KOVA: Sheikh Ponda atakamatwa muda wowote

KOVA: Sheikh Ponda atakamatwa muda wowote

Hizo ni chuki zako binafsi na ukanisa ulio kukaa kichwani hivi mtu kuzungumza ukweli ana hatarisha amani uliambiwa nani uckilize au usome hilo gazeti

acha upimbi wewe hapo jamaa ameuliza hoja za msingi tatizo ukafiri umekujaa
 
Hawa jamaa nawafananisha na mnyama mmoja anayeitwa mbutika,,
 
Kweli sasa nimeamini hii serikali ni dhaifu, mbona kila kukicha redio imani inafanya uchochezi na hakuna anayesimama na kukemea sasa eti mtu anachochea kila kukicha lakini polisi inasema imemuonya mara nyingi, kama sote tungekuwa tunaonywa mara nyingi bila kutii ingekuwaje?
 
Mkamateni muone.hapo ndio mtajua ile takwimu ya tbc kama ni ya ukweli au ya uwongo,dsm yote itakuwa nyeupeee kwa vbaragashia na kanzu,nadhani hiyo ndiyo itakuwa siku ya ku declare that tz is the muslim country!!
 
Ina maana MWANAHALISI NI GAZETI LA KIKIRISTO? Linamlikiwa na taasisi gani ya dini?
Hapa tunazungum
zia jinsi utawala huu unavyochezesha sheria, sheria moja inatumika kumkamata 'mchochezi' mmoja, lkn inapokuja kwa 'mchochezi' mwingine inakaa kimya. Hapo ndipo tunalaumu-double standards.
 
Wakristo tutaendelea kuwa watulivu na kusubiria kuona uwajibikaji wa serikali katika kuhakikisha usalama wa mali na haki ya kuishi dhidi ya magenge ya kigaidi. Lakini tunamhakikishia mh rais kuwa kunyamaza kwetu kuna mshindo mkuu kuliko kukimbilia matamko.
.

atambue kuwa mjinga akierevuka mjanja yu mashakani.
 
Mkamateni muone.hapo ndio mtajua ile takwimu ya tbc kama ni ya ukweli au ya uwongo,dsm yote itakuwa nyeupeee kwa vbaragashia na kanzu,nadhani hiyo ndiyo itakuwa siku ya ku declare that tz is the muslim country!!

then ikishakua declared utanufaika na nini?
 

Ritz inabidi ukue sasa, sio sifa kila siku kuambiwa wewe ni kada wa ccm, hakuna siasa kwenye hili, mtu anatangaza hadharani kwamba hatofata sheria za nchi, anasifia vurugu na anatoa wito kwa waislam wengine kuiga kisha we unadhani kuna politics hapo?

tena hiki ni kikundi tu cha wahuni na wala sio waislam wote

huyu si mtu wa kwanza kufanya hivo,,,,mbona kuna kiongoz alimtandika sms kali SAID MWEMA NA AKAAHIDI DAMU ITAMWAGIKA NA IKAMWAGIKA,HAO WENGINE WANAOKATAZWA WASIFANYE MAANDAMANO NA WANAFANYA HUWA HAWAVINJ SHERIA,HAO WANAOIBA MABILION HAPA BONGO HAWAVUNJ SHERIA????AU SUALA LA SHERIA UMELIONA HAPO TU MDAU,,,,,,,YAAN KABLA HUJAKOMENT UKUMBUKE HUKO NYUMA ULIKOMENT NINI???POLIS NA MAHAKAMA MNASEMA HAZIFANY KAZI KWA UADILIFU SASA PONDA ATAKAMATWA NA NANI NA ATAHUKUMIWA NA NANI????WHILE SERIKAL NI DHAIFU????
 
Kamanda wa kanda maalum ya Dar es salaama Shehe Selaiman Kova amasema Shehe ponda atakamatwa muda wowote kuanzania sasa.

Akiongea na waandishi wa habari Kova amesema Shehe ponda amakuwa akichochea waumini wa dini yake kuandamana na kuleta vurugu, ameonywa mara kadhaa lakini hajaweza kutii sheria za nchi

Source:Kova

Update:.....................

Inawezekana ponda wanamuogopa inawezekana asikamatwe wala kuguswa

more to follow

Hvi kumbe siku hizi polisi wakitaka kukamata mhalifu wanatangaza kwanza katika vyombo vya habari?
 
Nakuunga mkono kuwa kokote kwenye Uislamu ni umwagaji damu tu.Angalia Mali, Nigeria,Somalia, misri,libya,etc.Laana na siyo dini.

hata bush ni muislam,,,,,ndo maana yeye na blair waliingia IRAQ,,,,KUWAIT,,,,,
JITAHIDI KUJIFUNZA HISTORY hata kupitia google
 
dah! Huyu mtu kumbe hata darasa la 7 alimaliza kwa mbinde?

Kweli huyu ndiye shehk ubwabwa.

unategemea atamaliza darasa la saba wakati alijiunga chuo akiwa na miaka sita,acha aendelee kutumika
 
kwani hii nchi inaongozwa kwa mavuguvugu au kwa mujibu wa kanuni,taratibu na sheria za nchi?mara nyingine jitahidi kuficha ujinga wako tafadhali.

inaongozwa kwa mavuguvugu,,,,umesahau M4C,,,,,,,IMESHAONDOKA NA WATU WANGAPI????KUNA TUME NGAPI HADI SASA ZIMEUNDWA KISA NI MAVUGUVUGU NA OPERATIONS????
 
hatutaki kura za waislamu mbuzi kam ww na ponda ambao mnaleta machafuko nchini, safari hii wakristo hatutaleta tena ujinga wa kuchagua muislamu iwe chadema ama CCM kwani tumejua ni jinis gani mkivyo wajinga pale mnapogundua kuwa kiongozi wa juu ni dini yenu.
Pia hapa hakuna cha uchadema wala Uccm bali hapa ni lazima tuonganishe nguviu wakristo wa vyama vyote ktk kuwaondoa waislamu nyie wenye vurugu, kama unabisha subiria sasa uone jinsi siasa zitakazopigwa kanisani mpaka mtahamia maka na madina.

kumbe wakristo ndio mnaochagua serikari ?
 
Back
Top Bottom