ungonella wa ukweli
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 4,210
- 556
kweli wewe ni mlevi wa dini, ukweli gani wa kufanya watu waharibu makanisa? Mkuu uwe mzalendo kwa taifa!Hizo ni chuki zako binafsi na ukanisa ulio kukaa kichwani hivi mtu kuzungumza ukweli ana hatarisha amani uliambiwa nani uckilize au usome hilo gazeti