kipande cha mtu
Member
- Sep 26, 2015
- 50
- 2
- Thread starter
-
- #161
Tunaendelea. Najua kuna watu wanapata majibu hapa. Ukiomba huu mwez wa 4 majibu yanatoka lini? Na course inaanza lini aftr majibu? Na je hiyo application ya mwez wa 10 watu wanaanza kusoma lini na majibu yake yanatoka lini ili kujua kama umechaguliwa?Yah iko pouwa sana Phamarcy....Masomo yake kibishi magumu according to wanao soma wanalalamikia kuwa ina mambo mengi so inategemea kichwa cha mtu ila wanao ongoza kudisco na kusup hapa ni Pharmacy afu wanafuata Watu wa Maabara so iko Pouwa,ila Pamoja na ugumu wake sikushauri kuomba Environmental health kama unategemea Elimu ikutoe
Usijari tuendelee,Ukiomba mwezi wanne hadi w mwezi wa 5 majibu yanatoka mwezi wa nane mwishoni au mwezi wa tisa mwanzoni inategemea na ratiba ya Chuo,halafu kuja chuo unakuja mwezi wa 10 chuo kinapo funguliwa,Tunaendelea. Najua kuna watu wanapata majibu hapa. Ukiomba huu mwez wa 4 majibu yanatoka lini? Na course inaanza lini aftr majibu? Na je hiyo application ya mwez wa 10 watu wanaanza kusoma lini na majibu yake yanatoka lini ili kujua kama umechaguliwa?
Aah kwahiyo wote mnaanza semister pamoja. Nilihis hawa wa mwez wa 4 wanatangulie semister nikahis kuna kupishana ktk kusoma. Thnx alotUsijari tuendelee,Ukiomba mwezi wanne hadi w mwezi wa 5 majibu yanatoka mwezi wa nane mwishoni au mwezi wa tisa mwanzoni inategemea na ratiba ya Chuo,halafu kuja chuo unakuja mwezi wa 10 chuo kinapo funguliwa,
Application za mwezi wa kumi huwa zinafanywa kwa mda wa wiki mbili au moja Na nusu kwa ajili ya walio maliza Form six na wale wwngine wa Form Four ambao hawakufanya application then baada ya wiki mbili au 3 majibu yanakuwa yametoka na unapewa mda wa wiki moja kujiandaa kuja chuo kama ukipata nafasi,automatically masomo huwa wanaanza wote kwa pamoja wale wa mwanzoni kuomba na wale wa mwshn kuomba na kama watatangulia haizidi wiki moja
Kujua kama umechaguliwa majina huwekwa kwenye website ya Chuo na pia hubandikwa hapa chuoni! pia siku majina yatakapo toka wanakuwa wametoa maelezo yakuja kuchukua Admsion letter hapa ChuoniAah kwahiyo wote mnaanza semister pamoja. Nilihis hawa wa mwez wa 4 wanatangulie semister nikahis kuna kupishana ktk kusoma. Thnx alot
Yaan asante sana kwa msaada wako. UbarikiweKujua kama umechaguliwa majina huwekwa kwenye website ya Chuo na pia hubandikwa hapa chuoni! pia siku majina yatakapo toka wanakuwa wametoa maelezo yakuja kuchukua Admsion letter hapa Chuoni
Yaa mnaanza wote kwa pamoja japo kuna mda huwa wanatangulia kidogo sanaaaa
kwenye izo koz za mwaka 1 kama basic techinian in pharmaceuticals kuna ndugu yang ana cheti sasa anaweza kuendelea au..?? msaada jamanKama Muhimbili wana hiyo course ni bora uende ukaulize, humu utapewa taarifa zisizo na uhakika.
Jaman wadau nilimaliza mwaka 2008 FORM FOUR
Nlipata
Mathematics- B
physics- B
Chemistry- B
Biology- B
na masomo mengne yanayobaki C. Je nawezaje kupata mtu wa kunisaidia au mfadhili ktka Clinical Officer please.
#danya, naomba msaada dogo langu aliomba Chuo last yrs kozi za afya akakosa akachange category kwenda eduction akachaguliwa dip in primary akaamua kutokwenda hiyo kozi akahamua Kuwait application za mwaka huu but kweny system ya mtandao anashindwa kujisajili tena,naomba msaada please
Mdogo wangu anaufaulu ufuatao ;civ D,history D,Geog D,Kisws D,English D ,Phs F,Chem D,Bios C,Maths F.Je anaweza soma coz gani ya afya?
Anaweza kusoma Astashahada ya Awali ya Community Health au ya Pharmaceutical Sciences
Kuna mdogo wangu wa kike kamaliza kidato cha Nne ana div 4 ya 30
CIV - 'F' HIST - 'D' GEO - 'F' KISW - 'F' ENGL - 'C' BIO - 'C' B/MATH - 'F' COMM - 'F' B/KEEPING - 'F'. Anapenda kusomea Nursing je kwa maksi hizo anaweza kupata nafasi?
mkuu alichagua vyuo vya government tu ndio akakosa ila ana div three ya 23 kwa form four 2009 na two subsidiary ya PCB ya mwaka 2013 msaaada hapo please,atumeje maombi wakat system inamtema,pleasekilichofanya akakosa mwaka jana ni kipi kama ni matokeo mwaka huu ndo wamefaulu angeenda tu ualimu mapema kama amefaulu sayansi kwA kiwango cha C na kuendelea sidhan kama angeachwa