iCode
JF-Expert Member
- Oct 16, 2013
- 770
- 459
Me
Me? Au kuna ukiyemjibu...
ni pm.....au call me 0689930075
Me? Au kuna ukiyemjibu...
ni pm.....au call me 0689930075
WADAU KKWEMA?
NIKO KATIKA HATUA YA KUCHAGUA CHUO CHA AFYA KWA KOZI YA CLINICAL MEDICINE (CHETI) NISAIDIENI CHUO KIPI
KIZURI CHA PRIVATE (VYA SERIKALI SINA SIFA)
NIMEVUTIWA NA NA HIVI,,,
MVUMI-DODOMA,
KOLANDOTO-SHINYANGA,
NKINGA-TABORA
ukweli ni kwamba una matokeo mazuri sana ya kuweza kusoma ila badluck masomo ya jioni hayapo
ngoja me niulize kidogo hapo.Mimi nilishawahi kuapply na nikachaguliwa sasa sikuripoti chuoni kutokana na matatizo ya kifamilia zaidi. Sasa nimeapply tena na pesa nilituma na nimeselect vyuo na wameniambia subiri majibu yatakapotoka. mbona Mimi hawajaniambia/hawajanionyesha kwamba nipo kwenye system?Uwezekano upo kikubwa wakutoe tuu kwenye system! Kwasababu ukiwa kwenye system wanaamini ya kiwa uliripoti chuoni.
Mi nilikwenda nikawaambia wakanitoa kwenye system nikaomba tena.
,ahsante sana ndugu,kwasasa dogo yupo arusha,awasiliane na necta kwa njia IPI kaka,msaaada wako mkuuUwezekano upo kikubwa wakutoe tuu kwenye system! Kwasababu ukiwa kwenye system wanaamini ya kiwa uliripoti chuoni.
Mi nilikwenda nikawaambia wakanitoa kwenye system nikaomba tena.
,mkuu tatzo nikiweka details kama mwaka aliomalizia o level inagoma kabsa best,tatzo linaweza kuwa nnNi kweli kaka hata mm yalinikuta hayo.
Ila baada ya kuwauliza na kuongea nao wakanijibu ya kuwa hakuna tatizo kwenye hilo kwani naweza apply upya pasipo process nyingine yeyote ile na niwe free.
Nimeomba upya na sasa nasubir selection kwa diploma lakin.
Ila kwa degree ni lazima ufutwe kwenye systeam ndipo uanze upya kwa mujibu wao.
,nmependa fees structure ya vyuo hapo juu,unaweza kunipatia fees structure ya vyuo vya afya vyenye nafuu,in clinical office r au laboratory health(1)machame cotc ada=mil 3.5i
(2)sengerema cotc=mil 3
(3)bumbuli cotc.=mil 2.5
hivyo vyuo ni vya mission vipo chini ya KKKT vizuri sana,ni vikongwe wanajua kufundisha vizuri kuna hosptal na vifaa vya kutosha