KOVA: Sheikh Ponda atakamatwa muda wowote

KOVA: Sheikh Ponda atakamatwa muda wowote

Hivi tafsiri ya Udini humu JF ni nini? Hakuna hata Mkiristo mmoja humu JF ambaye anaitwa mdini...lakini Ritz, zomba, ndio wadini...inasikitisha kwa kweli.

ukiwa muslim ili kukuwekea luku ya mdomoni ndo wanakupa jina la mdini.hio yote ni strategy tu wanayotumia kuhalalisha ajenda yao.wao hawana mdini wako SAFI.
 
Last edited by a moderator:
kumkamata ponda ni sawa na kutupia njiti ya kibiriti kwenye petrol, ponda ndiye kiongozi wetu tutakufa nae.

Kiongozi???
Yani mtu anayedhubutu kumtangazia adhabu ya kifo mtoto mdogo kisa tu kwa ubishani wa kitoto akakojolea quran?
Kiongozi anayefurahia makanisa na mali za wakristo ziharibiwe sababu ya kosa alilotenda MTOTO?
mmekosa kabisa kiongozi mwenye hekima na busara wa kuwaongoza?

Kweli mnapotea wote mnaomfuata.
 
Sheikh Ponda anatumika kama mtaji wa chama cha magamba,sio kukamatwa tuu afikishwe mahakamani.Huyu sheikh ponda inaelekea hana kazi za kufanya.
 
Ukiona wataalamu fulani (Polisi) wanaropoka kwenye Vyombo vya Habari, Ujue Kuna lack of Professionalism Kupindukia!! Ndio Hadi Unaona "Mlinda usalama Mkuu wa mkoa" anauwawa na Majambazi!!
 
quote_icon.png
By Raia Fulani

hakuna anayeuchukia uislam bro! Waislam ndio wanaoharibu maana ya uislam. Inferiority complex ni tatizo sana. Wapelekeni vijana wenu wakapate elim dunia. Haya tunayoyaona ni madhara ya elim ahera na indoctrination

ha haa ha, mkuu hivi Tanzania nako kuna wasomi wa kujitapa? Ebu niambie huo usome wenu umelisaidiaje taifa letu au usomi wenu kazi yake ni kufisadi nchi.

Jibu la kijinga kabisa. Unaelekezwa kuwapeleka watoto wako shule wakapate elimu na sio usomi ili wajisifu. Jibu lako linaonesha wewe ni mtu unayependa ubishi wa kiswahili usie na muda wa kufikiri.

Leo ndio unajifanya kujua kuwa Tanzania hakuna elimu? Sio wewe uliyesema Sultani Lipumba ni msomi wa hali ya juu? Sasa leo wewe yule yule huamini kama wasomi wapo. Ok basi, ngoja nikueleze vizuri kwa mifano ya kiislamu; PELEKENI WATOTO WENU WAKASOME WAWE MALIPUMBA.

Najua wapo Waislamu wenye akili zao mfano mzuri Dr. Twalib Ngoma ambaye taifa linamtegemea, ila huwezi kumfahamu kwa kuwa mtu yeyote akishasoma anapungukiwa Uislamu wake kwa hiyo hatokuwa na muda wa kuandamana kwa nakala ya kuran ikikojolewa na mtoto kwa hiyo si rahisi ukamfahamu Dr.Ngoma.

Sana sana utaniambia sio muislamu kwa kuwa hashiriki ujinga. Kwani hata Mufti anapingwa kwa nini, si kwa vile tu haoneshi chuki ya wazi kwa Wakristo.

Akili zako hazitofautiani sana na yule mama aliyekuwa analia katikati ya barabara eti quran imedhalilishwa. Uduni wa maisha unaonekana hadi kwenye mavazi yake. Ule ndio mfano hai wa kukosa elimu.
 
Kila siku najiuliza kwa nini linapokuja suala la Waislam Pro-Chadema JF ndio wanakuwa wa kwanza kuwashambulia Waislam halafu hawa hawa wanataka Waislam waiunge mkono Chadema...hiyo itakuwa ni sawa sawa umkabidhi Nguruwe akuchomee mishikaki.

ushabiki wa siasa na dini ukizidi sana unakuwa kama ugonjwa wa ukoma .Kwenye jambo la kujenga amani ya nchi tuwekeni pembeni siasa na dini
 
nilikuwa nakuona uko vzr kichwani ila leo nimekushusha kabisa!yaan na uelewa wako unaingiza u cdm hapa?over my dead body!halafu unasema umetoa elim ya uraia?ipi?...binafsi,nina marafiki waislam wanaojitambua tena wengi tu!ambao huwezi kuwakuta kwny mambo km hayo ya kipuuzi yanayohamasishwa na pond!....nilichogundua unapiga kampen ili waislam waichukie cdm,bahati nzuri wapo waislam wenye akili zao c za kushikiwa na ponda!....ss tunaanza kampen rasmi makanisani tuone nanzaidi c ndo unachotaka?

wewe na chadema mtatawala Arushanyika na si TANZANIA.mark my words .
 
ukiwa muslim ili kukuwekea luku ya mdomoni ndo wanakupa jina la mdini.hio yote ni strategy tu wanayotumia kuhalalisha ajenda yao.wao hawana mdini wako SAFI.

Udini unatokana na unafiki wenu.

Hapa wote mnatuambia kuwa dini yenu ni dini ya amani na haielekezi vurugu. Lakini wanapolaaniwa wale waliofanya vurugu zile, tayari mnakuwa wakali. Sasa tuwaeleweje? Kwa mfano wewe Elungata, hebu niweke wazi, unaonaje juu ya yale yaliyofanyika Mbagala?
 
Last edited by a moderator:
Ponda anajifananisha na yule jamaa anaeitwa Zongo ambaye Kenya wamemalizana nae.Enzi za nyerere huyo saizi angekuwa kimbiji,anaubiria Tetere

Kimbiji sasa hivi utapataka! hakuna tetere tena mchagulie pori kwingine. Hv una habari kuna kiwanda cha kutengeneza simenti kinajengwa na karibu kuisha, kitaanza uzalishaji hv karibuni?
 
Kamanda kova hako kasheikh ubwabwa ponda ni kamtu kadogo sana tia risasi kapotelee huko kanatuchafulia hali ya hewa tu.Ukimaliza kazi tuonane 2015 nitakupa kazi nyingine maalumu..!
 
Wanaotii sheria za nchi kama Mwangosi wliuawa kwa bomo bila kusita. Maskini Msoma magazeti wa Moro aliuawa na kitu kizito bila kosa. Huu asiyetii sheria za nchi mara kadhaa AMEONYWA tu!!! Hii ndo nini POLICCM?

Hii Serikali inakera sijapata kuona, nashindwa kujua wakiwa wamekaa kwenye vikao vyao huwa wanaongea nini?
 
Mkuu wangu adolay,
Tatizo humu JF ukiwa muislam ndio unaitwa mdini lakini hakuna mkiristo mdini humu JF.

Mkuu Uislam ni dini ya amani mie binafsi sikubaliani na fujo zilitokea Mbagala kuchoma Kanisa kuaribu mali za watu, yule mtoto kweli kafanya makosa kwa kile kitendo lakini Waislam hawajafundishwa kuaribu mali za watu.

Tatizo kitendo kikifanywa na Muislam moja kikundi wanachanganywa Waislam wote pamoja ni Uislam sie tukitokeza kupinga hayo ndio tunaonekana wadini... Mkuu kuna Wachungaji Mashoga na wanaendesha ibada Makanisani lakini mie siwezi kuwachanganya Wakiristo wote ni makosa.
Inabidi tujenge TAFAKARI ya kina,Kama tutamwona mtoto aliyekojolea msahafu kuwa anakosa huku tukimwacha aliyeanzisha hoja kuwa ukikojolea msahafu utageuka panya au nyoka,kwa mtizamo wangu tutakuwa hatujatenda haki.

Mtoto yule alikuwa anaamin kbs kuwa ukikojolea kitabu unageuka nyoka,akampa mwenzie
Msahafu ili akojolee ageuke nyoka!!!!!huyu mtoto ni wa kuonywa vikali yuko tayari
kuona mwenzake anakuwa panya!!! Ipo siku hata akiona sumu mwenzake ambaye hajui
Kama inaua akimbishia kuwa haiui anaweza kumpa anywe na matokeo yake ni kilio.

Nivyema akakinjwa angali mbichi Waalimu na wazazi wamwambie marufuku ya kujaribisha
kwa wenzake vitu vitakatifu na vya hatari.

Yule mwingine naye kadharika aambiwe marufuku ya kufanya practical ktk mambo ya ubishani kama hayo,asijiingize kwenye malumbano ambayo hayana afya.

Nikweli ni hatari sana kuhusianisha jambo lililofanywa na mtu mmoja ukabebesha taasisi
Nzima,lkn lililo wazi mkuu ni tofauti ya mafundisho pengine yanayotolewa na viongozi
ktk nyumba za Ibada ni vizuri watu wakafundishwa uvumilivu,kw wakristo wanafundishwa
Kuwa kiongozi Yesu Kristo alionewa lkn alinyenyekea na ndo mana ukristo ni uvumilivu.

Sijui kuhusu mtume S.W.A lakini pamoja na hayo najua kuhusu Mungu ambaye sote tunamwabudu yeye ni Mvumilivu huwaangazia jua wema na waovu,hata anawavumilia waovu watubu wasiangamie katika moto wa milele.

Na kuongezea hapo Jana nilimsikia Sheikh wa mkoa wa DSM akiesema uislam si wa visas
Mtu akikosea anatakiwa afundishwe Kama alivyofanya mtume.

Je watu walioshambulia makanisa wanaielewa dini au ni wahuni wanaojificha ktk kivuli cha dini?je niwaumini wanaofuata mkumbo?na huyo anayechochea anaajenda gani?
 
Last edited by a moderator:
Tatizo la ndugu zetu waislamu (sio wote) wanafikiri wakristo ni wajinga wanapokaa kimya, kumbuka Kobe akiinama .......
 
Mkuu Ritz
Swali lako la awali/la msingi lilikuwa hili

ha haa ha, mkuu hivi Tanzania nako kuna wasomi wa kujitapa? Ebu niambie huo usome wenu umelisaidiaje taifa letu au usomi wenu kazi yake ni kufisadi nchi.

Nikakujibu hivi

1. Mchungaji Dk. Owdenburg Mdegela- Founder wa Tumaini University Iringa
2. Mchungaji Dk. Hance Mwakabana- Founder Tumaini University Dar es salaam
3. Mch. Askofu Kolowa- Founder Makumira University
4. Mchungaji Dk. Samson Mushemba- Founder Lutheran Junior Seminary Morogoro
5. Mchungaji Dk. Stephen Munga- Founder SEKUKO University
6. Professa Hubert Kairuki- Founder & Owner of Mikocheni University & Hospital
8. Mchungaji Dk. Buberwa- Founder of Josia Kibira University
9. Mchungaji Dk. Valentino Mokiwa- Founder Saint John's University
10.Mchungaji Dr.Israel Mwakyolile- Founder Tumaini University- Uyole Mbeya

Sasa hivi unabadilika unasema hivi..
Sijakuambia uniwekee list nimekuambia nitajie hao wasomi wenu ambao wapo serikalini toka enzi za Nyerere wamelisaidiaje taifa letu kutoka kwenye dimbwi la umasikini au kazi ya hao wasomi wenu waliojaa kila idara ya serikali na mashirika ya umma usomi wao ni kufisadi mali za nchi.
Hawa hapa
1. Prof. Lipumba- Ameenda kuiinua sarafu ya EURO
2. Dokta Bilal Mtaalam pekee wa Nyuklia Afrika
3. Dokta Shukuru Kawambwa -Mhandisi wa kujivunia UDSM
4. Professor Kapuya- Kichwa cha Botany UDSM
5. Dk. Dau- Mkurugenzi wa NSSF aliyepropose na kushawishi kuondoa withdraw benefits hadi mwajiriwa afikishe 50 yrs
6. Professor Safari- Msaidizi wa wanyonge mahakamani tena kesi zake husaidia kwa bei karibu na bure
7. Alhaji Dk. Jakaya Kikwete- Amesaidia kuleta Maisha Bora kwa kila Mtanzania
8. Professor Jumanne Maghembe- Sija haja ya kumwelezea wewe Ritz unaelewa
9. Hon. Judge Othman-Judge aliyetukuka
10. Professor Ponda Issa Ponda- Mwanzilishi wa Violence University- Misikitini
 
Last edited by a moderator:
waislamu mbuzi kam ww na ponda ambao mnaleta machafuko nchini, safari hii wakristo hatutaleta tena ujinga wa kuchagua muislamu iwe chadema ama CCM kwani tumejua ni jinis gani mkivyo wajinga pale mnapogundua kuwa kiongozi wa juu ni dini yenu.
Pia hapa hakuna cha uchadema wala Uccm bali hapa ni lazima tuonganishe nguviu wakristo wa vyama vyote ktk kuwaondoa waislamu nyie wenye vurugu, kama unabisha subiria sasa uone jinsi siasa zitakazopigwa kanisani mpaka mtahamia maka na madina.

hatutohamia madina tutahamia kwa mama yako.[/QUOTE]

tutahamia kwake
 
Back
Top Bottom