Kozi ya it imekuwa yeboyebo bongo sijui itakuwaje kwa miaka 5 ijayo kwenye ajira

We tatizo lako hasa ni nini? Kwa hiyo hautaki watu wasome IT kisa isije kuwa yeboyebo!! Ok toa ushauri sasa watu wasome kozi gani ili muachiwe hy IT wenyewe..

pia akumbuke kunakitu kinaitwa ajira binafsi+ubunifu so achauoga piga shule
 
wadau nimekubali maoni yenu maana nilishaanza kukata tamaa maana mtaani mtu ukisema unasoma kozi ya it......anakwambia it maana yake ibaliliki tanzania(it)....kisa ina watu wengi nashukuru kwa maoni yenu
 
Ukweli ni kwamba huko tuendako huwezi kuajiriwa kwakuwa tu eti wewe ni
mhitimu wa IT...haitoshi lazima uwe na ujuzi mwingine utakaokupa ajira...
IT ni kama kujua kusoma na kuandika, inatarajiwa kila mtu ajue matumizi yake
Sio IT peke yake..kila fani itakuwa hivo.Watu wengi zamani walikuwa wanaishia darasa la saba lakn siku hizi wanaendelea.Inatakiwa tufike mahali ELIMU itujengee uwezo wa kujiajiri na sio kutudumaza fikra katika kuajiriwa.
 
Ukweli ni kwamba huko tuendako huwezi kuajiriwa kwakuwa tu eti wewe ni
mhitimu wa IT...haitoshi lazima uwe na ujuzi mwingine utakaokupa ajira...
IT ni kama kujua kusoma na kuandika, inatarajiwa kila mtu ajue matumizi yake

Kama hujui IT nini kaa kimya usi-comment usichokijua,hawasomi word kule.
 
Jamani tunaosoma hii kozi ya it.......tanzania tumekuwa wengi sana......vyuo kibao vinatoa kozi za it.....na wanafunzi kibao wanasoma it.....sijui baada ya miaka mitano ijayo ajira.......sijui zitakuwajeee

Itabidi urudi kupiga coz nyingine ili uwe competitive in market
 
una uhakika?..unazo data kamili? acha kupotosha watu bana. sasa cnhi za europe watasemaje sasa au americas

Angalia wao wana kampuni ngapi zinazohitaji knowledge ya IT nasi zipo ngapi utaona hali halisi
 
Wana jf hasa jukwaa la elimu na pia waliosoma hiyo it,mgawanyo wa kazi kati ya mtu aliyesoma Computer Engineering,Computer Science,Information System na Information Technlogy uko vipi?nani anafanya nini na anafiti wapi?
 
hayo no mawazo yako tu unafundishwa ili utoe ujinga na ujiajili ila wewe fikra zako ndogo za kuajiliwa ndy zinafanya unapotosha watu hapa.
 
Namshangaa sana mtu anayesoma computer science au IT halafu anaogopa ajira. dogo am telling u from experience. kama umesoma hizi issue na uko nondo. watu watakutafuta tu. na kazi hata za online ziko kibao. mimi kila mwezi naingiza kati ya million 2 mpaka 3, na kazini nalipwa take home milion 1 the rest nazipata kutokana na projects zangu za pembeni.
 
Jamani tunaosoma hii kozi ya it.......tanzania tumekuwa wengi sana......vyuo kibao vinatoa kozi za it.....na wanafunzi kibao wanasoma it.....sijui baada ya miaka mitano ijayo ajira.......sijui zitakuwajeee

mr.hou ni mtazamo unaodhihilisha wazi kuwa hauna tumaini kozi unayo.ningependa nikushauli soma suala la ajila litafuata jua huu niwakati wa technology kukua hasa inchini kwetu o na dmanand inaongezeka.hebu jiulize waalim gred A kila mwaka wanahitimu wangapi? Nilini walimu wakatosha.acha hofu zisizo za lazima itakupelka uifanyevizuri ktk kozi yako.
 
ulitaka usome peke yako? unajua sociology watu wangapi wanamaliza ? unazifahamu ajira zao ? kaaaa kimyaaaaaaa!@
 
Mafunzo ya IT yapo katika ngazi tofauti tofauti na kila ngazi in umuhimu na mahitaji yake. wengine husoma kwa ajili ya matumizi binafsi na wengine kutafua kuajiriwa. kwa hivo kuwepo kwa kozi za IT ni muhimu sana kwanza kukabiliana na maeneleo ya sasa na pia ajira binafsi na kuajiriwa. mtu aliyefaulu vizuri shahada ya IT kwa mfano anayo nafasi pana zaidi iwe ya kujiajiri au ya kuajiriwa
 
Ukisoma IT vizuri, kwa mfano Programming, si lazima utegemee ajira za nchini. Unaweza kuondoka kufanya kazi nje au hata kufanya kazi kwa projects kwenye internet ukawa mjasiriamali kivyako.

Kufikiria kazi za kuajiriwa ndizo kazi pekee kumepitwa na wakati. Wapakistani na wahindi kibao wanakula vichwa online, hawajaajiriwa na kampuni yoyote
 
Kama hujui IT nini kaa kimya usi-comment usichokijua,hawasomi word kule.

Achana nae huyo hata maana ya IT hajui,akili inamtuma IT ni kujua kutumia computer kwa kazi ndogo kama kujua kutumia microsoft office,kuburn cd,ku-install O.S.
 
Wana jf hasa jukwaa la elimu na pia waliosoma hiyo it,mgawanyo wa kazi kati ya mtu aliyesoma Computer Engineering,Computer Science,Information System na Information Technlogy uko vipi?nani anafanya nini na anafiti wapi?

Hawa watu kazi nyingi sana ambazo ni za msingi za mambo IT wote wanauwezo wa kuzifanya.Kwenye IT kazi kubwa kabisa ni 1.Database system i.e design and implementation. 2.Networking 3.Programming
kwahiyo unakuta tofauti yao kwenye mambo mengine ni ndogo sana,kwa mfano watu wa Eng watasoma kwa kiwango kikubwa mambo ya "computer architecture" lakini wangine watasoma kwa semester 1 tu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom