Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,028
- 59,657
Kila siku najiuliza kwa nini linapokuja suala la Waislam Pro-Chadema JF ndio wanakuwa wa kwanza kuwashambulia Waislam halafu hawa hawa wanataka Waislam waiunge mkono Chadema...hiyo itakuwa ni sawa sawa umkabidhi Nguruwe akuchomee mishikaki.
Naona umetoka kula mishkaki ya nguruwe