Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,043
- 2,000
Nitajie fani hapa bongo ambayo ukigraduate unapata ajira moja kwa moja. Ukiweza kunitajia naenda kujiunga kesho.
ualimu na udaktari.
Nitajie fani hapa bongo ambayo ukigraduate unapata ajira moja kwa moja. Ukiweza kunitajia naenda kujiunga kesho.
We tatizo lako hasa ni nini? Kwa hiyo hautaki watu wasome IT kisa isije kuwa yeboyebo!! Ok toa ushauri sasa watu wasome kozi gani ili muachiwe hy IT wenyewe..
Sio IT peke yake..kila fani itakuwa hivo.Watu wengi zamani walikuwa wanaishia darasa la saba lakn siku hizi wanaendelea.Inatakiwa tufike mahali ELIMU itujengee uwezo wa kujiajiri na sio kutudumaza fikra katika kuajiriwa.Ukweli ni kwamba huko tuendako huwezi kuajiriwa kwakuwa tu eti wewe ni
mhitimu wa IT...haitoshi lazima uwe na ujuzi mwingine utakaokupa ajira...
IT ni kama kujua kusoma na kuandika, inatarajiwa kila mtu ajue matumizi yake
Ukweli ni kwamba huko tuendako huwezi kuajiriwa kwakuwa tu eti wewe ni
mhitimu wa IT...haitoshi lazima uwe na ujuzi mwingine utakaokupa ajira...
IT ni kama kujua kusoma na kuandika, inatarajiwa kila mtu ajue matumizi yake
Jamani tunaosoma hii kozi ya it.......tanzania tumekuwa wengi sana......vyuo kibao vinatoa kozi za it.....na wanafunzi kibao wanasoma it.....sijui baada ya miaka mitano ijayo ajira.......sijui zitakuwajeee
una uhakika?..unazo data kamili? acha kupotosha watu bana. sasa cnhi za europe watasemaje sasa au americas
Jamani tunaosoma hii kozi ya it.......tanzania tumekuwa wengi sana......vyuo kibao vinatoa kozi za it.....na wanafunzi kibao wanasoma it.....sijui baada ya miaka mitano ijayo ajira.......sijui zitakuwajeee
Education,Medicine,Nursing...Nitajie fani hapa bongo ambayo ukigraduate unapata ajira moja kwa moja. Ukiweza kunitajia naenda kujiunga kesho.
Kama hujui IT nini kaa kimya usi-comment usichokijua,hawasomi word kule.
Wana jf hasa jukwaa la elimu na pia waliosoma hiyo it,mgawanyo wa kazi kati ya mtu aliyesoma Computer Engineering,Computer Science,Information System na Information Technlogy uko vipi?nani anafanya nini na anafiti wapi?