KOVA: Sheikh Ponda atakamatwa muda wowote

KOVA: Sheikh Ponda atakamatwa muda wowote

Bado sijaona sababu ya kumkamata sheikh ponda! Kafanya kosa gani kipindi hiki hadi atake kukamatwa?
Amebomoa ukuta pale Chang'ombe na kuvamia kiwanja cha YM wa Yanga jana. Pia leo amewapongeza wahuni waliofanya vurugu jana na kuahidi kwenda kuwatoa rumande
 
Huo sio ukombozi ni upumbavu,uislam ni ushenzi.
Nashindwa kukutofautisha na wale walioandamana jana kwa tukio lililotokea Jumatano, wakataarifiwa Ijumaa na wakandamana.
Nashindwa kukutofautisha na yule mama aliyekuwa a
kilia huku anaenda kwa wenzake. Alipoulizwa vipi akasema ana uchungu, roho inamuuma Koran imekojolewa, alipoulizwa ameona akajibu nimesikia!
 
ETI CI WAOGA MBONA WANAKIMBIA....Aliyewalisha topee hayupo.. UJINGA TAABU SANA

580743_4366022961740_168847616_n.jpg
 
Sheikh ni title tu yenye heshima kwa yeyote mwenye heshima. Title hiyo ni sawa na kumuita Sir, kwa Kiswahili Sheikh ni Mzee.
Kwa hiyo utaona kuwa Ponda hana hadhi ya kuitwa Sheikh.
bado mnajikanyaga kanyaga bado,swali je Kova ni shekh,..
Haya majibu yenu mepesi ndo yanapelekea musema kuwa mtu akikojolea Quraan atakufa ama kugeuka mjusi.
Watu wana kojolea na hawafi na wala hawageuki mijusi.
Sas sijui vitabu vyenu vya dini vinasema uongo ama huyo mungu wenu sio wa ukweli wala nini.
zomba na Ritz ,vp jaman,imani ni haba nini,mbona mtoto mbagala kakojolea kitabu chenu na anadunda kama kawaid
 
Last edited by a moderator:
Kila siku najiuliza kwa nini linapokuja suala la Waislam Pro-Chadema JF ndio wanakuwa wa kwanza kuwashambulia Waislam halafu hawa hawa wanataka Waislam waiunge mkono Chadema...hiyo itakuwa ni sawa sawa umkabidhi Nguruwe akuchomee mishikaki.

Unaumwa CANCER ya udini wewe, dawa yake unaijua?
 
Sijakuambia uniwekee list nimekuambia nitajie hao wasomi wenu ambao wapo serikalini toka enzi za Nyerere wamelisaidiaje taifa letu kutoka kwenye dimbwi la umasikini au kazi ya hao wasomi wenu waliojaa kila idara ya serikali na mashirika ya umma usomi wao ni kufisadi mali za nchi.

Hapo sasa!
 
kwani mnaabudu yale makaratasi yaliyotengenezwa na kuchapishwa maandishi na mwanadamu? si huwa mnasemaga kolani mmeihifadhi vifuani mwenu? ya nini kuhangaika na makaratasi yanayooza wakati mnayo kolani ndani ya vifua vyenu?

Sukuelewi, andika Kiswahili.
 
Tatizo ni elimu ndogo na madrasa,waliokwenda shule hawawezi shabikia fujo na maamuzi ya kijinga kama kuchoma moto makanisa,pia sehemu yenyewe ni mbagala ambako wauza mitumba na walala hoi kibaaaaaoooo,sinza,mikocheni na maeneo ambao wanakaa watu flani haiwezi tokea..waislamu wakienda shule ujinga wataacha...akamatwe tu atiwe adabu na sheria.
 
huyu shehe ni kirusi kinachotakiwa kueliminate haraka otherwise the whole system wil crash
 
Inabidi tujenge TAFAKARI ya kina,Kama tutamwona mtoto aliyekojolea msahafu kuwa anakosa huku tukimwacha aliyeanzisha hoja kuwa ukikojolea msahafu utageuka panya au nyoka,kwa mtizamo wangu tutakuwa hatujatenda haki.

Mtoto yule alikuwa anaamin kbs kuwa ukikojolea kitabu unageuka nyoka,akampa mwenzie
Msahafu ili akojolee ageuke nyoka!!!!!huyu mtoto ni wa kuonywa vikali yuko tayari
kuona mwenzake anakuwa panya!!! Ipo siku hata akiona sumu mwenzake ambaye hajui
Kama inaua akimbishia kuwa haiui anaweza kumpa anywe na matokeo yake ni kilio.

Nivyema akakinjwa angali mbichi Waalimu na wazazi wamwambie marufuku ya kujaribisha
kwa wenzake vitu vitakatifu na vya hatari.

Yule mwingine naye kadharika aambiwe marufuku ya kufanya practical ktk mambo ya ubishani kama hayo,asijiingize kwenye malumbano ambayo hayana afya.

Nikweli ni hatari sana kuhusianisha jambo lililofanywa na mtu mmoja ukabebesha taasisi
Nzima,lkn lililo wazi mkuu ni tofauti ya mafundisho pengine yanayotolewa na viongozi
ktk nyumba za Ibada ni vizuri watu wakafundishwa uvumilivu,kw wakristo wanafundishwa
Kuwa kiongozi Yesu Kristo alionewa lkn alinyenyekea na ndo mana ukristo ni uvumilivu.

Sijui kuhusu mtume S.W.A lakini pamoja na hayo najua kuhusu Mungu ambaye sote tunamwabudu yeye ni Mvumilivu huwaangazia jua wema na waovu,hata anawavumilia waovu watubu wasiangamie katika moto wa milele.

Na kuongezea hapo Jana nilimsikia Sheikh wa mkoa wa DSM akiesema uislam si wa visas
Mtu akikosea anatakiwa afundishwe Kama alivyofanya mtume.

Je watu walioshambulia makanisa wanaielewa dini au ni wahuni wanaojificha ktk kivuli cha dini?je niwaumini wanaofuata mkumbo?na huyo anayechochea anaajenda gani?



Sikubaliana na hoja yako hasa hapo pekundu!
 
umenifurahisha sana promi demana. yani inachosha tena sana kila siku waislam waislam yani limekuwa tatizo katika nchi hii mbona wa christo tupo na wala hatuna vurugu as nyie na huyo ponda. hebu jalibuni kumuogopa Mungu kwa mnayotenda, kwakweli sijui hata huyo Mungu ni Mungu wa ainagani mnae mwabudu anaye fundisha vurugu na kuto kusamehe yani mtoto kweli akasababishe matatizo yote hayo ebu jalibuni kuwa wastarabu waislam khaaaaaa.
 
ingekuwa China angekuwa ameshakamuliwa kinyesi, mshenzi kabisa huyu, kuna wenzake wanamhadhara huku mbezi juu wanamsifia sana,I HATE U RADICAL SATANS
 
Bado sijaona sababu ya kumkamata sheikh ponda! Kafanya kosa gani kipindi hiki hadi atake kukamatwa?
Labda jana hakuwepo wala kufanya chochote, lkn mwezi ulopita aliongoza maandamano 'haramu' hadi kwa Waziri, tunafahamu Wanasiasa wenye kesi za maandamano 'haramu' mahakamani. Amekuwa akitoa kauli za uchochezi mara nyingi lkn hajakamatwa, tunafahamu Mch Mtikila amekamatwa na kupelekwa mahakamani mara kadhaa.
Ponda mbona hajakamatwa? Au nchi
inaongozwa Kiislamu?
 
Itakuwa sheikh ponda anafadhiliwa na kikwete jakaya mrisho kufanya uchochezi.............
 
Mkuu wangu nashukuru kwa kuendelea kutoa elimu ya uraia, watu humu JF povu linawatoka wanataka Ponda akamatwe, kafanyaje mpaka akamatwe hawasemi.

ngoja tuone kama kova atafuata maagizo yao .ila hizi challenge ponda anauzoefu nazo,tangu zamani
 
ingekuwa China angekuwa ameshakamuliwa kinyesi, mshenzi kabisa huyu, kuna wenzake wanamhadhara huku mbezi juu wanamsifia sana,I HATE U RADICAL SATANS
jamaa wanakera kunguni ana afadhali...hutawasikia wakipongezana kuhusu ujenzi wa shule au hospitali...wenyewe ni kupongezana kwa kufanya mambo ya kishenzi tu...
 
Back
Top Bottom