KOVA: Sheikh Ponda atakamatwa muda wowote

Naomba kujua ni vigezo gani vilivyotumika kulifungia gazeti la Mwanahilisi, na kuacha gazeti la Al-Nuur na Radio Iman? Kwa nia njema kabisa, naomba niseme, kama kweli rais Kikwete anataka kuipusha Taifa hili na balaa linalionyemelea basi atupie jicho radio imaan na gazeti la Al-Nuur.

Vipo vyombo vya habari vya madhehebu mengine, lakini sijawahi kusoma au kusikiliza watu wanahubiri chuki kama yanayoongelewa kwenye gazeti la Al-Nuur au Radio Iman. Tunakwenda wapi?

Radio Imaan na gazet Al-Nuur ni kioo harisi cha uelewa wa wenzetu.
 
Naomba kujua ni vigezo gani vilivyotumika kulifungia gazeti la Mwanahilisi, na kuacha gazeti la Al-Nuur na Radio Iman? Kwa nia njema kabisa, naomba niseme, kama kweli rais Kikwete anataka kuipusha Taifa hili na balaa linalionyemelea basi atupie jicho radio imaan na gazeti la Al-Nuur.

Vipo vyombo vya habari vya madhehebu mengine, lakini sijawahi kusoma au kusikiliza watu wanahubiri chuki kama yanayoongelewa kwenye gazeti la Al-Nuur au Radio Iman. Tunakwenda wapi?

Hizo ni chuki zako binafsi na ukanisa ulio kukaa kichwani hivi mtu kuzungumza ukweli ana hatarisha amani uliambiwa nani uckilize au usome hilo gazeti
 
Wakuu!
Kama navyosomeka hapo juu kuhu shehk kikwete, pia amewataka wakristo wawe na subira huku uchunguzi zaidi ukiendelea kufanyika huku akisema kuna baadhi ya watu ambao tayari wamekishwa kamatwa.

My outlook :
unafiki ni uchawi.
Sidhani kama JK ana ubavu wa kufanya hivyo. RAIS DHAIFU!
 
Wakuu!
Kama navyosomeka hapo juu kuhu shehk kikwete, pia amewataka wakristo wawe na subira huku uchunguzi zaidi ukiendelea kufanyika huku akisema kuna baadhi ya watu ambao tayari wamekishwa kamatwa.

My outlook :
unafiki ni uchawi.
si ndio aliyoyataka? mimi naona anatudanganya vile,iko siku atashangaa.
 
Alikuwa anasubiri nini asimkemee huyo shekh ponda miezi yote aliyokuwa anatoa vitisho.Na uchunguzi ni wa nini wakati inafahamika ni mtoto alikojolea msahafu au wanauchunguza mkojo ulitokana na kinywaji gani.
nimeipenda hii lazma nitakugongea like nikifika kwenye desktop
 
Wakuu!
Kama navyosomeka hapo juu kuhu shehk kikwete, pia amewataka wakristo wawe na subira huku uchunguzi zaidi ukiendelea kufanyika huku akisema kuna baadhi ya watu ambao tayari wamekishwa kamatwa.

My outlook :
unafiki ni uchawi.

Anaenda lini Oman?
 
Hizo ni chuki zako binafsi na ukanisa ulio kukaa kichwani hivi mtu kuzungumza ukweli ana hatarisha amani uliambiwa nani uckilize au usome hilo gazeti
Vip Yule mtoto mwanasayansi ameshakuwa kichaa? Au nyie ndio mmekuwa vichaa kwa kuchoma makanisa na kuiba vifaa music na laptop za wachungaji. mgetuambia tungewanunulia laptop Kali siyo kuiba
 
Wana JF nadhani mwafahamu kuwa AMANI Imeletwa na UKRISTO so waacheni wanaojifanya wanamtetea MTUME wa mauji wizi vurugu fitna n.k kwani wao hawaelewi ila wajue nao wauao kwa upanga nao wakufa kwa upanga so wasubiri moto na MTUME WAO WA MAUAJI.
 
Naomba kujua ni vigezo gani vilivyotumika kulifungia gazeti la Mwanahilisi, na kuacha gazeti la Al-Nuur na Radio Iman? Kwa nia njema kabisa, naomba niseme, kama kweli rais Kikwete anataka kuipusha Taifa hili na balaa linalionyemelea basi atupie jicho radio imaan na gazeti la Al-Nuur.

Vipo vyombo vya habari vya madhehebu mengine, lakini sijawahi kusoma au kusikiliza watu wanahubiri chuki kama yanayoongelewa kwenye gazeti la Al-Nuur au Radio Iman. Tunakwenda wapi?

Mkuu hakuna Rais, hapo ni kupumbazana tu.
 
Hizo ni chuki zako binafsi na ukanisa ulio kukaa kichwani hivi mtu kuzungumza ukweli ana hatarisha amani uliambiwa nani uckilize au usome hilo gazeti

Hivi chuki, fitina na maovu yanayohubiriwa na hiyo redio na gazeti lao kwako ndio ukweli?? Shame upon u!
 
Hivi nanyi wana jf itawachukua muda gani kuamini kuwa kama ni raisi sisi bado hatujampata!
 
Naomba kujua ni vigezo gani vilivyotumika kulifungia gazeti la Mwanahilisi, na kuacha gazeti la Al-Nuur na Radio Iman? Kwa nia njema kabisa, naomba niseme, kama kweli rais Kikwete anataka kuipusha Taifa hili na balaa linalionyemelea basi atupie jicho radio imaan na gazeti la Al-Nuur.

Vipo vyombo vya habari vya madhehebu mengine, lakini sijawahi kusoma au kusikiliza watu wanahubiri chuki kama yanayoongelewa kwenye gazeti la Al-Nuur au Radio Iman. Tunakwenda wapi?

out of topic,anzisha thred tujadili
 
Back
Top Bottom