,nmependa fees structure ya vyuo hapo juu,unaweza kunipatia fees structure ya vyuo vya afya vyenye nafuu,in clinical office r au laboratory health
Mkuu hii ni sahihi kweli?
Wadau kwema?
Niko katika hatua ya kuchagua chuo cha afya kwa kozi ya clinical medicine (cheti) nisaidieni chuo kipi
kizuri cha private (vya serikali sina sifa)?
Nimevutiwa na na hivi;
1.Mvumi-Dodoma.
2.Kolandoto-Shinyanga.
3.Nkinga-Tabora.
,nmependa fees structure ya vyuo hapo juu,unaweza kunipatia fees structure ya vyuo vya afya vyenye nafuu,in clinical office r au laboratory health
(1)machame cotc ada=mil 3.5i
(2)sengerema cotc=mil 3
(3)bumbuli cotc.=mil 2.5
hivyo vyuo ni vya mission vipo chini ya KKKT vizuri sana,ni vikongwe wanajua kufundisha vizuri kuna hosptal na vifaa vya kutosha
kitu gani hasa kilicho kuvutia kolandotoo???? ushauri nenda mvumi
kwa kifupi mimi nimesoma pale napaelewaa sana ..department ya clinical medicine ni chenga tumeandamana sana mpaka nikaamua kuchomoka pale.. Dogo kama anataka elimu bora aende machame au sengeremamvumu? unaijua kolandoto wewe au unasikia
1. hospitali yao ni kubwa na ni ya rufaa mvumi hata hosp hawana
Ada yake sasa.......ila kama kujifunza kichwa kiwe kigumu tuu maana hospitalini wanafunzi ndio sanaukishndwa hcho bs kuna chuo kinaitwa ilembura kipo makambako kizur pia
Ya afya au yoyote ileJamani, mimi nimepata 4 ya 27 nimepata mathe C, chem C, bios D, geo D, phys F , engl D, na kisw D . naomba ushauri nikasome course gani?
Mvumi wanatoa diploma tu ya COkolandoto shinyanga, machame moshi
kwa serikalin saiv itakua kuanzia 2010 private hata 1988 unapiga
course ingia nacte maana saiv hata uuguzi.lazima uwe na phys
Mkuu, vp kwa mwaka huu vyuo vya serikali Kilimo, mifugo, afya ,ualimu e.t.c wanaanza kuchukuwa waliomaliza form 4 kuanzia mwaka gani...?kwa serikalin saiv itakua kuanzia 2010 private hata 1988 unapiga
course ingia nacte maana saiv hata uuguzi.lazima uwe na phys