Ku-copy cd | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ku-copy cd

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Infopaedia, Sep 25, 2012.

 1. Infopaedia

  Infopaedia JF-Expert Member

  #1
  Sep 25, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 903
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 80
  Nina cd yangu ya nyimbo za Elvis Presley. Nataka nii-copy kwenye pc yangu, ikipata scratches nisizikose nyimbo zangu. File za cd ni Audi tracks na size ni 1kb files zote. I can't copy them. Nikizi-paste does not play. Wadau naomba help ya tool or any method ninayoweza tumia. Thanks in advance.
   
 2. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  You can not copy paste an audio cd mkuu, only data/mp3 what you ought to do ni ripping, (sijui unatumia os gani by the way?)
   
 3. Infopaedia

  Infopaedia JF-Expert Member

  #3
  Sep 25, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 903
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 80
  Dah! Yaani ni uvivu tu wa kujishughulisha. Normally huwa na-rip kwa kutumia Jukebox. Sasa nimeitafuta nikaikosa. I did my home work, kumbe hata WMP iliyopo ina-rip faster tu. Done already. Thanks however.
   
 4. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #4
  Sep 25, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  tafuta software ya realplayer install kwenye pc yako then weka cd kisha ifungue real player, yenyewe ita detect cd na itakuuliza kama unataka kusave nyimbo zako, chagua yes then itasave(rip) automatically nyimbo zote kwenye my music folder na utakuwa na uwezo wa kuziplay bila cd wakati wowote...
   
 5. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #5
  Sep 25, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Mbona hata window media player inapiga mzigo huu kirahisi tu? mie siku zote natumia hiyo....... kama mdau mmoja alivyosema fanya homework kidogo tu unaweza ni kazi rahisi sana....
   
 6. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #6
  Sep 26, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  duh kaa umesoma jina la mtoa mada na la alieandika post ya tatu!
   
 7. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #7
  Sep 26, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,746
  Likes Received: 7,006
  Trophy Points: 280
Loading...