KOVA: Sheikh Ponda atakamatwa muda wowote

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Kamanda wa kanda maalum ya Dar es salaama Shehe Selaiman Kova amasema Shehe ponda atakamatwa muda wowote kuanzania sasa.

Akiongea na waandishi wa habari Kova amesema Shehe ponda amakuwa akichochea waumini wa dini yake kuandamana na kuleta vurugu, ameonywa mara kadhaa lakini hajaweza kutii sheria za nchi

Source:Kova

Update:.....................

Inawezekana ponda wanamuogopa inawezekana asikamatwe wala kuguswa

Update.....................

Mpaka sasa hivi mpango wa kumkamata Ponda umeshindikana

more to follow

Atimae Ponda kakamatwa
 
hahaha ahakamatwi mtu hapa. Hii ni geresha tu so wanamkamata halafu iweje? Si ndio watatuletea machafuko zaidi?
 
Huyu Sheikh Ponda ni nani hasa? Kova anasema amekuwa akionywa mara kwa mara lakini hatii sheria za Nchi na bado wamekuwa wanamtazama tu, sasa namimi naanza kuamini Serikali ni dhaifu katika kuchukua hatua mambo ya msingi, wamemnyamazia mpaka sasa amejiona yupo juu ya sheria.
 
Kila siku najiuliza kwa nini linapokuja suala la Waislam Pro-Chadema JF ndio wanakuwa wa kwanza kuwashambulia Waislam halafu hawa hawa wanataka Waislam waiunge mkono Chadema...hiyo itakuwa ni sawa sawa umkabidhi Nguruwe akuchomee mishikaki.
 
Chonde chonde polisi mtumie diplomasia ya hali ya juu katika hili maana yanayoendelea nchini tunayaona. Polisi na uislam vinaanza kuwa tatizo sasa
 
Tatizo ni elimu duni au imani iliyopitiliza au ni hzi dini za wenzetu tulizoletewa amakweli ni bora dini za mababu zetu ambazo ndyo asili yetu.
Tunaongozwa na sheria katika nchi yetu.
 
Kila siku najiuliza kwa nini linapokuja suala la Waislam Pro-Chadema JF ndio wanakuwa wa kwanza kuwashambulia Waislam halafu hawa hawa wanataka Waislam waiunge mkono Chadema...hiyo itakuwa ni sawa sawa umkabidhi Nguruwe akuchomee mishikaki.

hakuna anayeuchukia uislam bro! Waislam ndio wanaoharibu maana ya uislam. Inferiority complex ni tatizo sana. Wapelekeni vijana wenu wakapate elim dunia. Haya tunayoyaona ni madhara ya elim ahera na indoctrination
 
Kila siku najiuliza kwa nini linapokuja suala la Waislam Pro-Chadema JF ndio wanakuwa wa kwanza kuwashambulia Waislam halafu hawa hawa wanataka Waislam waiunge mkono Chadema...hiyo itakuwa ni sawa sawa umkabidhi Nguruwe akuchomee mishikaki.

Ritz inabidi ukue sasa, sio sifa kila siku kuambiwa wewe ni kada wa ccm, hakuna siasa kwenye hili, mtu anatangaza hadharani kwamba hatofata sheria za nchi, anasifia vurugu na anatoa wito kwa waislam wengine kuiga kisha we unadhani kuna politics hapo?

tena hiki ni kikundi tu cha wahuni na wala sio waislam wote
 
Kila siku najiuliza kwa nini linapokuja suala la Waislam Pro-Chadema JF ndio wanakuwa wa kwanza kuwashambulia Waislam halafu hawa hawa wanataka Waislam waiunge mkono Chadema...hiyo itakuwa ni sawa sawa umkabidhi Nguruwe akuchomee mishikaki.

hatutaki kura za waislamu mbuzi kam ww na ponda ambao mnaleta machafuko nchini, safari hii wakristo hatutaleta tena ujinga wa kuchagua muislamu iwe chadema ama CCM kwani tumejua ni jinis gani mkivyo wajinga pale mnapogundua kuwa kiongozi wa juu ni dini yenu.
Pia hapa hakuna cha uchadema wala Uccm bali hapa ni lazima tuonganishe nguviu wakristo wa vyama vyote ktk kuwaondoa waislamu nyie wenye vurugu, kama unabisha subiria sasa uone jinsi siasa zitakazopigwa kanisani mpaka mtahamia maka na madina.
 
Back
Top Bottom