Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Habari wanajamvi....
Kwa aliefanya application kwa mitandao wa CAS Wa NACTE anaweza akanisaidia hili....
Nimemfanyia mtu application Jana, nimejaza forms na sub-form zote kama walivyoeleza, Sasa ishu ikaja pale mwishoni baada ya kuchagua vyuo na kozi ya kusoma....
Kwenye Guide book yao wanaeleza kuwa ukishafanya application utaona neno "CONFIRM " ili uwe umefinalize application na uwe umesubmit Yale maombi Nacte, ( Guide book. section 5.8 , page 21 of 22)
Sasa Mimi sijaona hiyo option isipokuwa programme zimejilist kama ambayo nitaattach screen shot hapo chini....
Nilijaribu kuwapigia namba zao lakini kwa kuwa ilikuwa ni sikukuu toka Jana ikawa hawapatikani na deadline nin jumanne March 31 , so kwa yoyote mwenye experience na hili anaiambie kama nilikuwa nimemaliza application au laa....ili nisije nikajifariji afu kumbe sijamaliza application....
Screen shot yenyewe ni hii hapa
Na   