamaa ndio katoka univ demu anataka mashoping ya woolworths msela apeche aroro.....
.....basi jamaa kamkuta kiwanja shori wake na mshefa kamind akataka kubwia vidonge afe.....nikamwambia kunywa.....wala sikumkataza na wala sikuita ndugu zake....tangu siku ile kawa kama mie akiachwa anashukuru..ndio mwanzo wa kupata mashori wapaya wakali....

Belinda wewe umeshaacha wangapi?
 
Back
Top Bottom