KOVA: Sheikh Ponda atakamatwa muda wowote

KOVA: Sheikh Ponda atakamatwa muda wowote

kamanda wa kanda maalum ya dar es salaama shehe selaiman kova amasema shehe ponda atakamatwa muda wowote kuanzania sasa.

Akiongea na waandishi wa habari kova amesema shehe ponda amakuwa akichochea waumini wa dini yake kuandamana na kuleta vurugu, ameonywa mara kadhaa lakini hajaweza kutii sheria za nchi

source:kova

update:.....................

Inawezekana ponda wanamuogopa inawezekana asikamatwe wala kuguswa


update.....................

Mpaka sasa hivi mpango wa kumkamata ponda umeshindikana

more to follow

ewe mpanda chuki, utavuna unacho kipanda.

 
Agggrrrr! Umerudi tena JF kudadaki si ulitangaza unaondoka JF ukaanzisha na uzi ukiaanga karibu tena.

Mkuu Chadema sio chama ni kikundi fulani kutoka Kaskazini kinatumia jina la chama kwa ajili ya maslahi ya binafsi.

Okay. KWA HIYO UKO KASKAZINI HAKUNA WAISLAMU?
 
Back
Top Bottom