KOVA: Sheikh Ponda atakamatwa muda wowote

KOVA: Sheikh Ponda atakamatwa muda wowote

Hiyo pekee inadhihirisha kuwa dini kwa Mwenyeezi Mungu ni Uislaam pekee, wengine hao hawana dini.
Bila shaka Ritz amepata jibu, kwa nini
Zomba na Ritz wanatajwa humu JF kuwa ni wadini.
Kila argument mnayotoa mnaitazama kwa mlengo wa Kiislam. Unfortunately Waislamu wengi wanatazama kwa mlengo huo, tukio la jana Mbagala ni udhihihirisho wa hoja yangu.
 
tuseme ukweli wangekuwa wakristo au CDM wangepona? hapa ndipo utagundua ccm inavyowagawa watanzania kwa minajiri ya dini? watu wote watendewe sana ndipo haki na amani vitatawala
 
Bado sijaona sababu ya kumkamata sheikh ponda! Kafanya kosa gani kipindi hiki hadi atake kukamatwa?
 
hatutaki kura za waislamu mbuzi kam ww na ponda ambao mnaleta machafuko nchini, safari hii wakristo hatutaleta tena ujinga wa kuchagua muislamu iwe chadema ama CCM kwani tumejua ni jinis gani mkivyo wajinga pale mnapogundua kuwa kiongozi wa juu ni dini yenu.
Pia hapa hakuna cha uchadema wala Uccm bali hapa ni lazima tuonganishe nguviu wakristo wa vyama vyote ktk kuwaondoa waislamu nyie wenye vurugu, kama unabisha subiria sasa uone jinsi siasa zitakazopigwa kanisani mpaka mtahamia maka na madina.

hii haileti umoja wa kitanzania! changia hoja yenye kuleta umoja wa watanzania bila kujali muislam au mukristo wote ni wamoja katika kugenga tz yenye amani na maendeleo. kiongozi atakae pitishwa na vikao vya chama husika na kupata ridhaa ya watanzania walio wengi atakua ndie Rais wa Jamhuri. mambo ya udini are "out-dated" tupambane na rushwa na ufisadi ili inchi isonge mbele, sawa ndugu...
 
Udini unatokana na unafiki wenu.

Hapa wote mnatuambia kuwa dini yenu ni dini ya amani na haielekezi vurugu. Lakini wanapolaaniwa wale waliofanya vurugu zile, tayari mnakuwa wakali. Sasa tuwaeleweje? Kwa mfano wewe Elungata, hebu niweke wazi, unaonaje juu ya yale yaliyofanyika Mbagala?

sina sababu ya kufurahia yale yaliyotokea mbagala lakini wale jamaa watakua walikua provoked.ukichukulia kwamba mwanzoni walimfata mamake mtoto kushitaki lakini huyo mama akawajibu dry.ukichukulia hilo suala ni sensitive kwa hao jamaa ilitakiwa yule mama atumie busara.lakini kwa dharau zake ndo yamesababisha hayo.angetumia akili pengine hiyo issue ingeishia mtaani kwao na tusingefika hapo.
Wengine humu tunapost kujibu hoja sasa mtu akipost vitu vya dharau lazma utarajie reaction ambayo hutaipenda.
Tunajua lazma nyie mko na hasira kuchomewa makanisa.lakini lugha za ukakasi na kuitana majina hazitasaidia mkuu.
 
Last edited by a moderator:
asante mkuu nawasihi waislamu acheni porojo shule muhimu

Wataelewa hoja yako iwapo wataacha kuangalia mambo kwa mlengo mmoja tu wa kidini.
Zomba yalipomkuta kwa ndugu yake kuswekwa ndani siku kadhaa bila kufikishwa Mahakamani kule Kunduchi ndipo alipoliangalia suala lile Kisiasa.
Hata hivyo, labda kwa kuwa aliyesababisha alikuwa Muislamu mwenzie, angekuwa si wa Imani yake, angeliangalia kwa mlengo ule ule wa kidini.
 
sina sababu ya kufurahia yale yaliyotokea mbagala lakini wale jamaa watakua walikua provoked.ukichukulia kwamba mwanzoni walimfata mamake mtoto kushitaki lakini huyo mama akawajibu dry.ukichukulia hilo suala ni sensitive kwa hao jamaa ilitakiwa yule mama atumie busara.lakini kwa dharau zake ndo yamesababisha hayo.angetumia akili pengine hiyo issue ingeishia mtaani kwao na tusingefika hapo.
Wengine humu tunapost kujibu hoja sasa mtu akipost vitu vya dharau lazma utarajie reaction ambayo hutaipenda.
Tunajua lazma nyie mko na hasira kuchomewa makanisa.lakini lugha za ukakasi na kuitana majina hazitasaidia mkuu.

Mkuu wangu nashukuru kwa kuendelea kutoa elimu ya uraia, watu humu JF povu linawatoka wanataka Ponda akamatwe, kafanyaje mpaka akamatwe hawasemi.
 
quote_icon.png
By promi demana

hatutaki kura za waislamu mbuzi kam ww na ponda ambao mnaleta machafuko nchini, safari hii wakristo hatutaleta tena ujinga wa kuchagua muislamu iwe chadema ama CCM kwani tumejua ni jinis gani mkivyo wajinga pale mnapogundua kuwa kiongozi wa juu ni dini yenu.
Pia hapa hakuna cha uchadema wala Uccm bali hapa ni lazima tuonganishe nguviu wakristo wa vyama vyote ktk kuwaondoa waislamu nyie wenye vurugu, kama unabisha subiria sasa uone jinsi siasa zitakazopigwa kanisani mpaka mtahamia maka na madina.

Unastahili sifa kwa kuwa mkweli.
 
hivi kova ni shekh

Sheikh ni title tu yenye heshima kwa yeyote mwenye heshima. Title hiyo ni sawa na kumuita Sir, kwa Kiswahili Sheikh ni Mzee.
Kwa hiyo utaona kuwa Ponda hana hadhi ya kuitwa Sheikh.
 
Bila shaka Ritz amepata jibu, kwa nini
Zomba na Ritz wanatajwa humu JF kuwa ni wadini.
Kila argument mnayotoa mnaitazama kwa mlengo wa Kiislam. Unfortunately Waislamu wengi wanatazama kwa mlengo huo, tukio la jana Mbagala ni udhihihirisho wa hoja yangu.

Hivi wewe sio Muislaam? yaani dahhh! unaabudu nini?
 
Kama nia ipo, uwezo na sababu hakuna sababu ya kumtangazia mtuhumiwa nia ya kumkamata. Amri zinahitaji kusubiri maneno mengi? Isiwe kwa Ponda tu, Jeshi la Polisi litainua handhi yake kwa kuwatia watuhumiwa mbaroni kimaadili, linapoona inafaa kifanya hivyo na kutoa taarifa ya kazi iliyokwishafanyika. Tunatambua wakuu wetu wana uwezo huo suala ni utayari wa kuact accordingly
 
nadhan wakamataji wanachelewa,mbona huyu bwn hata hajifichi na afanya mambo yake hadharani;
hoja ni vurugu, si uislamu!!
 
Hivi wewe sio Muislaam? yaani dahhh! unaabudu nini?
kwani mnaabudu yale makaratasi yaliyotengenezwa na kuchapishwa maandishi na mwanadamu? si huwa mnasemaga kolani mmeihifadhi vifuani mwenu? ya nini kuhangaika na makaratasi yanayooza wakati mnayo kolani ndani ya vifua vyenu?
 
Amekamatwa? Still counting 1,2,3,4,5.............................,,...,.,
 
Back
Top Bottom