Kozi za Afya 2016/17, Ushauri na maoni

Kozi za Afya 2016/17, Ushauri na maoni

mkuu alichagua vyuo vya government tu ndio akakosa ila ana div three ya 23 kwa form four 2009 na two subsidiary ya PCB ya mwaka 2013 msaaada hapo please,atumeje maombi wakat system inamtema,please
Aende na NacTe akaulize why system inamtema
 
NINA SWALI, hivi hizo ada walizoandikwa kwenye guidebook ni zenyewe au hua kuna mabadiliko ya ada huko chuoni hapa sana sana naongelea kwa private institutions. naomba kujuzwa naamini hili swali litasaidia wengi
Ada ndo hizo hamna change yoyote ukifika chuo
 
O level nina Bios C na Chem B ila sikufanya Phys. Nina qualify kusoma course yoyote ya certif ya afya?

2. Utaratibu ukoje kujiunga vyuo vya serikali?
3. Ada za serikali zikoje?
N.B nimemaliza form 4 mwaka 2008. Thanx in advance
 
NDIO UNAKUWA UMEKOSA KABISA NAFASI Labda uombe tena mwezi wa kumi

Yaani nikisema Gov.Sponsored kwamba wewe kuna vitu utatofautiana na Mtu wa Evening kama vile ada ya mtu wa Gvr.ni ndogo kulinganisha na private (evnng), utapewa chumba lakini mtu wa Prvt hata pewa

Mfano Mtu wa Gv.Sponsored sahizi ana Lipa ada kiasi cha Laki 4.5,lakini anajite gemea chakula na hela ya Field! Halafu mtu wa Evening ada Analipa almost 1.5M huku anajitegemea sehemu ya kulala,chakula na hela ya Field
Mkuu Mkopo inakuwaje kwa aliyeomba kozi za afya je unatolewa na loan board kama vyuo vikuu au kuna utofauti,

Msaada please
 
Mkuu Mkopo inakuwaje kwa aliyeomba kozi za afya je unatolewa na loan board kama vyuo vikuu au kuna utofauti,

Msaada please
Ngazi ya Diploma hawatoi mkopo loanboard ila nasikia kuna foundation zinatoa mikopo kama mkapa na zingine hapa kwetu hamna
 
Ngazi ya Diploma hawatoi mkopo loanboard ila nasikia kuna foundation zinatoa mikopo kama mkapa na zingine hapa kwetu hamna
Je kama hakuna Mkopo , je kuna wanaosomeshwa na wizara / serikali na je kama ipo utaratibu ukoje

Mdogo wangu kaomba kibaha, mtwara na lugalo na ana div 1 point 17 akiwa na B flat pamoja na C moja tu
 
Je kama hakuna Mkopo , je kuna wanaosomeshwa na wizara / serikali na je kama ipo utaratibu ukoje

Mdogo wangu kaomba kibaha, mtwara na lugalo na ana div 1 point 17 akiwa na B flat pamoja na C moja tu
Hapana wizara pia haina hicho kitu mkopo kwa diploma ni kazi sana kuupata zaidi ya hizo foundation kama Gloabol
 
Hapana wizara pia haina hicho kitu mkopo kwa diploma ni kazi sana kuupata zaidi ya hizo foundation kama Gloable
OK hizo foundation ziko ngapi na utaratibu wa kuomba ukoje?
 
Je kama hakuna Mkopo , je kuna wanaosomeshwa na wizara / serikali na je kama ipo utaratibu ukoje

Mdogo wangu kaomba kibaha, mtwara na lugalo na ana div 1 point 17 akiwa na B flat pamoja na C moja tu

waambieni hawa watu waende advance msidanganyike sana, kama umefaulu nenda advance kuliko kujilimiti sehemu moja kuna kukwama
 
O level nina Bios C na Chem B ila sikufanya Phys. Nina qualify kusoma course yoyote ya certif ya afya?

2. Utaratibu ukoje kujiunga vyuo vya serikali?
3. Ada za serikali zikoje?
N.B nimemaliza form 4 mwaka 2008. Thanx in advance

kwa serikal muda umekutupa mkono sana broo ww tafuta privatw tu

ww huanzi cheti bali diploma moja kwa moja.

maombi yote hupitia CAS
 
mkuu alichagua vyuo vya government tu ndio akakosa ila ana div three ya 23 kwa form four 2009 na two subsidiary ya PCB ya mwaka 2013 msaaada hapo please,atumeje maombi wakat system inamtema,please
system unamtema kivip? labda yeye bado anakazana na serikali wakati muda umemtupa mkono
 
Back
Top Bottom