Kozi za Afya 2016/17, Ushauri na maoni

Sep 26, 2015
50
2
Uzi huu ni kwa wale wote ambao wamefanya application kwenye kozi zote za Afya kuna mengi ya kushauriana, maswali juu ya kozi husika na maswali juu ya vyuo husika..!!

Karibuni sana kwenye mwaka wa masomo 2016/2017
 
Mimi ni mwlm wa level ya degree nafikilia kuomba certifcate ya medicine, Je kunauwezekano wa kusoma hyo coz nikiwa nyumba (kam day school) maana kwenda kukaa boarding nivigumu kwangu(siwez kupata ruhusa kazini)

Pia naomba kujuzwa certificate ni program ya miaka mingapi?
Matokeo yangu ya kidato cha4 ni chem D, phy C, math B, bios D, engl D, kisw C, geog D, civcs C, hist F.

Advance PCM, phy E math E chem S

Karibuni kwa ushauri........
 
Uzi huu ni kwa wale wote ambao wamefanya application kwenye kozi zote za Afya kuna mengi ya kushauriana,maswali juu ya kozi husika,na maswali juu ya vyuo husika..!!
karibuni sana kwenye mwaka wa masomo 2016/2017
Hivi Muhimbili medical lab, clinical officer na nursing mbona haziko NACTE.
Pili kozi za LUGALO MILITARY MEDICAL SCHOOL wanafunzi kutoka shule za wananchi wanaruhusiwa au ni wale wenye military background
 
muhimbili hamna clinical officer,
 
Mimi ni mwlm wa level ya degree nafikilia kuomba certifcate ya medicine, Je kunauwezekano wa kusoma hyo coz nikiwa nyumba (kam day school) maana kwenda kukaa boarding nivigumu kwangu(siwez kupata ruhusa kazini)

Pia naomba kujuzwa certificate ni program ya miaka mingapi?
Matokeo yangu ya kidato cha4 ni chem D, phy C, math B, bios D, engl D, kisw C, geog D, civcs C, hist F.

Advance PCM, phy E math E chem S

Karibuni kwa ushauri........

ukweli ni kwamba una matokeo mazuri sana ya kuweza kusoma ila badluck masomo ya jioni hayapo
 
Kama mtu olevel hukusoma physics lakin una BIOS na chem unaweza kuapply na je ni course gan unaweza kuomba.
Na pili nmesikia ukitaka kuomba vyuo vya afya vya serikali ni kwa wale waliomaliz 2008 na kuendelea Kama kinyume na hapo unatakiwa uapply private je ni kweli??? Naomben majibu ya kujitosheleza.
 
kwa serikalin saiv itakua kuanzia 2010 private hata 1988 unapiga

course ingia nacte maana saiv hata uuguzi.lazima uwe na phys
 
ukweli ni kwamba una matokeo mazuri sana ya kuweza kusoma ila badluck masomo ya jioni hayapo
mkuu,kwa sasa sector ya afya kuanzia ngazi ya cheti mpaka diploma wanatoa kwa njia ya e-learning programs (distances learning)hasa kwa inservice (kwa wake waliopo makazini).
Utaitwa chuoni kwa ajili ya facetoface na clinical area rotation nayo inaweza kukuchukua mwezi mzima au zaidi ukiwa chuoni hii kwa sababu course za afya zinahitaji mazoezi yakutosha pia wakati WA mitihani utaitwa before one or two week kwa maandalizi zaidi..
Pia utakapokuwa nyumbani utatafuta mentor kwenye hospital ya wilaya kwa ajili ya kukusupervise ukiwa clinical area pia walimu wanaweza Kuja kukusupervise pengne Mara moja kwa mwezi kujua maendeleo yako
 
Naomba kushquriwa juu mtu akitaka kusomq kozi kati ya hizo mbili ipi utamshauri na kwann? hlf mishahara yake kwa anqyefahamu kwa ngazi yq serikali naomba aniambie
 
Kama kichwa kilivyoelza naomba nijue utaratibu wa field maana nalinganisha na kozi za ualimu fied kilq mwaka
 
mkuu,kwa sasa sector ya afya kuanzia ngazi ya cheti mpaka diploma wanatoa kwa njia ya e-learning programs (distances learning)hasa kwa inservice (kwa wake waliopo makazini).
Utaitwa chuoni kwa ajili ya facetoface na clinical area rotation nayo inaweza kukuchukua mwezi mzima au zaidi ukiwa chuoni hii kwa sababu course za afya zinahitaji mazoezi yakutosha pia wakati WA mitihani utaitwa before one or two week kwa maandalizi zaidi..
Pia utakapokuwa nyumbani utatafuta mentor kwenye hospital ya wilaya kwa ajili ya kukusupervise ukiwa clinical area pia walimu wanaweza Kuja kukusupervise pengne Mara moja kwa mwezi kujua maendeleo yako
Amepata;
C-biology
C-geography
D-chemistry
F-physics
F-b/mathematics
C-english

Anaweza kusoma clinical officer?.
 
Back
Top Bottom