Ritz, jipe muda wa kutakafari mwenendo wa nchi yetu. Kuna thread ilianzishwa humu; KUTOKAMATWA KWA PONDA NA KUFUNGIWA MWANAHALISI.Mkuu ...nashukuru kwa kuendelea kutoa elimu ya uraia, watu humu JF povu linawatoka wanataka Ponda akamatwe, kafanyaje mpaka akamatwe hawasemi.
Kuna tofauti ya maandamano ya CDM Arusha na ya Ponda kwenda Mambo ya Ndani mwezi jana? Kuna tofauti ya kauli za uchochezi za Ponda na Mtikila?
CDM wana kesi, Mtikila keshakamatwa mara kadh
aa. Why not Ponda