Kozi za Afya 2016/17, Ushauri na maoni

Kozi za Afya 2016/17, Ushauri na maoni

nimekutana na tangazo la wizara...kuna tangazo limetolewa kwamba kuna vyuo wanataraji kuanza masomo 18/4....!!!mwisho wa application tarehe 31/3...!!!limenichanganya mno....!!maana kuna tangazo walisema mwisho 31/5....!!!msaada jamani
 
Yah iko pouwa sana Phamarcy....Masomo yake kibishi magumu according to wanao soma wanalalamikia kuwa ina mambo mengi so inategemea kichwa cha mtu ila wanao ongoza kudisco na kusup hapa ni Pharmacy afu wanafuata Watu wa Maabara so iko Pouwa,ila Pamoja na ugumu wake sikushauri kuomba Environmental health kama unategemea Elimu ikutoe
Tunaendelea. Najua kuna watu wanapata majibu hapa. Ukiomba huu mwez wa 4 majibu yanatoka lini? Na course inaanza lini aftr majibu? Na je hiyo application ya mwez wa 10 watu wanaanza kusoma lini na majibu yake yanatoka lini ili kujua kama umechaguliwa?
 
Usijari tuendelee,Ukiomba mwezi wanne hadi w mwezi wa 5 majibu yanatoka mwezi wa nane mwishoni au mwezi wa tisa mwanzoni inategemea na ratiba ya Chuo,halafu kuja chuo unakuja mwezi wa 10 chuo kinapo funguliwa,

Application za mwezi wa kumi huwa zinafanywa kwa mda wa wiki mbili au moja Na nusu kwa ajili ya walio maliza Form six na wale wwngine wa Form Four ambao hawakufanya application then baada ya wiki mbili au 3 majibu yanakuwa yametoka na unapewa mda wa wiki moja kujiandaa kuja chuo kama ukipata nafasi,automatically masomo huwa wanaanza wote kwa pamoja wale wa mwanzoni kuomba na wale wa mwshn kuomba na kama watatangulia haizidi wiki moja
 
Aah kwahiyo wote mnaanza semister pamoja. Nilihis hawa wa mwez wa 4 wanatangulie semister nikahis kuna kupishana ktk kusoma. Thnx alot
 
Kujua kama umechaguliwa majina huwekwa kwenye website ya Chuo na pia hubandikwa hapa chuoni! pia siku majina yatakapo toka wanakuwa wametoa maelezo yakuja kuchukua Admsion letter hapa Chuoni

Yaa mnaanza wote kwa pamoja japo kuna mda huwa wanatangulia kidogo sanaaaa
 
Yaan asante sana kwa msaada wako. Ubarikiwe
 
Mdogo wangu anaufaulu ufuatao ;civ D,history D,Geog D,Kisws D,English D ,Phs F,Chem D,Bios C,Maths F.Je anaweza soma coz gani ya afya?
 
Jaman wadau nilimaliza mwaka 2008 FORM FOUR
Nlipata
Mathematics- B
physics- B
Chemistry- B
Biology- B
na masomo mengne yanayobaki C. Je nawezaje kupata mtu wa kunisaidia au mfadhili ktka Clinical Officer please.
 
#danya, naomba msaada dogo langu aliomba Chuo last yrs kozi za afya akakosa akachange category kwenda eduction akachaguliwa dip in primary akaamua kutokwenda hiyo kozi akahamua Kuwait application za mwaka huu but kweny system ya mtandao anashindwa kujisajili tena,naomba msaada please
 
mkuu nasikiaga kuna mkapa foundation jaribu kuangalia huko
 
#danya, naomba msaada dogo langu aliomba Chuo last yrs kozi za afya akakosa akachange category kwenda eduction akachaguliwa dip in primary akaamua kutokwenda hiyo kozi akahamua Kuwait application za mwaka huu but kweny system ya mtandao anashindwa kujisajili tena,naomba msaada please

kilichofanya akakosa mwaka jana ni kipi kama ni matokeo mwaka huu ndo wamefaulu angeenda tu ualimu mapema kama amefaulu sayansi kwA kiwango cha C na kuendelea sidhan kama angeachwa
 
Mdogo wangu anaufaulu ufuatao ;civ D,history D,Geog D,Kisws D,English D ,Phs F,Chem D,Bios C,Maths F.Je anaweza soma coz gani ya afya?

huyu hakuna kozi yoyote ya afya atakayosoma, ufaulu wako lazima uanzie C kwa bio na kemia na D kwa phys na lazima uwe na D ya math na ENGLISH
 
Kuna mdogo wangu wa kike kamaliza kidato cha Nne ana div 4 ya 30
CIV - 'F' HIST - 'D' GEO - 'F' KISW - 'F' ENGL - 'C' BIO - 'C' B/MATH - 'F' COMM - 'F' B/KEEPING - 'F'. Anapenda kusomea Nursing je kwa maksi hizo anaweza kupata nafasi?

nyie watu NURSING na bo-keeping wap na wap, mkuu akarisiti tu awe na pass 4 akasome account cheti huyo hawezi kwenda kokote kwenye afya lazima uwe na kemia na phys
 
NINA SWALI, hivi hizo ada walizoandikwa kwenye guidebook ni zenyewe au hua kuna mabadiliko ya ada huko chuoni hapa sana sana naongelea kwa private institutions. naomba kujuzwa naamini hili swali litasaidia wengi
 
kilichofanya akakosa mwaka jana ni kipi kama ni matokeo mwaka huu ndo wamefaulu angeenda tu ualimu mapema kama amefaulu sayansi kwA kiwango cha C na kuendelea sidhan kama angeachwa
mkuu alichagua vyuo vya government tu ndio akakosa ila ana div three ya 23 kwa form four 2009 na two subsidiary ya PCB ya mwaka 2013 msaaada hapo please,atumeje maombi wakat system inamtema,please
 
Back
Top Bottom