alikwambia??????au unahisi tu,wewe unayempenda jitahidi atakupenda
Kashawashtukia hahahahahahaha
alikwambia??????au unahisi tu,wewe unayempenda jitahidi atakupenda
Kamanda wa kanda maalum ya Dar es salaama Shehe Selaiman Kova amasema Shehe ponda atakamatwa muda wowote kuanzania sasa.
Akiongea na waandishi wa habari Kova amesema Shehe ponda amakuwa akichochea waumini wa dini yake kuandamana na kuleta vurugu, ameonywa mara kadhaa lakini hajaweza kutii sheria za nchi
Source:Kova
Update:.....................
Inawezekana ponda wanamuogopa inawezekana asikamatwe wala kuguswa
more to follow
hakuna anayeuchukia uislam bro! Waislam ndio wanaoharibu maana ya uislam. Inferiority complex ni tatizo sana. Wapelekeni vijana wenu wakapate elim dunia. Haya tunayoyaona ni madhara ya elim ahera na indoctrination
Kamanda wa kanda maalum ya Dar es salaama Shehe Selaiman Kova amasema Shehe ponda atakamatwa muda wowote kuanzania sasa.
Akiongea na waandishi wa habari Kova amesema Shehe ponda amakuwa akichochea waumini wa dini yake kuandamana na kuleta vurugu, ameonywa mara kadhaa lakini hajaweza kutii sheria za nchi
Source:Kova
Update:.....................
Inawezekana ponda wanamuogopa inawezekana asikamatwe wala kuguswa
more to follow
So sheria ifate mkondo
Mkamateni muone.hapo ndio mtajua ile takwimu ya tbc kama ni ya ukweli au ya uwongo,dsm yote itakuwa nyeupeee kwa vbaragashia na kanzu,nadhani hiyo ndiyo itakuwa siku ya ku declare that tz is the muslim country!!
Kamanda wa kanda maalum ya
Dar es salaama Shehe Selaiman Kova amasema Shehe ponda atakamatwa muda
wowote kuanzania sasa.
Akiongea na waandishi wa habari Kova amesema Shehe ponda amakuwa
akichochea waumini wa dini yake kuandamana na kuleta vurugu, ameonywa
mara kadhaa lakini hajaweza kutii sheria za nchi
Source:Kova
Update:.....................
Inawezekana ponda wanamuogopa inawezekana asikamatwe wala kuguswa
more to follow
kumkamata ponda ni sawa na kutupia njiti ya kibiriti kwenye petrol, ponda ndiye kiongozi wetu tutakufa nae.
c kweli udini mnautengeneza wenyewe suala la mtu kama ponda ambae anawafuasi wengi mno nyuma yake unapolijadili kwakumzodoa ponda unategemea nini kwa wafuasi wake,tumeshuhudia mara kadhaa akitajwa uibaya dr slaa wafuasi wake wanaleta matusi kwahiyo kabla ya kumnyoshea kidole mwenzako safisha wako kwanza.
Ponda for President!!!!!
Ni masaa mangapi yamepita sasa tangia aseme hayo??? Je amekamatwa au bado??Kamanda wa kanda maalum ya Dar es salaama Shehe Selaiman Kova amasema Shehe ponda atakamatwa muda wowote kuanzania sasa.
Akiongea na waandishi wa habari Kova amesema Shehe ponda amakuwa akichochea waumini wa dini yake kuandamana na kuleta vurugu, ameonywa mara kadhaa lakini hajaweza kutii sheria za nchi
Nikuulize Maaskofu walipotangaza damu itamwagika waislam wakipewa madai yao, kuna mtu alisema serikali dhaifu haijawakamata? hii ni kuonyesha serikali inajali na kuheshimu viongozi wa dini zote bila kubagua, ila tatizo ninaloona hapa akifanya kitu muislam kelele zinapigwa sana, lkn akifanya mukristo watu munakuwaga kimya sana sijui ni kwa maslahi ya nani hapa, tuweni makini kushabikia issue za kijinga, nchi ni yetu sote na moto ukiwaka tutaungua sote, kwa hiyo tuwe na busara ili moto usije waka ukatuunguza sote. maana haubagua ukiwaka.Huyu Sheikh Ponda ni nani hasa? Kova anasema amekuwa akionywa mara kwa mara lakini hatii sheria za Nchi na bado wamekuwa wanamtazama tu, sasa namimi naanza kuamini Serikali ni dhaifu katika kuchukua hatua mambo ya msingi, wamemnyamazia mpaka sasa amejiona yupo juu ya sheria.